foleni

  1. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ujenzi sasa ni mufilisi? Ati milioni 10 zatengwa ili kumaliza foleni Dar!

    Katika miaka ya karibuni , wizara hii ya Ujenzi imekuwa kichwa cha mwenda wazimu. Kila anyejifunza kunyoa anapelekwa hapo, na nywele anajua anakozipeleka. Siyo siri ,sasa Wizara , taasisi zake kama TANROADS, ni mufilisi. Wadau wa ujenzi wanaikimbia wizara ya Ujenzi. Yote tisa, kumi ni hii...
  2. M

    JamiiForums Tanzania KERO Hali ya foleni bandarini

    Ndugu wasomaji Sisi kama waagizaji tumeona mada mpya toka January mwaka 2026 kutoka bandari ambapo zamani kuhamisha container kutoka Bandari kwenda bandari kavu icd ilikwainachukua siku 5- 7 lakini toka Januari hali bandarini imetisha maana kuhamisha container inachukua karibia mwezi mmoja...
  3. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania RESOLVED KERO Uholela wa maegesho na biashara ndogo unavyosababisha foleni kubwa Dar Jioni – Bunju, Gongolamboto na Mbagala Rangi 3

    📍 – Bunju “B” Kwa wanaopita barabara ya Bagamoyo jioni, hasa eneo la Bunju ‘B’, hali ya foleni imekuwa ya kawaida kila siku. Tatizo kubwa ni: Daladala kuegesha kiholela barabarani badala ya kuingia kituoni Kusubiri abiria kwa muda mrefu (kupakia taratibu) Wafanyabiashara wadogo (machinga)...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Juu ya Barabara za Mabasi ya Mwendo Kasi Kujengwe Barabara za Kulipia (Express Way)

    Habari zenu wana Jamii Kuna fursa kubwa inaonekana ipo kwa serikali au private sector kuwekeza na wananchi wakanufaika. Ukiangalia huwa kuna space kubwa na pana inapatikana juu ya Barabara za mabasi ya mwendo kasi plus zile Barabara za njia mbili kila upande za kupita magari ya kawaida. Sasa...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ajali ya magari ya mizigo imesababisha foleni kubwa ya magari Barabara ya Moshi – Arusha kwa zaidi ya Saa 10

    Kuna magari kadhaa makubwa ya mizigo inadaiwa ni kutoka Rwanda yamepata ajali eneo la Mto Kikafu katika Barabara ya Moshi - Arusha na kufunga njia kwa zaidi ya Saa 10 sasa, kukiwa hakuna mpishano wa magari. Hali hiyo imesababisha mabasi yasimame kwenye foleni kwa urefu wa zaidi ya Kilometa 20...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded RC Makala aagiza TARURA, TANROADS na Polisi kuondoa foleni Arusha, TARURA yatangaza kufuta 'stendi bubu'

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA Amos Gabriel Makalla ameiagiza Wakala wa barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) Mkoa wa Arusha, Jeshi la Polisi pamoja na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kushughulikia kadhia ya foleni kwenye Jiji la Arusha kwa wakati ili kuondoa vikwazo katika shughuli za...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Foleni ya vyombo vya moto ni tatizo sugu Arusha, Viongozi wa Mkoa wameshindwa kupata utatuzi?

    Napenda kuchukua fursa hii kuwaandikia barua hii kama Mwananchi mzaliwa na mkazi wa Mkoa wa Arusha, nikiwa na dhamira ya dhati ya kuchangia mawazo na maoni yatakayosaidia maendeleo ya mji wetu. Kwa muda mrefu sasa, Mkoa wa Arusha umekumbwa na tatizo sugu la ongezeko kubwa la foleni ya magari...
  8. Mad Max

    JamiiForums Tanzania KERO Kimara Mwisho asubuhi kuna Foleni kali isiyotembea Dar nzima ikasome!

    Hizi semi zimekuwa kero mara dufu. Kulikuwa na trafiki mmoja pale Mbezi Mwisho anazuia haya malori hadi saa 3 au saa 4 ndio anayaachia sasa sijui wamemtoa. Sasa hivi vyuma havitembei. Hapa kuna nyororo imeanzia Kimara Mwisho hadi Suka. Bila kucontrol hizi lori hata mkijenga barabara 5 kila...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Njia mojawapo ya kupunguza foleni na changamoto ya usafiri

    Habari zenu! Kutoka mbagala rangi tatu mpaka mbezi mwisho ni wastani wa kilomita 36.5km, let's say serikali inatoa tenda na kibali cha usafirishaji wa raia kutoka mbagala hadi mbezi mwisho kwa kampuni Moja binafsi kama ilivokuwa kwa barabara za mwendokasi ili kupunguza foleni itokanayo na idadi...
  10. Mookiesbad98

    JamiiForums Tanzania Ndugu Mwigulu, unasababisha foleni kubwa sana. Hamia Masaki kwenye makazi rasmi ya PM

    Toka ndg Lameck Madelu ateuliwe kuwa PM amesababisha kero kubwa ya foleni pale anapotoka kwake na kurudi nyumbani. Nadhani ikiwezekana mamlaka impatie Nyumba huko karibu na mjini yaani Oysterbay maana kuna makazi rasmi ya Waziri mkuu. Mfano leo.Saa asubuhi umeleta.adha kubwa ya foleni pasipo...
  11. The Magnifico

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mitaa ya Dar usiku huu ni shwari kabisa, panapokuwaga na foleni leo peupe peeh!

