Kwa wale Forex Trader, vipi kuhusu huyu broker wa Forex Exness

covid 19

JF-Expert Member
May 9, 2014
4,815
10,453
Vipi huyu Broker kwa wale waliomtumia na wanaomtumia vipi kuhusu deposit na withdraw method zake?

Vipi spread zake zinabadilika badilika au ni muaminifu?

Naombeni moja, mbili tatu kuhusu huyu broker tafadhali nataka nifanye maamuzi hapa.
 
Mwaka juzi nlimtumia mt4 ika freez,badae siku tatu kurudi hewani pair ya GBPJPY nlikuwa na profit ya 900$ na pair ya EURUSD nlikuwa na loss ya 300$.Nkazi vuna zote,baada ya wiki ili freez tena mpaka leo.Huwezi amini.Sikushauri huyu brocker.Tumia Tickmill
 
Tickmill yukoje?
 
Back
Top Bottom