Aug 29, 2022
59
109
waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mhe. Daniel Sillo, amesema Serikali imepanga kushirikisha halmashauri ya jiji na manispaa zake pamoja na TANROADS

Ili kubaini na kutenga maeneo kwa ajili ya ukaguzi wa magari unaofanywa na Jeshi la polisi ili kupunguza msongamano katika jiji la Dar es Salaam

Vipi hapo mdau maeneo gani yaanze kupunguzwa foleni?
pic-foleni.jpg
 
Huyo waziri ni kaizi inamaana hajui foleni ya Dar inasababishwa na nini? wameanzisha mamiradi kama ya mwendokasi imewashinda, treni sijui ya mwakyeme imewqshinda unategemea miujiza gani kuondoa hiyo foleni zaidi ya kuimarisha usafiri wa umma tena uwe nafuu , rahisi na wauhakika? Mimi nashangaa hawa mawaziri wanapewaga uwaziri kwa criteria zipi.
 
Back
Top Bottom