football

  1. babu M

    JamiiForums Tanzania Lewis Hamilton na Serena Williams wamejiunga na Sir Martin Broughton consortium kutoa ofa ya kuinunua Chelsea Football Club

    Lewis ambaye ni mshindi mara saba wa Formula 1 world champion na Serena ni mshindi wa 23 tennis grand slam singles titles. Wameungana na wengine watatu pamoja na mwenyewe Sir Martin Broughton aliyekuwa mchezaji wa Liverpool kutaka kuinunua club ya Chelsea. Kila mmoja amechangia £10M Hii ni...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Billionea Abramovich atangaza kuuza mali zake zote nchini Uingereza ikiwemo Chelsea FC. Mabilionea wa Tanzania changamkieni fursa!

    Billionea wa kirusi Abramovich ametangaza kuuza mali zake zite nchini Uingereza yakiwemo majengo na klabu ya Chelsea ============================= Roman Abromovich leo ame confirm habari iliyokuwa imesembaa kwenye vyombo mbali mbali vya habari kwamba ameamua kuiuza Chelsea Football Club...
  3. MDAU JR

    JamiiForums Tanzania Msaada App ya Ku stream live football games kwenye simu

    Habari wakuu! Tafadhali naomba Msaada kutoka Kwa yeyote ili nipate application yoyote ambayo nita install kwenye simu ili niweze kuwa Na stream live games za soccer nikiwa mbali Na tv. Hii ni nje ya Azam max, hiyo ninayo tayari. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania SUNDERLAND FOOTBALL CLUB 1960s

    SUNDERLAND FOOTBALL CLUB 1960s Picha hizi nikiziangalia leo zinanikumbusha udogo wangu nikienda Ilala Stadium kuangalia mpira. Wengi katika wachezaji hawa wametangulia mbele ya haki na baadhi wachache bado wako hai. Katika ujana wangu miaka ya 1970 nilikuja kuwajua baadhi ya wachezaji hawa...
  5. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Sargio Aguero: Football itamkumbuka kwa lipi?

    Mwamba amelazimika kustaafu bila kupenda kufuatia kupatikana na matatizo ya moyo Binafsi katika nyakati hizi toka 2008 hadi Sasa naamini dunia imepata namba 9 mahiri wa 11 tu 1.Zlatan Ibrahimovic 2.Sargio Aguero 3.Lowerndosk 4.Haland 5.Luis Suarez 6.Cavan 7.podosk 8.Toti 9.Benzema 10.Drogba...
  6. President of China

    JamiiForums Tanzania GSM aka Home Shopping Center (ya bandarini msiyalete kwenye football)

    Miaka ya 2010 hadi 2015 Home Shopping center walikuwa wao ndio TPA. Huwezi kuagiza bidhaa nje kupitia bandarini kama hawajakuruhusu wao. Huu uhuni wa kishamba wanataka kuuleta kwenye football. Wanachotaka kuiweka mfukoni mwao TFF. Pesa zao wazitumie watuachie football yetu. Wanaleta siasa za...
  7. President of China

    JamiiForums Tanzania FIFA Football Law 14: Rules of a Penalty Kick

    Hebu tuambieni. Kwanini penalty inapigwa watu kama wote wamo ndani!? The referee places the ball on the penalty mark (the spot) and it must remain stationary. The goal posts and net must also be still (e.g. not moving). Next, the match official will identify and confirm which player is the...
  8. luangalila

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FIFA kuishushia rungu Kenya

    Kifuatiwa kitendo cha Serikali ya Kenya kuingilia Shirikisho la Mpira Kenya (FKF) na kumsimamisha Rais wa shirikisho ilo ni wazi FIFA. Mida wowote wataisimamisha Kenya , endapo Fifa wataisimamisha Kenya hapo Kesho basi timu iyo itatoa zawadi ya point tatu kwa kila timu iliyo kuwa nayo ktk...
  9. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Football is Funny

