TFF na ZFF zimejaa Rushwa, tuzidi kuziripoti moja kwa moja FIFA na CAF

Danielmwasi

JF-Expert Member
May 3, 2021
1,000
1,989
I have been reporting corruption cases nyingi sana za football direct to fifa.

Nimenotice I can't keep it up. kuna too much information naona na miss. watu tuongezeke kureport rushwa hizi direct to fifa. Huu mpira wetu utakufa. Wamejaa watu wa ovyo sana in these organisation. na amna mtu ana take action.

We need few more reports. Maana update zinatumwa direct to TFF AND ZFF, from fifa. Weight inakuwa kubwa kidogo ila sio hizi kelele tunazo piga. Without action.
 
Umerudi Tena. Halafu kila ukileta malalamiko Simba hushinda kombe. Ulileta malalamiko ngao ya jamii, Simba akashinda. Kwa hivyo tutegemee Simba kushinda kombe la Mapinduzi
Mapinduzi ni chandimu. so it's useless kwangu ku report.
 
Wewe jamaa sound zako uwa nazifananisha na za mzee mmoja maarufu mtaani kwetu,uyo mzee muda wote yupo bize mahakamani ana kesi nyingi amefungua dhidi ya utawala wa Nyerere.

Toka tukiwa wadogo ndio sound zake mpaka leo mara achangishe michango ya kwenda mahakamani ya Africa Arusha,mara atangaze anapeleka barua Ikulu kwa Rais yaani hakuna analofanya,mke wake ndio ameangaika kusomesha watoto mpaka wamekuwa watu wazima yeye maisha yake ni sounds tu!

Kila nikisoma nyuzi zako uwa naishia kucheka namkubuka mzee uyo wa mtaani uko kwetu,maana sound zako hazina kichwa wala miguu!! Yaani kwa akili zako unawaza kuwa FIFA na Caf wakusikilize madai yako wewe ambae uko sitimbi uku.
 
I have been reporting corruption cases nyingi sana za football direct to fifa. nimenotice I can't keep it up. kuna too much information naona na miss. watu tuongezeke kureport rushwa hizi direct to fifa. huu mpira wetu utakufa. wamejaa watu wa ovyo sana in these organisation. na amna mtu ana take action.

we need few more reports. maana update zinatumwa direct to TFF AND ZFF, from fifa. weight inakuwa kubwa kidogo ila sio hizi kelele tunazo piga. without action.
mkuu umeandika kwa jazba sana. Hebu tulia kidogo. Kunywa maji. Rudi tena.
 
I have been reporting corruption cases nyingi sana za football direct to fifa. nimenotice I can't keep it up. kuna too much information naona na miss. watu tuongezeke kureport rushwa hizi direct to fifa. huu mpira wetu utakufa. wamejaa watu wa ovyo sana in these organisation. na amna mtu ana take action.

we need few more reports. maana update zinatumwa direct to TFF AND ZFF, from fifa. weight inakuwa kubwa kidogo ila sio hizi kelele tunazo piga. without action.
Yaani umeandika upupu mtupu... Unaleta tuhuma bila ushahidi wowote....
 
I have been reporting corruption cases nyingi sana za football direct to fifa. nimenotice I can't keep it up. kuna too much information naona na miss. watu tuongezeke kureport rushwa hizi direct to fifa. huu mpira wetu utakufa. wamejaa watu wa ovyo sana in these organisation. na amna mtu ana take action.

we need few more reports. maana update zinatumwa direct to TFF AND ZFF, from fifa. weight inakuwa kubwa kidogo ila sio hizi kelele tunazo piga. without action.
Hahahahaha daaah uto uto uto
 
Umerudi Tena. Halafu kila ukileta malalamiko Simba hushinda kombe. Ulileta malalamiko ngao ya jamii, Simba akashinda. Kwa hivyo tutegemee Simba kushinda kombe la mapinduzi
Makolokolo mlishinda kwa mbeleko tukawaambia kuwa ni wepesi kama puto kiubora mkakaza mafuvu na pira lenu la "objective football", kilichowakuta ni hiki hapa
JamiiForums1683832807.jpg
JamiiForums1222824732.jpg

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Wewe jamaa sound zako uwa nazifananisha na za mzee mmoja maarufu mtaani kwetu,uyo mzee muda wote yupo bize mahakamani ana kesi nyingi amefungua dhidi ya utawala wa Nyerere.

Toka tukiwa wadogo ndio sound zake mpaka leo mara achangishe michango ya kwenda mahakamani ya Africa Arusha,mara atangaze anapeleka barua Ikulu kwa Rais yaani hakuna analofanya,mke wake ndio ameangaika kusomesha watoto mpaka wamekuwa watu wazima yeye maisha yake ni sounds tu!

Kila nikisoma nyuzi zako uwa naishia kucheka namkubuka mzee uyo wa mtaani uko kwetu,maana sound zako hazina kichwa wala miguu!! Yaani kwa akili zako unawaza kuwa FIFA na Caf wakusikilize madai yako wewe ambae uko sitimbi uku.
Huyu majirani zake Wana tabu Sanaaitakua Kila siku Kwa anawapeleka serikali ya mtaa kuwashtaki
 
I have been reporting corruption cases nyingi sana za football direct to fifa. nimenotice I can't keep it up. kuna too much information naona na miss. watu tuongezeke kureport rushwa hizi direct to fifa. huu mpira wetu utakufa. wamejaa watu wa ovyo sana in these organisation. na amna mtu ana take action.

we need few more reports. maana update zinatumwa direct to TFF AND ZFF, from fifa. weight inakuwa kubwa kidogo ila sio hizi kelele tunazo piga. without action.
Utopolo mnaumia sana poleni na kikosi kipana chenu
 
I have been reporting corruption cases nyingi sana za football direct to fifa.

Nimenotice I can't keep it up. kuna too much information naona na miss. watu tuongezeke kureport rushwa hizi direct to fifa. Huu mpira wetu utakufa. Wamejaa watu wa ovyo sana in these organisation. na amna mtu ana take action.

We need few more reports. Maana update zinatumwa direct to TFF AND ZFF, from fifa. Weight inakuwa kubwa kidogo ila sio hizi kelele tunazo piga. Without action.

Mpira wenu utakufa ? Mpira wenu wewe na nani ? Kama ni mpira wenu sasa kwa nini mnashtaki FIFA? Si muuchukue tu muufungie ndani hao ZFF wasiutumie
ec30c195-669d-4879-9195-8b4ca78dc3b7.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom