fidia

  1. U

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge yawasilisha hoja ya fidia

    Kamati ya Bunge Mambo ya Nje na Usalama imewasilisha hoja maalum katika Kamati ya Bunge ya Uongozi kuhusu migogoro ya fidia kati ya wananchi na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ). Akizungumza wakati wa kipindi cha maswali na majibu leo Jumatatu Aprili 12 2021 Spika wa Bunge Job Ndugai amewataka...
  2. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Wamilili wa Online Tv walipwe fidia, waliozifungia wachukuliwe hatua, maana Rais amesema zilifungia kimakosa

    Huu ni ukweli mtupu, mwanasheria nguli na mgombea urais wa JMT kupitia Chadema anasema kweli tupu. Kama hawakuwa na makosa walipwe fidia na walioshiriki kuzifungia bila makosa wachukuliwe hatua.
  3. JamiiForums Tanzania Fidia kwa waliopisha upanuzi wa uwanja ndege Msalato

    Habari za jioni. Kwa wanaohusika na malipo ya fidia ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato -Dodoma mtatulipa lini fidia hiyo miaka inakwenda ardhi na vilivyomo havituzalishii toka mlipohakiki mara ya kwanza mwaka 2018 ni miaka mitatu, Sasa je, mtaongeza kiwango cha fidia au ndo mtatulipa...
  4. JamiiForums Tanzania Mahakama yamuamuru Rais wa Brazil kumlipa fidia Mwandishi baada ya kumdhalilisha

    Mahakama nchini Brazil imemuamuru Rais wa nchi hiyo, Jair Bolsonaro kumlipa fidia mwandishi wa habari wa kike kwa kumtolea maneno ya kumdhalilisha. Uamuzi huo wa Mahakama umekuja kufuatia kauli aliyoitoa Rais Bolsonaro dhidi ya Patricia Campos Mello ambaye ni mwandishi wa habari wa gazeti la...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ninataka kuwadai Halotel fidia kwa usumbufu walionipatia

    Wakuu kwema? Nina shida hapa imenitokea, mnamo tarehe 23 nilituma pesa kama Tshs 500k kwenda namba ya voda tokea halotel, ila nikajagundua nimekosea namba, Nikawapigia halopesa, wakaniambia nisubiri masaa 72 pesa itarudi, Nikawa mpole nikasubiri, masaa yamefika 100,pesa haijarudi...
  6. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Ahukumiwa kifungo cha nje na fidia ya 20,000 baada ya kumpiga mkewe kwa mwiko

    Dar es Salaam. Mahakama ya Mwanzo ya Buguruni imemhukumu kifungo cha nje cha miezi minne mkazi wa Tabata Segerea, Baraka Athuman (33) baada ya kukutwa na hatia ya kumpiga mke wake Kuluthum Khamis kwa kutumia mwiko wa ugali kutokana na wivu wa mapenzi. Pia, mahakama hiyo imemwamuru mshtakiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Mkiwasaidia Wasafi TV kwa 'Unafiki' wenu basi upesi sana muwaombe radhi itakayoambatana na 'Fidia' akina Kwanza TV na wengineo mliowafungia nyuma

    Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Innocent Lugha Bashungwa ameeleza kuhusu kufungiwa kwa Vyombo vya Habari na Wasanii na kuzungumzia kuhusu Wasafi Tv. Akiongea katika kipindi cha Clouds Fm Waziri ameeleza haya. “Kama Wizara jukumu letu la kwanza ni kusimamia nidhamu, inapotokea...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli tusaidie Wananchi tunaopisha upanuzi wa Uwanja wa Ndege Iringa. Tanroads wanatusumbua sana kutulipa fidia ya mali zetu

    Mheshimiwa Rais tumehangaika mapaka tumeona tukuandikie kupitia jukwaa hili utusaidie sisi wanyonge wa kijiji cha Igingilanyi ambao tumetakiwa kuhama ili kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege wa Nduli uliopo katika manispaa ya Iringa. Baada ya kuelimishwa wananchi hatukuwa na pingamizi la mradi...
  9. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Madini ya Montero kuishitaki Serikali ya Tanzania ikidai fidia kwa mradi wa Wigu Hill

    Naona Mabeberu yameingia kazini tena. Kampuni ya Montero imeazimia kuishitaki serikali ya Tanzania ikikusudia kudai fidia kutokana na kupoteza mradi wake wa utafiti wa madini wa Wigu Hill uliotokana na mabadiliko ya sheria ya madini ya mwaka 2010 iliyofuta baadhi ya leseni zilizokuwa zikitolewa...
  10. JamiiForums Tanzania Asante Postmaster General kwa kunilipia fidia

    Nawasalimu Wana-JF wote; heri ya mwaka mpya 2021. Mnamo tarehe 07/12/2020 niliandika malalamiko yangu hapa JF kuhusu mzigo wangu kupotelea Posta tangu tarehe 13/3/2020; ambapo hatua za kufuatilia mzigo huo hazikuzaa matunda, mpaka nikafikia hatua ya kuandika malalamiko hayo JF kwenye link hiyo...
  11. J

    JamiiForums Tanzania DC Kihongosi: Wanaohoji mimi kuwachapa bakora Wafanyabiashara hawana hoja. Niliowachapa wamelipa sh 5,400,000.00 kama fidia

    Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Kenan Kihongosi leo amepokea fidia ya sh 5.4 milioni kutoka kwa wafanyabiashara wa chuma chakavu kama fidia ya vitu walivyouziwa na wanafunzi kinyume cha sheria. Kihongosi amesema fedha hizo zitatumika kutengeneza madawati mapya. Kadhalika DC Kihongosi amewaponda...
  12. JamiiForums Tanzania Je, mwanamke anayo haki ya kudai fidia kwa kuvunjwa kwa ahadi ya ndoa?

