forex

  1. N

    JamiiForums Tanzania unajua katika forex Kuna trick za kucontrol emotion katika trading

    Leo nimeona nisaidie baadhi ya trader wenzangu ambazo tunastrugle katika level tofauti tofauti...ambao wanastrugle kutime market na kukaa mda mrefu kwenye screen kwa kuogopa kumiss trade. Kuwa professional trader wanatric ya resistance clearing na kucalcurate time Ili kuwa accurate 70% na...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Mafanikio kiduchu kelele kama zote, Kwanini watu wa Forex wanavimba sana na kutaka attention hata kwa mafanikio madogo?

    1. Mtu wa forex anaweza kuwa na laki 4 bank lakini akatumia laki 1 kupiga picha kali location kali, ni watu ambao wana undugu na photoshoot. 2. Wakinunua magari (gari pendwa mark x) wataweka maandishi ya forex, wengine wanaenda mbali kuweka plate number za milioni 10 kwenye gari zisizozidi...
  3. 100 others

    JamiiForums Tanzania Forex ni scam au real?

    Nimeandika mada ndefu kiasi, so tenga muda kiasi , wale mtakaopita na kusema nimeandika pumba mna nafasi pia ya kucomment karibuni. wakuu habari zenu, hongereni kwa wale mnaonufaika na hii kitu ya kuitwa Forex, kwanza kabisa lengo la kuwa mention hapa ni baadhi yenu ambao mpo kwenye huu...
  4. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania To Forex Traders 2024

    All in all 2023 year is coming to the end. Let us pray hard next year to be good. Whatever happened this year let be a lesson don't quit. Though the game is tough we shouldn't stop learning everyday.. Your are beginer or experienced trading strategy is very important and stick to it. Never...
  5. Madwari Madwari

    JamiiForums Tanzania Je! ni njia gani za kashfa za matapeli wa forex? Jifunze kuhusu njia hizi ulinde pesa zako.

    Watu zaidi na zaidi wanapoingia kwenye soko la uwekezaji, idadi ya utapeli wa uwekezaji inaongezeka siku baada ya siku. Watu wengi hawawezi kupinga mvuto wa uwekezaji wa fedha za kigeni(forex), lakini wana ujuzi mdogo wa soko la fedha, ambayo huwapa matapeli fursa ya kutumia tamaa zao...
  6. Madwari Madwari

    JamiiForums Tanzania Je, Forex, Crypto na utapeli mwingine wa uwekezaji hufanyaje kazi? Unapaswa kufanya nini ikiwa umetapeliwa?

    Nimeona kashfa ya Noelbillions nikaona bora nije na ninachokijua maana serikali ya CCM imekaa kimya toka enzi za Ontario. Ingawa kuna aina mbalimbali za kashfa za utapeli katika uwekezaji. Katika mazingira mengi, huwa zinafanana kwa kiasi fulani. Unaweza kuepuka miradi mingi ya ulaghai ikiwa...
  7. BB_DANGOTE

    JamiiForums Tanzania Msaada: Njia ya kufungua account ya forex bila ya kitambulisho cha mpiga kura

    Wakuu, nahitaji kufungua account ya forex ambayo nitakuwa na uwezo waku withdraw. Nina taarifa zote ila sina tu hicho kitambulisho, kwahiyo naomba mnipe njia kama ina wezekana na kwa wazoefu mnisaidie experience zenu katika biashara hii.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

    Nilikuwa nimechoka na maisha ya kufanya kazi saa nane kwa siku katika ofisi flani hivi pale Posta jijini Dar es Salaam. Ndoto yangu ilikuwa kubwa zaidi kuliko kiti changu cha ofisini na mshahara wangu wa kila mwezi. Nilikuwa na hamu kubwa ya kujaribu kitu kipya, kitu ambacho kingenipa uhuru wa...
  9. Mlimani health center

    JamiiForums Tanzania Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

    Baada ya muda mrefu wa kukomaa na candlestick na video za YouTube rasmi nimejitoa kwenye biashara hii ya forex. Lengo la uzi huu ni kuwakaribisha newbie kwenye hii biashara ya forex inayosadikika kuwa na utajiri mkubwa sana. Kama yupo yoyote ambae angependa kuanza biashara hii anichek niweze...
  10. mirindimo

    JamiiForums Tanzania MFTE ni Ponzi scheme, utapeli ulijificha kwenye kichaka cha forex trading

    VIjana wengi wamekua na tamaa ya kutajirika haraka na kujikuta wanaingia kwenye Ponzi Scheme na kupoteza pesa za Ada na za Matumizi wanazolipiwa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu na wazazi wao pia. Hivi karibuni pameibuka Ponzi Scheme inayoitwa MFTE ambayo inajinasibu kuendesha biashara ya...
  11. Escotter20