    Na kesho mida kama hii, natumai mama atakuwa ameshatangazwa mshindi kwa kishindo cha mbwa koko. Mimi nilikuwa navishangaa vyombo vya ulinzi vilikuwa vinahangaika nini, maana nchi nyingi wananchi wake hawana vinasaba vya maandamano, na mojawapo ni Tanzania. Sasa tufunge mikanda kwa miaka...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mnaotumia barabara ya Kilwa kuingia Dar kuna foleni kali iliyosababishwa na ajali

    wale watumiaji wa barabara ya Kilwa ikiwemo wanaoingia jijini Dar es Salaam na wale wanaosafiri mikoa ya Kusini chukua tahadhari mapema, wengine huko wamelazimika kusubiri kwa zaidi ya saa sita baada ya ajali mbaya iliyohusisha magari matatu, bajaj na pikipiki kutokea katika eneo lenye kilima...
  13. TUJITEGEMEE

    JamiiForums Tanzania Nani Wanufaika Wakuu wa Foleni Jijini Dar es Salaam na Maeneo mengine Nchini?

    Nani Wanufaika Wakuu wa Foleni Jijini Dar es Salaam na Maeneo mengine Nchini? Na nani waathirika wakuu wafoleni hizi? Nini kifanyike kuwanusuru waathirika wakuu wa foleni hizi? Uzi tayari. Karibuni kwa majibu.
  14. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Zamani tulipanga foleni kupata huduma hizi

    Wakuu kwema… Tuwape elimu ndogo vijana wa sasa kuhusu namna baadhi ya huduma zamani ilibidi upange foleni kwa kufika ofisi husika ili uhudumiwe. 1. Luku Ili upate huduma ya kununua umeme (luku) ilikuwa lazma ufike kwenye ofisi za Tanesco. Baadae wakaongeza huduma kwenye baadhi ya vituo vya...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Behewa la Machuma imesababisha Foleni kubwa hapa Kituo cha SGR

    Wakuu! Kuna behewa lililokuwa limebeba machuma limeanguka hapa Kituo cha SGR, Dar es Salaam na kusababisha foleni kubwa ya magari eneo hilo.
  16. Determinantor

    JamiiForums Tanzania TANROADS Pwani huyu Mkandarasi wa hili daraja hapa Ruvu mmepataje? Tumekaa foleni kuanzia saa saba usiku hadi sasa

    Huyu mkandarasi hadi uwezo, pesa ni ya World bank, why hamjengi mkamaliza? Kuna malori na magari madogo kama buku na kidogo. Kuanzia Visiga hadi ruvu..... Huu usumbufu usio na maana. WORLD BANK njooni muone huyu mkandarasi
  17. N

    JamiiForums Tanzania Kuna foleni kubwa sana maeneno ya Ruvu Pwani inayosababishwa na matengenezo ya muda mrefu ya Daraja

    Kuna foleni kubwa sana maeneno ya Ruvu Pwani inayosababishwa na matengenezo ya muda mrefu ya Daraja. Hii inachelewesha usafirishaji wa abiria na mizigo Shida ni nini? 1. Speed ndogo ya ujenzi wa daraja ambapo ni zaidi ya miezi sita sasa au 2. Polisi wameshindwa kudhibiti foleni pamoja na...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania SLAVE MENTALLITY: Unaweka watu foleni kugombania nafasi ya kuwa rafiki yako, nilijuaga urafiki unakuja kiasili.

    Kuna mtu humu anawaenjoy masela basi na wao wanachekeleeea hawajui kwamba wapo katika "matrix" yake ya kujimbwafai.. Too bad wachache ndio wataelewa.
  19. Sajo

    JamiiForums Tanzania Foleni Kimara Stop Over mpaka Suka - tarehe 16.08.2025

    Habari za jioni wakuu. Nimepita mida hii jioni leo tar 16.08.2025 mitaa hiyo ya Kimara Stop Over kuelekea Suka na kukuta kamba ndefu kiaina, lakini sababu leo ni gari dogo kuungua likiwa barabarani. Sijajua chanzo cha gari hilo aina ya Toyota Premio New Model kuwaka moto.
  20. Revolution

    JamiiForums Tanzania Foleni kubwa Kiluvya Madukani na Mpiji

    Foleni ya kwenda kibaha imeanzia eneo linaitwa kwa Komba ni ndefu inaweza kufika urefu wa kilometa 2 au 3. Wahusika wasaidieni hawa wananchi waendelee na mishe mishe zao
Back
Top Bottom