    Kwa mujibu wa kifungu namba 69 cha sheria ya ndoa, mwanamke anaweza fungua kesi ya fidia dhidi ya mwanaume aliyevunja ahadi ya ndoa dhidi yake.
  13. JamiiForums Tanzania Walimu wafanyiwe haya kama motisha na fidia yao katika utumishi huu wa Miaka Mitano

    Wakuu habari zenu, Niwapongezeni kwa kuchagua Tanzania kuwa kijani kibichi, hakika sasa tutegemee maendeleo ya kasi ya 5G maana wale waliokuwa wanapinga maendeleo sasa hawapo tena! bila shaka sasa hakuna tena visingizio! mishahara kwa watumishi itapanda! madaraja watapanda pengine kuanzia mwezi...
  14. JamiiForums Tanzania Mtu mweusi aliyekamatwa na kuvutwa nyuma ya farasi ashitaki mamlaka ya jiji la Texas akidai fidia ya dola milioni 1

    Mtu mmoja mwenye asili ya Kiafrika ameishitaki Mamlaka ya jiji la Texas baada ya polisi waliomkamata kumfunga kamba na kumvuta nyuma ya farasi, akitaka kulipwa fidia ya dola milioni moja (sawa na zaidi ya shilingi bilioni 2) akisema kuwa alihisi kunyanyaswa na woga baada ya kukamatwa. Katika...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Indiana yafungua kesi ya madai ya takribani Sh. Bilioni 220 dhidi ya Tanzania

    Kampuni ya utafiti wa dhahabu ya Indiana Resources iliyopo Australia imeanzisha madai ya kutaka fidia ya dola za kimarekani million 95 (takribani TZS Bilioni 220) dhidi ya Serikali ya Tanzania juu ya unyakuaji haramu wa mradi wa madini ya Nikeli (Ntaka Hill Nickel project) uliopo Kusini...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali yetu sikivu ya Rais Magufuli ninaiomba iwalipe fidia wenye ulemavu wa ngozi(Albino),Waliokatwa mikono yote na wengine mmoja na mguu...

    Kama serikali pendwa imewakumbuka wasanii waliotutoka mfano Steve Kanumba(Bongo Movies)aliyepewa milioni 20,mzee Majuto(Vichekesho)Milioni 50,na wengine,basi tunaiomba iwakumbuke na wenye ulemavu wa ngozi(albino)waliovamiwa na kukatwa mikono yote miwili bila hatia,sasa wanalelewa na masista, Ni...
  17. JamiiForums Tanzania Wananchi Igingilanyi walia na Serikali kuhusu malipo duni ya fidia za nyumba zao kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege wa Iringa

    Sisi wananchi wa kijiji cha Igingilanyi kilichopo katika manispaa ya Iringa ambao tunatakiwa kuhama katika makazi na maeneo yetu ili kupisha upanuzi mkubwa wa uwanja wa ndege wa Iringa ulipo katika vijijji vya Nduli na Igingilanyi lakini kwa sehemu kubwa utachukua sehemu ya Ingilangyi ambako...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Ramadhan Hamis Ntunzwe, adai TRA hawajatekeleza agizo la Rais. Je, Kamishna Mkuu TRA afukuzwe kazi na Yono ifilisiwe mali zake?

    Kusema kweli mimi mkiristu kisa cha Ramadhani Ntunzwe kimenisikitisha Mwenye MB zako nisimwage chumvi Ona hapa[emoji116][emoji116][emoji116] Hii issue ikianza hivi natoa pongezi kwa Ramadhani kwa uvumilivu VIDEO: Hivi ndivyo mfanyabiashara aliyetajwa na Magufuli Baadae ikafuata hii mpaka...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Wanataka kuufuta Mfuko wa wafanyakazi wa WFC, hivi Serikali haioni hata aibu?

    Wewe ni Waziri mzuri ndiyo. Unajitahidi kufanya kazi zako vizuri - hulali usiku na mchana ndiyo maana ukafanikiwa hadi kuifukuza corona. nchini mwetu. Uko vizuri sana. Mwanzoni mwa juma lililopita Tarehe 21 Julai 2020 baba mdogo wangu anayefanya kazi mgodini akawa ananipiga stori kuwa Serikali...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali isimamie kutoa fidia kwa wale wanaotoa ardhi kwa ajili ya maendeleo, watu wanalia sana

    Binafsi naiamini na kuiomba Serikali ya sasa jinsi inavyosimamia maendeleo kadhaa isimamie pale wananchi wanapolipwa pesa zao kwa kutoa ardhi kwa ajili ya serikali. Hili naamanisha ama inapovunja nyumba ama kuchukua sehemu ambayo wana haki ya kulipwa. Nimeona wengi wakiteseka hasa wanaposema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…