Matukio yaliyotikisa Tanzania 2023, African Football league inaongoza japo mengine yapo

Kifurukutu

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
4,502
6,403
Wakuu
Nimekaa nautafakari mwaka 2023 hapa Tanzania na matukio yake,

1. Tukio la ufunguzi wa African Football league

Hili ndilo tukio lilitikisa nchi, Simba wababe wa soka la Africa waliwakaribisha wababe wenzao kufungua michuano hii na dunia yote ilikuwepo Tanzania

2. DP world na issue zake za bandari inashika namba mbili
Hapa tulikutana mpaka na waraka wa maaskofu tukitushwa nchi inauzwa lakini hola

3. Comeback ya Paul Makonda, tangu apewe uenezi huko nchi na siasa zake ilitikisika

4. Simba kupigwa mabao matano na Yanga hii sikuamini macho yangu kwani sikuweza hata kula

Hakika 2023, ilitikisa Kwa namba yake
 
Kwamba AFL ilitikisa nchi kuliko suala la DP World? Hebu acha ujinga na undezi wa kushabikia vitu visivyo na maana
 
Kuna muuza chips hapa hata maana ya DP world hajui,ila tukio la uzinduzi wa AFL alishuhudia
 
Back
Top Bottom