fifa

  1. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi Rais wa FIFA anafahamu kuna timu inaitwa Yanga kweli?

    Hapo vip! Embu tuweke ushabiki pembeni alafu tujuulize hivi rais wa FIFA anafahamu kuna timu inaitwa yanga kweli?😀😀😀😀
  2. Dalton elijah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FIFA yatishia kuiondolea Uanachama Israeli

    Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limesitisha kuiondolea uanachama Israeli na badala yake imeanzisha uchunguzi kuhusu madai ya ubaguzi yaliyotolewa dhidi ya maofisa wa Soka wa Palestina. Jopo kuu la FIFA linalosimamia utawala litachunguza “ushiriki wa timu za Israeli zinazodaiwa kuwa katika...
  3. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FIFA yaipa Yanga siku 45 kumlipa Okra Magic Tsh 66,612,000.00 na siku 30 kulipa fine ya Tsh 8,190,000.00

    Katika uamuzi wa hivi karibuni kutoka kwa Mahakama ya Usuluhishi wa Migogoro ya FIFA (FIFA Dispute Resolution Chamber), Yanga SC, moja ya klabu maarufu za mpira wa miguu nchini Tanzania, imetakiwa kumlipa mchezaji wa zamani wa Bechem United, Augustine Okrah, kiasi cha dola za Kimarekani 24,400...
  4. Jacobus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ZFF haiitambui kalenda ya FIFA?

    ZFF ni Zanzibar Football Federation kwa Kiswahili ni Shirikisho la Soka la Zanzibar sawa na TFF. Kimenishangaza ligi ya Zanzibar inaendelea wakati huu ambapo mechi za timu za mataifa zikiendelea. Timu za Simba na Yanga zimecheza mechi za kirafiki kwa angalizo la kutooneshwa ama kutangazwa kwa...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Okrah aiponza Yanga, yapewa siku 45 kuilipa Bechem United Mil. 216

    Shirikisho la soka duniani ( FIFA ) limeitaka klabu ya Yanga kuilipa kiasi cha USD 80,000 sawa na Tsh Milioni 216 klabu ya Bechem United ya nchini Ghana ,pesa ya malipo iliyosalia katika uhamisho wa Augustine Okrah kutoka Bechem United kwenda Yanga. FIFA imeitaka klabu ya Yanga kulipa pesa hiyo...
  6. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais wa FIFA amlilia Hayatou atuma salamu za rambirambi

    Rais wa Shirikisho la Kimataifa ya Soka (FIFA), Gianni Infantino ametuma salamu za rambirambi kwa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kutokana na kifo cha aliyekuwa Rais wa shirikiho hilo la Afrika, Issa Hayatou. Hayatou alifariki dunia jana Alhamisi akiwa na umri wa miaka 77, huku akikumbukwa...
  7. Damaso

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KWELI Shakira aliiga ala ya muziki katika wimbo wake wa Waka Waka?

    Mwaka 2010 FIFA walimpatia nafasi Shakira ya kuandaa na kuimba wimbo maalumu kwa ajili ya michuano ya kombe la Dunia ya mwaka 2010 iliyofanyika Afrika ya Kusini. Kwa taarifa za juu ni kwamba Shakira Isabel Mebarak alitupiga na kitu kizito kwani alifanya sampling na kuiba melody ya wimbo wa...
  8. Tate Mkuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye Klabu ya Yanga imefutiwa marufuku ya kusajili

    Kwa mashabiki, wanachama, na wadau wote wa michezo kwa ujumla! Habari ndiyo hiyo. TFF na FIFA kwa pamoja wameifuta ile marufuku yao ya kuizuia klabu ya Yanga kufanya usajili. Na hii ni baada ya mchezaji Lazarus Kambole kumalizana kwa amani na Wanajangwani. Rai yangu kwa Yanga; 1. Timu ya...
  9. bullar

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FIFA watumia rangi za upinde kwe profile yao

    Shirikisho la soka duniani FIFA limetumia rangi za rainbow 🌈 kwenye profile yake hii ina maana gani kwa s mashabiki wa football wasi unga mkono hayo mambo pia kwa vyama wanachama wausio unga mkono ? Tukae tusubiri.
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunaisaka nafasi ya pili kwa udi na uvumba na tukishaipata TFF ,mtutaeleza kwanini Yanga imefungiwa na FIFA kusajili vinginevyo itakuwa kama Sigara

    Sisi sasa hivi tumeweka kiporo hoja ya Yanga kufungiwa kusajili kutokana na kumchezea mfumo, lakini tutakapomaliza nafasi ya pili mtatueleza ilikuwaje kuwaje hadi mkafungiwa, tumeshaandaa wanasheria kabisa wa kushughulikia hoja hiyo na wametuhakikishia ushindi upo dhidi ya uhuni katika soka hapa...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali kwa TFF: Mchezaji kama hajatimiza vigezo vya usajili anaweza kuruhusiwa kucheza?

    Nije kwenye Mada yangu moja kwa moja. Naiomba TFF utoe ufafanuzi wa Sheria juu ya mchezaji ambaye hajakamilisha vigezo vya usajili wake je anaruhusiwa kucheza? Na kama haruhusiwi mpaka akamilishe vugezo, adhabu ya Kucheza kabla ya kukamilisha vigezo kwa Mujibu wa sheria za FIFA na TFF ni zipi?
  12. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mamelodi wanaweza kucheza CAF champions league final na Al ahly kisa FIFA doping rule

    Shirika la Kupambana na Dawa za Kulevya Duniani limethibitisha kuwa Tunisia haizingatii Kanuni za Dunia za Kupambana na Dawa za Kulevya na kuiwekea nchi hiyo vikwazo. Sundowns inasubiri tangazo rasmi la CAF tu kucheza na Al Ahly katika CAFCL huku ES Tunis ikishindwa kuwakaribisha Al Ahly katika...
  13. vvvv

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tangu Yanga wafungiwe usajili na FIFA & CAF Pacome hakucheza tena

    Yanga walipopata barua toka kwa FIFA, CAF na TFF Pacome akapata injury, TFF imeficha jina la mchezaji aliyechezeshwa na Yanga wakati usajili wake wa utata. Wameamua wasimchezeshe kabisa, sheria inajulikana kila mechi aliyochezeshwa points 3 zinatakiwa zikatwe. TFF simamieni sheria acheni...
  14. NALIA NGWENA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hizi ndiyo timu kutoka Africa zitakazo shiriki michuano ya FIFA klabu bingwa dunia

    kwa bara la Afrika zimeingia timu nne tu katika michuano ya klabu bingwa dunia, michuano hii ipo chini ya FIFA Al ahly kutoka nchini Misri Wydad kutoka nchi ya Morocco Mamelody sowndowns kutoka nchi ya south Africa Esperance de tunis kutoka nchi ya Tunisia NB: Kuna timu kutoka Tanzania...
  15. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FIFA wanaua soka, Kila timu inayoshiriki kombe la dunia la vilabu kupewa takribani shilingi bilioni 130, Mpira wa Afrika unaenda kuwa farmers league

    Hasa hapa kwetu Afrika kwenye timu ambazo hazifiki hata asilimia kumi ya hicho kiasi Unazipa timu bilioni 130 kwa kushiriki kombe la mwezi, inakuwa ngumu sana kwa timu zenye bajeti za bilioni 8 kushindana na hao wanaopewa mizigo mizito. Vuta Picha leo hii hata Mtibwa kavuta hicho kiasi, Yanga...
  16. Greatest Of All Time

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Klabu Yanga yafungiwa kusajili na Shirikisho la soka Duniani (FIFA)

    Klabu ya Young Africans iliyoko Ligi Kuu ya NBC imefungiwa kufanya usajili kwa kukiuka kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA). Uamuzi huo umefanywa na FIFA baada ya klabu hiyo kukiuka Annexe 3 ya Kanuni ya Uhamisho wa Wachezaji (RSTP) ya Shirikisho hilo. Pamoja na masuala...
  17. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga ingesonga mbele, ingeshiriki Klabu bingwa ya Dunia ya FIFA, kila mshiriki anapewa Dollar Milioni 50 kwa kushiriki tu

    Hivyo basi, Mamelodi anaenda kulamba Bilioni 125 kutoka FIFA kwa msaada wa yule refa. Kiukweli kwa pesa nyingi namna hii, hata wewe ungekuwa refa, na Motsepe anakuwekea bilioni 5 mezani, utaenda kuangalia VAR?
  18. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Siku mbu akitua kwenye korodani zako ndiyo utajua kuna njia bora ya kutatua shida au matatizo bila kutumia vurugu

    Mungu alianza uumbaji wake katika siku ya kwanza. Akaamua kuweka ardhi, lakini hii ardhi akaamua kuitofautisha, kwa nini? Kwa sababu alitaka dunia ipendeze. Akaiwekea miti na kwingine akaamua kupawekea mchanga mwingi na kupaita jangwa. Kwingine akaamua kupawekea tu mchanga wa kawaida, ndipo...
  19. covid 19

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TFF wasaidieni Yanga Afrika huko FIFA kama halikuwa goli kwanini refa hakuwapa Yanga kona wakati mpira ulitolewa nje kwa kichwa na beki wao?

    Nimejiridhisha tena kwa mara nyingine mpira ule baada ya kutoka golini pale beki ya mamelod iliutoa kwa kupiga kichwa nje na kipa akaudaka mpira ukiwa nje umeshadunda chini Sasa ninachojiuliza kama refa halikataa goli sasa si angewapa young african corner yao kwanini alifanya iwe goal kick...
  20. covid 19

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi hakuna namna Yanga wanaweza kukata rufaa FIFA?

    Yaani ni jambo la ajabu sana kukataaa goal la wazi km hili how yaani var ikatae hii ni aibu sana kwa rais wa caf matsope sijui na team yake ya mamelod yaani ni aibu kwenye mpira wa africa kabisa. Mimi nataka kujua haiwezekani kukata rufaa kama umedhulumiemwa kwenye hatua hizi za robo fainali...
Back
Top Bottom