Wazee wenzangu wa kutrade Forex karibuni tufanye analysis ya pair za kutrade leo

The Initiator huru

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
1,530
1,732
Kwa wale ambao wana trade forex karibuni tujadili pamoja pair za kutrade, kushare signals, kufanya analysis na kujadili kuhusu take profit and stop loss.

Wazee wenzangu karibuni sana tu share experience pamoja na signals na risk pia.

NB: Risk Only What You Can Afford to Lose
Trade up to Where You Can Afford to Lose
 
Nondo hilo zaid ya zote
salarzaifx-20200110-0004.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Easy strategy for 25$ Pm for online mentorship
Nilikuja kugundua asilimia 99.99 ya wanaofundisha forex Tanzania ni matapeli nikasikitika sana, eti mtu anakuchaji hela kisha anaenda kukufundisha types of candlesticks au types of order!

Forex siyo rahisi hata kidogo na nina wasiwasi kama kuna Mtanzania yeyote anaeijua kwa sababu soko la forex ambalo limetawaliwa na market makers ambao hutumia algorithm(Interbank price delivery algorithm-IPDA) katika kufanya manipulation ya soko sina uhakika kama kuna Mtanzania ambaye amejifunza namna IPDA inavyofanya kazi.

Kila pair ina style yake ya kuwa manipulated na IPDA na ili uweze kuwa comfortable katika kutrade pair fulani lazima kwanza ujifunze tabia ya IPDA katika hiyo pair.

Sasa mtu anaenda kukufundisha kuchora trendline halafu anajiita mentor! Mimi nipo tayari kutoa hela yangu kwa mentor ambae ataweza kunifundisha interbank price delivery algorithm tu!
 
Nilikuja kugundua asilimia 99.99 ya wanaofundisha forex Tanzania ni matapeli nikasikitika sana, eti mtu anakuchaji hela kisha anaenda kukufundisha types of candlesticks au types of order!

Forex siyo rahisi hata kidogo na nina wasiwasi kama kuna Mtanzania yeyote anaeijua kwa sababu soko la forex ambalo limetawaliwa na market makers ambao hutumia algorithm(Interbank price delivery algorithm-IPDA) katika kufanya manipulation ya soko sina uhakika kama kuna Mtanzania ambaye amejifunza namna IPDA inavyofanya kazi. Kila pair ina style yake ya kuwa manipulated na IPDA na ili uweze kuwa comfortable katika kutrade pair fulani lazima kwanza ujifunze tabia ya IPDA katika hiyo pair.Sasa mtu anaenda kukufundisha kuchora trendline halafu anajiita mentor! Mimi nipo tayari kutoa hela yangu kwa mentor ambae ataweza kunifundisha interbank price delivery algorithm tu!
Kwahiyo ww unamjua huyo mentor wa IPDA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo ww unamjua huyo mentor wa IPDA?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimejifunza IPDA kutoka kwa Michael huddleston(Ni Mmarekani mwanzilishi wa strategy ya ICT),hadi sasa hivi nimeshamaster pairs kama vile USDZAR, GBPZAR, EURZAR, EURUSD, GBPUSD pamoja na USDCAD.

Nimemaster kwa maana ya kwamba najua namna IPDA inavyofanya manipulations kwenye hizo pair na mimi natakiwa kuingia wakati gani(entry rule) na ni wakati gani natakiwa nikae pembeni
 
Nilikuja kugundua asilimia 99.99 ya wanaofundisha forex Tanzania ni matapeli nikasikitika sana, eti mtu anakuchaji hela kisha anaenda kukufundisha types of candlesticks au types of order!

Forex siyo rahisi hata kidogo na nina wasiwasi kama kuna Mtanzania yeyote anaeijua kwa sababu soko la forex ambalo limetawaliwa na market makers ambao hutumia algorithm(Interbank price delivery algorithm-IPDA) katika kufanya manipulation ya soko sina uhakika kama kuna Mtanzania ambaye amejifunza namna IPDA inavyofanya kazi. Kila pair ina style yake ya kuwa manipulated na IPDA na ili uweze kuwa comfortable katika kutrade pair fulani lazima kwanza ujifunze tabia ya IPDA katika hiyo pair.Sasa mtu anaenda kukufundisha kuchora trendline halafu anajiita mentor! Mimi nipo tayari kutoa hela yangu kwa mentor ambae ataweza kunifundisha interbank price delivery algorithm tu!
We unafikiri wote tunafundisha mistari mistari iyo,nakufundisha jinsi ya kutumia izo candle unazoziona nakufundisha uwe liquidity graber sio liquidity provider,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom