Jamaa anavyeti na mzuri wa mazoezi lakini bingwa wa Figisu na hana uwezo kabisa wa kufundisha ata makipa.
Toka aje Simba kama alivyokuwa Azam makipa ndio wanakuwa wabovu zaidi badala ya kuimarika.
Anamkuta Ally Salum wa moto anampa mazoezi kama kakulia academy za Man United. Anawachosha na...
Viongozi wa simba waamini kwenye rangi nyeupe kurubuni washabiki na kwenye upigaji.
kocha katoka azam na mazoezi ya video. Licha ya kuwa na sifa ya mazoezi ya kisasa. Hutoa mazoezi mengi sana na kuchosha makipa na mwisho wa siku huaribu viwango vya makipa.
Toka aje simba kiwango cha makipa...
Kuna tetesi kuwa Waziri Mchengerwa, anayesifika kuwa na kifua kikubwa kukabiliana na maswala ya utawala, kaingia figisu za tamaa.
Gazeti la Mwanahalisi (September 28-October 4, 2023) limedokeza kuwa kulikuwa na jaribio la Mchengerwa kujitwaalia gari mpya pya pya pya, aina ya Nissan Patrol ...
Barani Afrika Waarabu na timu zao wamekuwa mabingwa wa kubuni figisu na wengine kuanza kuiga. Baadhi ya figisu zao ni kumulika wachezaji kwa Lasers, kuwasha myoshi uwanjani na kuwatumia vijana waokota mipira kufanya figisu.
Nafikiri ni wakati wa timu zetu nazo kuanza kuumiza kichwa na kubuni...
Rais wa awamu ya tatu, Rais Msomi kuliko Rais yeyote nchini, Mheshimiwa Benjamin William Mkapa, alichemsha kwa Tundu Lissu, akabambikiwa kesi nyingi sana, akazipangua zote. Sababu ilikuwa Tundu Lissu kutetea haki za wanavijiji wanaozunguka maeneo ya Bulyanghulu, ambao wapo waliotendewa dhuluma...
PAMBA WALALAMIKA KUFANYIWA FIGISU
Uongozi wa klabu ya Pamba ya Jijini Mwanza umeomba uongozi wa TFF kuchunguza Upangaji wa matokeo kwenye Mchezo wao wa jana 1st leg play off dhidi ya Mashujaa FC mchezo uliofanyika Mkoani Kigoma ambao Pamba kupoteza (4 - 0).
Wadai wamefanyiwa uhuni, Wachezaji...
Mbowe na wenzake wote wanaolamba asali wanazunguka Tanzania nzima kuandaa mazingira ya kurudi bungeni. Lakini hii wewe umeishutukia maana 2025 chochote kinaweza kutokea. Wananchi ndio tutaamua. Hata huyo aliyewadanganya kuwapa ubunge anajua vizuri kuwa wananchi tukiamua hawapati alichowaahidi...
Hili ndo basi wamepewa Yanga SC na wenyeji wao huko nchini Nigeria kwa ajili ya matumizi wakiwa nchini humo kwa ajili ya mchezo wa CAF confederation dhidi ya Rivers hapo kesho.
Fred Vunjabei ameamua kuweka duka lake Zanzibar kuwapa ahueni ya kununua vitu kwa bei ya juu. Kabla hata hajaanza kazi keshaanza kupata mizengwe na Manispaa ya Mjini Zanzibar.
Ngazi za kuingilia mlangoni zimechomolewa kwa kigezo kuwa zimekiuka sheria.
Wanabodi,
Kwa maslahi ya taifa, leo naomba kuendesha somo kuhusu kitu kinachoitwa ubatili na haramu.
Ubatili ni kitu ama kilichofanyika kinyume cha sheria, taratibu na kanuni hivyo jambo likifanyika kwa ubatili jambo hilo linakuwa ni batili.
Haramu ni jambo ambalo limefanyika kinyume cha...
Habari za majukumu wakuu..
Moja kwa moja kwenye mada, haina ubishi kwamba tasnia ya mziki kwa sasa imeendelea sana wote tunashuhudia vijana wanavojituma kusukuma gurudumu la bongo fleva kusogea.. kufanya mziki ni ndoto ya mamilioni ya vijana (nikiwemo mimi) lakini kwa hali ilivo sasa uhalisia...
Imekuwa ni kawaida kuona figisu figisu ikitawala katika ajira za walimu. Baadhi ya figisu figisu hizo ni kama ifuatavyo.
1. Kutangazwa kwa nafasi za walimu wa Physics na Hesabu lakini wakachaguliwa baadhi ya walimu wa biology na chemistr. Walimu wa chemistry na biology ambao hawakuomba wakaona...
Mechi ya Leo imetufundisha jambo, hwa Asec mimosas simba haiwafikii kwa ubora walionao, walivyowafunga kwa Mkapa ni kwasababu za nje ya uwanja zaidi na sio kwamba simba iliwazidi ubora.
Mambo ya kishirikina yanayofanyikaga pale kwa mkapa ili simba ashinde tunayajua vizuri sana, ndiyo maana...
Nazungumzia ile kutegeneza fitna,zengwe na figisu Fulani ili KUVURUGA mahusiano ya watu, ili Wewe upate nafasi ya kumsogeza karibu umtakae au kumtuliza yule umpendae[emoji2]
BINAFSI ILIKUA HIVI[emoji4][emoji116]
Nadhan wote mnamkumbuka vizur yule Mchepuko wangu msumbufu, sasa figisu la leo...
CHANZO SAHIHI
Kuna Mgongano Mkubwa sana ambao unaitesa Serikali Na CCM.
Juzi maeneo ya Area C Ndani ya Kihoteli kidogo Double K Dodoma haya yamebainika,
Hakuna jambo liliwashtua watu kama Magufuli kuondoka Hasa Wale walikuwa wanamsujudu,
Wale akina Kesi, Mlinga, Ndugai na Msukuma Bungeni...
Humphrey polepole na King msukuma hakuna asiyejua kuwa nyie ni miongoni mwa waliokuwa wanufaika wakuu wa utawala wa hayati Magufuli.
Ni katika kipindi hicho ambapo vijana tulipokuwa tukihoji masuala ya ajira mnatukebehi kwa maneno yaliyojaa kejeli na dharau kubwa
Nakumbuka wakati humphrey...
Hali ya kusikitisha, kuogofya na kuumiza, RC wa Mwanza amekataza kwa mtazamo wake mikusanyiko yote isipokua Misiba na Ibada tu ili "kupunguza kasi ya maambukizi ya Covid-19"!
Ukumbuke Chadema wamepanga kufanya kongamano la Mjadala wa Katiba Mwanza.
Kwa akili za RC mikusanyiko ya Mazishi na...
Hii ndio taarifa aliyoisambaza kwenye vyombo vya habari , anadai amepokea Email kutoka Kamati ya Uchaguzi kwamba Amekatwa.
Ameahidi kutoa ufafanuzi zaidi baadaye kidogo
Hayati Magufuli akiwa kwenye Kampeni Shinyanga aliahidi kumpatia huyu jamaa nafasi kwa kumshawishi amuunge mkono Katambi ambaye kama isingekuwa vile sidhani kama angekuwa hapo alipo sasa.
Je, Mama yetu Samia anakumbuka alivyoahidi mtangulizi wake kuhusu huyu bwana?
Je, ndiyo mwisho wa Masele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.