    Soka au kabumbu kama wengine wapendavyo kuita au kama hutotumia neno mpira wa Miguu ni Burdani sana Utamskia kijana asiye hata na Msosi getho akitegemea lishe ya Dingi na Bi mkubwa akisema "Tumemnunua Ronaldo kwa $70 Million " Namimi na city yangu Ngoja nikampige kwanza huyu nyumbu, tuonane...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania Football Summit 2021

    8 August 2021 Dar es Salaam, Tanzania Several topics have been covered including football marketing and sponsorship, stadium management, E-sports and digital platform in football, revenue generation sources and financial issues associated with football, development of youth and women football...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Zlatan Ibrahimovic Ego be like...

    "The older I get, the better I get, like red wine." 🍷 “I can’t help but laugh at how perfect I am.” 😎 "Lions don't compare themselves to humans." 🦁 39 is just a number for Zlatan Ibrahimovic 💪
  12. C

    JamiiForums Tanzania Ronaldo and Messi is it coincidence?

    ▪️Cristiano Ronaldo is 869 days older than Lionel Messi ▪️ Cristiano Ronaldo Jr is 869 days older than Thiago Messi ▪️Cristiano Ronaldo’ second son is named Mateo ▪️Lionel Messi’s second son is named Mateo ▪️Cristiano Ronaldo won his first international trophy on July 10 ▪️Lionel Messi won his...
  13. Simeone

    JamiiForums Tanzania Nahitaji football livescore App yenye sifa kama hizi

    Habari wakuu, Ukitoa livescores. biz website gani nyingine inayotoa DETAILS zote za mchezo (live matches) kama ATTACK, BALL POSSITION, SHOTS ON TARGET, CORNERS n.k?
  14. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Marangu football Club

  15. Mac Bully 001

    JamiiForums Tanzania Eriksen is unlikely to play football again, says NHS expert

    Christian Eriksen is unlikely to play football again and Italy may ban the Inter Milan player from competing again if he has suffered a cardiac arrest, according to a leading cardiologist. The 29-year-old collapsed on the pitch during Denmark's Euro 2020 match with Finland on Saturday 12th...
  16. Simeone

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Jinsi ya kuweka football livescores katika blog

    Habari zenu wakuu, je nitumie njia gani kuweka football livescores katika blog yangu tofauti na kutumia iframe? Msaada Pls!
  17. MySoka

    JamiiForums Tanzania MySoka: The Home of Football Fans

    This is special thread for all football best fans News and rumors around the earth. Kwa habari za kambumbu na tetesi za usajili kutoka kote ulimwenguni.Pitia hapa. MySoka
  18. J

    JamiiForums Tanzania Sijajua kwanini Bunge halina kikundi cha ngoma za asili, kianzishwe haraka kiungane na wale wa football, Kwaya na netball!

    Ingependeza sana katika kuimarisha sanaa, utamaduni na michezo pale bungeni kikaanzishwa na kikundi cha ngoma za asili Tayari kuna timu za mpira wa miguu mpira wa pete wavuta kamba na kikundi cha kwaya. Nani ungependa wawemo katika kikundi cha ngoma za asili? Ramadhan Kareem!
  19. britanicca

    JamiiForums Tanzania Happy birthday World Football Entertainer of all The Time Ronaldinho Gaucho,

    Happy birthday World Football Entertainer of all The Time Ronaldinho Gaucho,
  20. BlackPanther

    JamiiForums Tanzania Argentina national football team new kit, na muonekano wake kama ulivyo 😍😍😍

    Wadau wenzangu PNC The Icebreaker Joseverest King_Ngwaba makaveli10 kilambimkwidu Chukwu emeka BAK Anigrain The Boss Saint Ivuga dingimtoto Kanungila Karim Van De Beek FORTALEZA tony92 Chaliifrancisco adriz Prince Kunta OKW BOBAN SUNZU DENLSON Waterloo Isanga family n.k...
Back
Top Bottom