"Mali mnazoziiba leo mtazifaidia kwa muda mchache, enyi watawala hamtakufa nazo, utakufa na nguo zako, huna adabu utahukumiwa. Mnatesa mayatima, mnatesa wajane, mtaibia wanyonge, Mungu anataka heshima, Mungu anataka haki. Naongea na viongozi mnisikilize viongozi wa nchi, mlio wezi mnisikilize...
Baada ya maswahiba wawili Elon na DJT waliowahi kushibana sana kumwagana wiki ya karibuni siri zao mbalimbali zaendelea kuvuja au kuachiliwa, mojawapo ya hivi karibuni na Elon Musk kushikana mashati na waziri wa fedha wa Marekani katika moja ya vikao kazi vyao ambapo ilibidi hadi watu wazima...
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Benki ya Dunia kuhusu ushirikiano wa kimaendeleo kati ya Tanzania na Benki hiyo, kikao ambacho kilifanyika katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma.
Katika kikao...
DODOMA; WIZARA ya Fedha imewasilisha mafungu nane ikiomba kuidhinishiwa kiasi cha Sh trilioni 20.19 kwa mwaka wa fedha 2025/26 kwa matumizi ya kawaida na maendeleo.
-
Akiwasilisha mapitio ya utekelezaji wa mpango na bajeti kwa mwaka 2024/25 na mapendekezo ya mpango na bajeti ya wizara hiyo kwa...
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amesema kuwa ukuaji wa Pato la Taifa (GDP) kwa mwaka 2024 umefikia asilimia 5.5, ukilinganishwa na asilimia 5.1 kwa mwaka 2023 na asilimia 5.4 kwa mwaka 2022.
Akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Fedha mwaka 2025/26 Bungeni leo...
Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu amesema takribani Sh Bilioni 900 zimekusanywa kutoka taasisi za umma na kampuni ambazo Serikali ina umiliki wa hisa chache zipatazo 200.
Amesema “Hadi kufikia sasa (Juni 2, 2025) Ofisi ya Msajili wa Hazina imekusanya karibia Sh Bilioni 900 kama mapato yasiyo...
Kwasababu sasa nchi ishakuwa na inequality, watu wachache wanakandamiza wengi, katiba mbovu, ufisadi wa kuwanufaisha watu wachache wa CCM, Kutumia dola kuumiza raia, utawala wa kiimla, kujiweka madarakani, hii Tanzania sasa imekuwa ni nchi ya kikundi cha watu wachache. Na kwasababu wameshikilia...
MTIRIRIKO WA MASOMO KUHUSU UWEKEZAJI KWENYE MASOKO YAVFEDHA NA MITAJI.
Kuanzia leo, nitakuwa nikiandaa mfululizo wa masomo mafupi ya kila siku kuhusu uwekezaji, hasa katika maeneo ya:
📌 Uwekezaji kwenye soko la hisa
📌 Hatifungani (bonds)
📌 Uwekezaji kwenye mifuko ya pamoja kama UTT AMIS, FAIDA...
"Elon Musk alijitolea kununua tuzo yangu ya Ballon d'Or yangu kwa $1-bilioni lakini nilikataa ofa hiyo." __ George Weah
Tuzo yangu ya "Ballon d'Or yangu sio tu mafanikio yangu makubwa katika soka yangu lakini ni tuzo pekee ya Ballon d'Or pekee barani Afrika.
Hata kama mtu tajiri zaidi...
1. Anaweka cha juu kwenye Kandarasi ya Mradi fulani au Ununuzi wa Vifaa. Akilipwa hicho cha juu anaenda haraka kununua mali mfano Shamba au Kiwanja au nyumba au hata hisa/ bond kwenye kampuni/ shirika fulani. Kwenye hili pia anaweza kufungua akaunti kwenye bank nje ya nchi na kuweka fedha hizo...
Hashim Rungwe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) akihojiwa na Edwin Odemba anasema:
“Kila tukienda kwenye mikutano ya vyama vya Siasa CCM inachukua pesa za wananchi inatulipa ili ionekane nchi hii kuna demokrasia, hakuna dawa hosptalini ila pesa za kutulipa wanapata na...
Mkurugenzi wa Masoko ya Fedha Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Akaro akizungumza katika semina ya Waandishi wa habari iliyofanyika tarehe 20 Mei 2025 katika ofisi za Benki Kuu jijini Dar es Salaam, kuhusu Kanuni za Matumizi ya Fedha za Kigeni za Mwaka 2025.
Kwa mujibu wa Kanuni hizo, bei...
Kama mtu mwenye nia ya kuwa Rais wa Tanzania na muumini wa uchumi wa viwanda ni vizuri thaman ya fedha ya Tanzania kuwa chini sana ili ipunguze gharama za uzalishaji viwandani
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amehoji kuhusu watoa huduma za afya katika hospitali za serikali kuwatoza fedha wanawake wajawazito na watoto chini ya miaka mitano, kinyume cha sheria na kuhoji waliruhusiwa na nani kufanya hayo?
Swali hilo limejibiwa na Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel...
Nikiwa Rais kabla ya ligi kuanza kila timu itapewa zaidi ya billion 1 kwa ajili ya maandalizi ya ligi kuu ya Tanzania na baadae fedha itaongezeka itakuwa billion 2, 3 nakuendelea na zile zinazoshiriki mashindano ya kimataifa kama CAF champions, & CAF confederation fedha itaongezeka
Multiplier...
Imeandaliwa na Smart Finance SW
Watu wengi huogopa kufanya maamuzi ya kifedha kwa sababu wana hofu ya "kufanya makosa." Lakini ukweli ni huu: hakuna uamuzi mbaya katika fedha, kama umejifunza kutoka kwenye uamuzi huo.
Kila hatua unayochukua kifedha—iwe umewekeza sehemu isiyoleta faida...
Mpango wa Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026
Ujenzi ni Bajeti ya Kazi na Utu
Waziri Ulega aahidi ujenzi zaidi
Dkt. Samia kuzindua Daraja la JPM
Makandarasi wazawa kicheko
Miji 200 kumulikwa taa
Usumbufu kwenye mizani wapata dawa
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega...
Hello Wafugaji wenzangu 👋🏽,
Nimeona kuna watu wengi wanaanzisha ufugaji wa kuku, hasa kwa lengo la kupata mayai ya kutosha kwa matumizi au biashara, lakini ndani ya miezi michache wanakata tamaa. Nimeona hii mara kwa mara, na mara nyingi chanzo kikubwa ni kununua kuku bila utafiti sahihi...
Benki kuu ya Tanzania ilisema katika taarifa yake Ijumaa jioni kwamba imepiga marufuku matumizi ya fedha za kigeni kwa miamala na malipo ya ndani.
Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imesema kwa mujibu wa kanuni zilizotolewa na Serikali mwaka 2025, bei na malipo ya bidhaa na huduma zote nchini lazima...
benki
benki kuu
benki kuu ya tanzania
fedhafedha za kigeni
kufanya
kuu
marufuku
matumizi
matumizi ya fedha
miamala
ndani
tanzania
yapiga
yapiga marufuku