kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,185
- 24,564
Kama una mpango wa kuja Mwenge ukitokea Tegeta au mbezi au Kawe tafuta njia nyingine tu
Kuna foleni ya kutisha na haisogei nimekaa hapa ni lisaa limekata hakuna matumaini ya kusogea hata, natamani hata nilitelekeze gari nichukue boda maana kuna mahali natakiwa kuwahi...
Hii ya leo ni kiboko....
Soma Pia: Bagamoyo road kuna foleni balaa