Hadithi ni tafsiri ya hadithi The Ransom of the Red Chief.
FIDIA YA NUNDA
Lilionekana kama jambo zuri, lakini subiri mpaka nikusimulie. Tulikuwa huko kusini, Alabama—mimi na Bill Driscoll tulipopatwa na wazo la kuteka mtu ili tulipwe fidia. Kama Bill alivyokuja kusema, “ilikuwa kama kichaa cha...