Watu katili katika football Simba vs Yanga

Expensive life

JF-Expert Member
May 2, 2020
1,969
6,331
Football ya Tz ina mambo mengi sana nje na ndani ya uwanja, kwa sasa yanga wana watu bora sana nje ya uwanja na ndani ya uwanja, wana pesa na nguvu pia katika serikali.

Ikitokea mchezaji mzuri simba wanataka kumsaini na wao hizo taarifa wakazipata basi watafanya kila njia wao ndio wampate, kwa sasa wananguvu ya pesa na ushawishi pia.

Watu ambao wanaiendesha simba kwa sasa.

Mangungu
Tray again
Ahmed ally
Kajula

Yanga

Hersi said
Haji arafat
Kamwe
Mavunde
Mwigulu
Mstaafu
Manara
Gsm

Simba kwa sasa hafurukuti kwa lolote mbele ya yanga amezidiwa kila kitu. Vilio vitatawala sana pale simba, mtu aliyekuwa anawahenyesha yanga ni marehemu hans pope.

Mtu pekee aliyebakia ni Magori lakini hana pesa, labda mo arudishe nguvu zake zote ikiwemo yeye mwenyewe kurudi kwenye kiti cha mwenyekiti wa bodi.
 
Kuwaweka Ahmed Ally na Ally Kamwe inaonekana wewe hujui kitu, na kumtaja Hans pope unafuata upepo wa Manji, yule gabachori naye hajui kitu ndio maana alikuwa añasumbuliwa na maamuma kama Akilimali

Moyo wa Simba ni friends of Simba, tafuta orodha yao warudishe Simba halafu ndio utajuwa hujui.

Friends of Simba ni taasisi ndani ya taasisi.
 
mashabiki wa Simba SC Hali zao hivi sasa
20240430_090147.jpg
 
Kuwaweka Ahmed Ally na Ally Kamwe inaonekana wewe hujui kitu, na kumtaja Hans pope unafuata upepo wa Manji, yule gabachori naye hajui kitu ndio maana alikuwa añasumbuliwa na maamuma kama Akilimali

Moyo wa Simba ni friends of Simba, tafuta orodha yao warudishe Simba halafu ndio utajuwa hujui.

Friends of Simba ni taasisi ndani ya taasisi.
Hao friends of simba hawana pesa yeyote ya kuwasumbua yanga hao, ni wapiga domo tu ramli hao. Ahmed na kamwe wanahusika moja kwa moja kwenye ujenzi wa timu kumbuka mikakati yote ya timu wao wanaijua unawezaje kuwatoa?
 
Siwezi kubisha na wewe kwa sababu hakuna ulijuwalo katika hilo
 
Football ya Tz ina mambo mengi sana nje na ndani ya uwanja, kwa sasa yanga wana watu bora sana nje ya uwanja na ndani ya uwanja, wana pesa na nguvu pia katika serikali.

Ikitokea mchezaji mzuri simba wanataka kumsaini na wao hizo taarifa wakazipata basi watafanya kila njia wao ndio wampate, kwa sasa wananguvu ya pesa na ushawishi pia.

Watu ambao wanaiendesha simba kwa sasa.

Mangungu
Tray again
Ahmed ally
Kajula

Yanga

Hersi said
Haji arafat
Kamwe
Mavunde
Mwigulu
Mstaafu
Manara
Gsm

Simba kwa sasa hafurukuti kwa lolote mbele ya yanga amezidiwa kila kitu. Vilio vitatawala sana pale simba, mtu aliyekuwa anawahenyesha yanga ni marehemu hans pope.

Mtu pekee aliyebakia ni Magori lakini hana pesa, labda mo arudishe nguvu zake zote ikiwemo yeye mwenyewe kurudi kwenye kiti cha mwenyekiti wa bodi.
Kocha Mgunda vs Gamondi.
 
Kuwaweka Ahmed Ally na Ally Kamwe inaonekana wewe hujui kitu, na kumtaja Hans pope unafuata upepo wa Manji, yule gabachori naye hajui kitu ndio maana alikuwa añasumbuliwa na maamuma kama Akilimali

Moyo wa Simba ni friends of Simba, tafuta orodha yao warudishe Simba halafu ndio utajuwa hujui.

Friends of Simba ni taasisi ndani ya taasisi.
Manji ni mtu aliyeituliza Yanga na wale wazee. Mwendazake ndiye alimvuruga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom