foleni

  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Ujenzi wa kipande cha Mwendokasi Karume (Dar) upo 'slow', unasababisha kero ya foleni

    Kwa zaidi ya miezi miwili eneo la Karume ambalo ni maarufu kwa wafanyabiashara wa mitumba kumekuwepo na changamoto ya foleni ambayo inatokana na ujenzi wa njia ya Mwendokasi. Mkandarasi ameziba njia upande mmoja kwa muda mrefu huku shughuli za ujenzi zikiwa zinafanyika taratibu (slow) jambo...
  2. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Kuelekea 2025 uchaguzi, Sintopoteza mda kupanga foleni kupiga kura bila kwenye mazingira haya ya uiz wa kura unaofabywa na tume na ccm

    Habari ndo hiyo. Kwenye uchaguz serikali za mitaa nilienda nipogekura nikaahirisha baada ya kuona mgombea mlengwa ameenguliwa eti hajui kujaza form. Strangely huyo ni mgombea aliyekua mwenyekiti wakati wa rais kikwete
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nape: Wapinzani wanapinga lakini wanapanga foleni kuchukua pembejeo za bure

    Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye, amesema Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa kiongozi mwenye usikivu mkubwa kwa wakulima wa korosho, akisisitiza kuwa pembejeo za bure alizotoa kupitia serikali yake ni uthibitisho wa dhamira ya kweli ya kuwawezesha wakulima nchini. Akizungumza Aprili 12, 2025...
  4. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania KERO Maeneo ya Sabasaba - Dodoma kuna kero kubwa sana ya foleni ya magari jioni na asubuhi

    Maeneo ya Sabasaba hapa Dodoma, majira ya Asubuhi na Jioni kuna foleni sana ya magari, hakuna utaratibu maalum uliowekwa eneo hilo. Wakati mwingine Trafiki wanakuwepo lakini si mara zote unajikuta unakaa saa zima foleni. Yaani hakuna utaratibu mzuri wa kuongoza yake magari pale Soko la...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Foleni ya malori kuingia Kigamboni

    Takribani wiki mbili sasa malori yamekuwa yakifunga njia ya kuingia kigamboni. Hii inaonekana taratibu za malori kuingia na kutoka bandarini hazisimamiwi ipasavyo. Usumbufu wa watumiaji wengine wa njia umekithiri sana. Hatuoni Jeshi la usalama barabarani likifanya kazi yake ktk hili...
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania Sasa Mrisho Gambo yuko katika mstari wa mbele katika foleni ya kula chakula cha sumu alichowapikia na kuwalisha wenzake-fitna, ukiua kwa upanga!

    Mrisho Gambo sasa anatakiwa kula chakula alichowalisha wenzake kwa muda mrefu sana, chakula chenye sumu ya fitna. Katika foleni, hakuna aliyebaki isipokuwa ni yeye, na mgawa chakula anamuangalia usoni kwa macho pima akiwa na upawa uliojaa chakula, gambo akiwa na sahani yake mbele ya mgawa...
  7. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania KERO Leo mjini foleni balaaa

    Kama unakuja mjini posta , daaa Leo ni huzuni Kuna foleni sio poa, gari hazitembei.. Kama umechelewa kazini, park gari lako request bolt uwahi ofisini
  8. M

    JamiiForums Tanzania Foleni ya kwenda kumuona Mwanaume mwenye Mwanamke mmoja

    😁😁😁
  9. B

    JamiiForums Tanzania KERO Foleni ya magari Mizani Mikumi ni kero kubwa, mbona haipati ‘solution’ au kuna watu wananufaika?

    Sisi Wakazi wa Mikumi Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro tuna kero ya muda mrefu ya foleni ya magari makubwa ya mizigo katika Mizani ya Mikumi, hali ambayo inatufanya kuhofia kutokea kwa ajali katika eneo hilo. Foleni hiyo inatokana utaratibu wa askari wakati wa ukaguzi wa magari hayo mpaka...
  10. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Foleni Jiji la Dar: Ni pale tutakapopata viongozi wenye akili ndipo tatizo litaondoka

    Nikitembea katika Jiji la Dar es Salaam na maeneo mengi ya Tanzania jambo kuu linalonijia kichwani ni kwamba, Tanzania tutapata maendeleo ya kweli pale tu tutakapopata Viongozi wenye akili na wasioendekeza rushwa. Haiingii akilini kwa upana wa kujenga barabara uliopo kati ya Gongo la Mboto...
  11. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na hichi chombo foleni haitakuwa ni tatizo kwako

    Hichi kifaa kinaitwaje na kinauzwa bei gani? Nataka niwe naruka angani niachane na hizi foleni za barabarani.
  12. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kukabiliana na foleni ya kutisha jijini Dar

    Siku hizi kuna foleni ya kutisha maeneo mengi ya Dar. Yaani Hali ni tete Jinsi ya kupunguza makali Kwanza: Beba vitu vya Kula, bites zisikosekane kwenye gari au kama ni wa public transport kwenye pochi au kibegi Beba misosi na maji. Juzi kidogo nizimie nnavyopenda kula, masaa mawili tumesimama...
  13. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Mbona leo kuna foleni sana?

    Leo Kuna tatizo gani mjini, Yani Kariakoo, Posta, Ilala, mpaka road za Sinza, Kinondoni, Kuna foleni sana Yani gari hazitembei, mpaka Boda wapo foleni, shida ni Nini Leo?
  14. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Chamwino, Dodoma: Rais Samia apiga kura katika Kitongoji cha Sokoine. Asisitiza amani na majibu kutoka kwenye masanduku

    Wakuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye foleni tayari kwa kupiga Kura katika Uchaguzi wa Seikali za Mitaa katika kitongoji cha Sokoine Kijiji cha Chamwino Mkoani Dodoma, leo tarehe 27 Novemba, 2024. === Samia amepiga Kura katika Uchaguzi wa Seikali...
  15. ommytk

    JamiiForums Tanzania KERO Foleni kubwa Kibaha kuna mkubwa anataka kupita

    Kwa wale mnaokuja njia Morogoro road hapa Kibaha maili moja kuna foleni sio mchezo magari yamezimwa kabisa kuna mkubwa tunahisi anataka kutumia njiaa hii so inabidi watu wa kawaida tusubiri
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Ujenzi wa Interchange ya SGR - Mwanza umesimama, Barabara nayo ni mbovu, kero ya foleni ya magari imekuwa kubwa

    Ujenzi wa Mradi wa SGR hapa Mwanza ambao kwa muda mrefu umekuwa hauna mwendelezo umesababisha kero ya foleni hasa katika Barabara ya magari eneo la Mswahili Mkoani Mwanza. Kero hiyo ipo zaidi katika Interchange ya SGR ambapo Barabara inayotumika kwa chini ni mbovu na wakati wa mvua hali huwa...
  17. Vien

    JamiiForums Tanzania Hii foleni ya leo Bagamoyo road sio mchezo

    Wakuu, Tangu saa 12 asubuhi mpaka sasa nimeganda hapa Masana, Gari hazitembei kabisa, Naskia wameziba barabara moja pale nia ya kuingia Kawe, Kazi tunayo kwa kweli
  18. nzahaksm

    JamiiForums Tanzania KERO Kipande cha Barabara Mbagala-Kongowe ni kero kubwa kwa tunaotumia njia hii

    Hii njia kama wewe ni mkazi wa huku nadhani unaelewa maumivu tunayoopitia wananchi. Hazipiti siku mbili au tatu bila kuwa na shida ya ajali na kusababisha foleni. Lakini wakati mwingine kupelekea vifo. Mfano jana ilitokea ajali na kusababisha vifo pale pale darajani mlimani. Gari lilifeli break...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Makonda aagiza Wazee na Viongozi wa Dini kutopanga foleni kwenye ofisi za Umma

    Wakuu kumekucha salama? Huko Arusha Mkuu wa Mkoa huo Paul Makonda ameagiza kupewa kipaumbele kwa Viongozi wa dini na Wazee wote wa Mkoa wa Arusha pale watakapokuwa kwenye Ofisi zote za Umma Mkoani humo kwa ajili ya kutafuta huduma. Mbele ya waumini wa Msikiti Mkuu wa Bondeni Jijini Arusha...
  20. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Bashungwa: Barabara za mwendokasi ambazo hazijaanza kutumika, zitumike kwa magari binafsi ili kupunguza foleni

    Waziri wa Ujenzi wa Tanzania Innocent Bashungwa ametoa ushauri wa Mamlaka husika kuruhusu barabara zinazotumiwa na Mabasi ya ‘Mwendokasi’ ziwe zinatumika na magari binafsi hususani wakati wa asubuhi kwenye kuwahi kazini na jioni wakati wa kurudi nyumbani na kusema hiyo itapunguza foleni hasa...
Back
Top Bottom