herman kwayu
New Member
- Nov 4, 2016
- 3
- 2
Njia kuelekea goba kupitia Milimani then Makong imekuwa ba foleni mbaya sana, inatuumiza sana sisi wa goba haa ukizingatia njii hii inasav wakazi wa makongo, goba, madale, kimara, mbezi na sehemu zingine.
Unaweza kaa kw foleni for 3hours sehemu ya dk25 na mamlaka zipo tuu.
Ukifiatilia ni uzembe tuu wa wenge vyombo vya moto.
Mkuu wa wilaya ya ubungo wakati anakuja alikuwa na mkatakati wa kufuta hii foleni sasa sijui aliishi wapi.
Mheshimiwa alija na media kabisa. Atuambie plan sasa