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Naacha chuo nijikite biashara ya sarafu mtandaoni FOREX

    Habar wakuu Mimi ni mwanafunzi wa kozi ya technical education in electric and electronics eng, umri wangu 23yrs Nimekuja hapa kuomba ushauri, nimefanya uchunguzi wangu wa kina kwa miaka5 pamoja na kutafuta maarifa baada ya kujaribu forex nimeona Ina manufaa kwangu... Hivyo nimekuja kuomba...
  12. captain 21

    JamiiForums Tanzania Forex traders naombeni msaada tafadhari

    Mambo vipi wakuu mko poa?!! natumaini mko salama. Kwa wale wazee wa forex naombeni msaada ni broker yupi ambae unaweza uka-deposit na ku-withdraw pesa kupitia mitandao ya simu ya Tanzania. Pia ni idadi ngapi ya PIPs ambayo mtu inabidi aivune kwa wiki ili mwisho wa mwisho capital yake iwe katika...
  13. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Sandile Shezi: Tajiri Mtoto wa South aliyekimbia na Mamilioni ya Rand ya Wateja wa Forex

    Forex milionea amekula kona n mamilion ya shilingi ,kaacha mke na watoto sauzi kakimbilia ughaibuni ,na polis washatoa warant ya kumkamata popote. ========== Sandile Shezi: Everything to know about SA’s youngest millionaire As The South African reported in the final months of 2021, Sandile...
  14. LUKAMA

    JamiiForums Tanzania Forex: Sandile Shezi kutoka South Africa kawapiga na kitu kizito wanafunzi wake yeye huyo Asia

    Mwaka 2017 May ni mdau niliye shawishika sana kujiunga na jamii forum, kabla ya hapo nilikuwa nasoma tu na kupita hivi na sikuwa member. Ikaja thread moja kutoka kwa kijana machachali ontario kuhusu forex nikasoma na nikashawishika sana, kwa kipindi hicho nilikuwa mwa watatu chuo so kuna course...
  15. Pro Biznesi

    JamiiForums Tanzania Je, Forex Trading inaweza kunitoa kimaisha hapa Tanzania?

    Najua hii ni mada maarufu na nyeti kwa baadhi ya watu. Sababu ni kwamba Forex ni biashara ya kimtandao Na nahitaji ushauri kama yupo mtu ambaye alishawahi kufanya kufanikiwa hii biashara ya mtandao ya Forex Trading. Niambieni je ni kweli inaweza kumtoa mtu kwenye umaskini?
  16. G

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Forex na betting kipi kigumu?

    Wakuu, Nawakaribisha kujadili hili. Kati ya forex trading na betting kipi kirahisi au kipi waweza sema unaweza jivunia. Binafsi kutabiri outcome ktk forex ni rahisi kuliko kwa betting. Risk ya betting ni 100pecnt ya mtaji wako or stake, ila forex unaweza limit kiasi kadhaa. Betting ina...
  17. Smart Contract

    JamiiForums Tanzania Forex sio utapeli na ninajuta kuchelewa kuiamini

    Kama mada inavyojieleza, katika harakati zangu za kutafuta side hustle nlikutana na hiyo idea ya forex. Ila baada ya kufanya research matokeo yalikuwa negative especially kwa hapa JF. Inavyoonekana kuna watu washalizwa kupitia forex na wanaishi na hiyo trauma. Maada yoyote inayozungumzia hiyo...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata mtaji katika forex kwa begginer

    Wakuu FOREX &STOCK TRADING ni biashara yenye hasara na faida kubwa yenye kuhiataji umakini ,na maarifa katika uwekezaji wake, Trading hack Maximum deposit 50$ Broker Deriv Instrument -Volatility 75(1s) Target per day profit 8$ Lot size maximum to be used 0.005 four possition, or...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Unapokuwa unawaambia watu kuwa “Forex inalipa”, basi kuwepo na uhalisia japo kidogo

    Hii ni ofisi ya wanaochimba mgodi wa utajiri kwenye Forex. Yale mambo ya ma Bitcoin, na kadhalika, ku trade na kila aina ya utajiri rahisi ndio hapa training centre yao, namna ya kuupata utajiri kirahisi hufundishwa hapa.
  20. maslulkat

    JamiiForums Tanzania Sema Neno kuhusu "Biashara ya FOREX"

    Binafsi Biashara ya FOREX, naisemea kwamba inahitaji uijue wewe mwenyewe kwa kutafuta knowledge yake na kuelewa ni nini unafanya uingiapo sokoni 1. Weka Trading Plan 2. Acha Tamaa ya kutaka kutajirika within a day 3. Usitegee Signals kwa mtu 4. Uwe na muda wa kutosha.
Back
Top Bottom