Mgogoro unaodaiwa kuwepo kati ya BOT na M-Pesa utaisha lini ili Templer for Empler Forex atumie M-Pesa?

scatter

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
1,667
925
Wakuu huu ni mwezi wa pili kwa wale wanaotumia broker wa templer forex hawawezi kudiposit pesa kwa njia ya M-Pesa Tanzania

Inasemekana kuna mgogoro mkubwa wa kampuni ya M Pesa na BOT

Tafadhali BOT malizeni mgogoro wenu kwani biashara za mtandao zipo nyingi tu kwann mnaleta vurugu kwa mabroker?
 
Kiukweli wangeacha templer wafanye biashara hayo makodi mbona zamani hawakuyakata
 
Hebu tupe abc za jambo lenyewe maana wengine si wajuzi wa jambo lenyewe Mkuu
Kifupi ni kuwa templer broker amezuiliwa kutumia m pesa tanzania kwasababu benki ya tanzania na kampuni ya mpesa wanamgogoro wa kimalipo..
 
scatter,

sio hilo paypal BOT tanzania hawa taki kupokea malipo.ila kutuma wana kubali sijui wapo dunia ya ngapi hawa washika pesa
 
إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعُونَ‎ .......
 
Tumieni brokers wanaofanya transactions kupitia international banks
Templer Wana payment gateway zaidi ya 20 sijui watu wanalalamika nini, kwa upande wa FXPESA(EGM) siwezi kuweka pesa yangu kwenye spread zile wasahau kina franc ndo wamekula mchongo Templer azibiwe mpesa wao wanaitumia vizuri tu, hii sio njia nzuri ya ushindani.

Ushindani uwe service unayotoa mfano templer kwenye Pair ya EURUSD spread ni 0.9-1.2 pips, FXPesa 3-4 pips ambapo ukiplace order Lot size 1 uclose profit pips 10= $100 jua umeibiwa $10-$20 nzima ambapo ilichukuliwa mapema muda unaplace trade stay woke guys afadhali pesa yako ichukuwe muda kwenye process za bank lakini ujue hakuna michezo kisa eti urahisi wa kuipata kupitia MPESA kama templer hatorudi na mpesa switch to other reliable brokers

Tukutane bank bhana sio kwa wakala wa Mpesa
 
Templer Wana payment gateway zaidi ya 20 sijui watu wanalalamika nini, kwa upande wa FXPESA(EGM) siwezi kuweka pesa yangu kwenye spread zile wasahau kina franc ndo wamekula mchongo Templer azibiwe mpesa sijui kama watafanikiwa.
Mimi mwenyewe nimejiunga leo kwa hao FXPESA lakin spread zao zimenishinda.. Yan major pairs unakuta spread had 15 point.. 😳😂
 
Back
Top Bottom