"Athari za ukubwa wa deni la Serikali linaangukia kwenye mabega ya wananchi wanyonge. Wananchi wanaongezewa kodi, ushuru na makato katika huduma muhimu kama vile umeme, elimu, afya, maji na kodi kwenye mazao ya kilimo ili kulipa madeni haya.
Mathalani mwaka huu 2024/25 Serikali imepanga...
Habari wanajamii Forum
Natumain muhali njema na majukumu ya kila siku. Nia na madhumuni ya uzi huu ni kuwa kama mwanajamii mwenzenu nimekuja kuomba msaada wa mawazo na majibu juu ya hili.
Mzazi wangu anachangmoto ya kiafya inayohitaji fedha nyingi tuu kwajili ya matibabu, kwa bahati mbaya Hana...
Nimemsikia naibu waziri ofisi ya Rais Serikali za mitaa Dkt. Festo Dugange Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa nakisema kuwa mheshimiwa rais amepeleka pesa nyingi kwenye maeneo mbalimbali.
Kama rais ndiye anatoa pesa "yake", hii pesa ya umma inayotengewa serikali inakwenda wapi?
Je...
Hali si shwari huko mashuleni ambapo inadaiwa kwa miezi miwili serikali haijatuma fedha za elimu bila malipo . Wazabuni, walinzi na watoa huduma mbalimbali mashuleni wanadai malipo yao huku walimu wakuu wasijue la kufanya.
“Kwa mfano leo hapa Bariadi kuna miradi sita ya kufungua na yote ni kwa sababu serikali ilikuwa na fedha, tumetawanya fedha za kufanya miradi hiyo. Ni makusanyo ya ndani. Miradi yote tumejenga wenyewe isipokuwa mmoja ndio wa mtu binafsi niliokwenda kuufungua asubuhi leo. Lakini mitano yote ya...
Katika jamii nyingi, nyumba za ibada zimekuwa zikizingatia mafundisho ya Kiroho pekee. Maisha ya Kiroho ni muhimu sana, lakini hayawezi kutenganishwa na maisha ya kila siku, hasa yale yanayohusu uchumi na fedha. Mtu anaweza kuwa mcha Mungu wa kweli, lakini bado akahangaika na madeni au kukosa...
Wasalaam.
Kuna ushahidi kwamba rais anamlalamikia waziri wa fedha kwa ubadhirifu badala ya kumchukulia hatua.
Mawaziri wanamlalamikia waziri wa fedha badala ya kumwajibisha kwa mujibu wa sheria.
Wabunge wanamlalamikia waziri wa fedha badala ya kumwajibisha kwa mujibbu wa kanuni za bunge. Hii...
Sijui nianzie wapi....coz mengi tayari yamesemwa kwa kina.
Na Mimi naungana kabisa na watu wanaotilia mashaka uwezo wa Walace Karia...Rais wa federation.
Huyu jamii hata kwa kumtizama tu hayupo professional kabisa.....sio tu kwenye masuala ya fedha....bali karibu jambo analolifanya.
Yaani...
Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amesema mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025 utafadhiliwa kwa fedha za ndani, amesema hayo leo Juni 11, 2025.
Barua ya jana ya TFF ilijieleza vizuri kuwa Yanga wapeleke mtaalamu leo saa Nne ,kuna majibu yoyote ? Au ni Agenda ya kututoa kwenye mijadala ya Msingi.
Mchambuzi wa Michezo Dominick Salamba kupitia ukurasa wake wa X (Twitter) ameandika ✍🏿
"TFF wanasema wanawadai Yanga bila kutaja kiasi wanachodai huku Yanga wana kias halisi wanachodai,kwa hali hii ina maana kuna uwezekano mkubwaa taarifa za fedha pale TFF hazipo sawa na uwezekano wa kuwa na...
TFF inadhalilisha wabia wake katika kuendesha mpira wa miguu nchini kutokana na chuki za watendaji wakuu wa TFF kwa Yanga. Waamuzi kuboronga mechi, kuahirishwa derby na kuchukua juu kwa juu fedha ya CRDB iliyokusudiwa kwenda Yanga kama bingwa wa mashindano ni ushahidi wa hili.
TFF imekosea sana...
"Mali mnazoziiba leo mtazifaidia kwa muda mchache, enyi watawala hamtakufa nazo, utakufa na nguo zako, huna adabu utahukumiwa. Mnatesa mayatima, mnatesa wajane, mtaibia wanyonge, Mungu anataka heshima, Mungu anataka haki. Naongea na viongozi mnisikilize viongozi wa nchi, mlio wezi mnisikilize...
Baada ya maswahiba wawili Elon na DJT waliowahi kushibana sana kumwagana wiki ya karibuni siri zao mbalimbali zaendelea kuvuja au kuachiliwa, mojawapo ya hivi karibuni na Elon Musk kushikana mashati na waziri wa fedha wa Marekani katika moja ya vikao kazi vyao ambapo ilibidi hadi watu wazima...
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Benki ya Dunia kuhusu ushirikiano wa kimaendeleo kati ya Tanzania na Benki hiyo, kikao ambacho kilifanyika katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma.
Katika kikao...
DODOMA; WIZARA ya Fedha imewasilisha mafungu nane ikiomba kuidhinishiwa kiasi cha Sh trilioni 20.19 kwa mwaka wa fedha 2025/26 kwa matumizi ya kawaida na maendeleo.
-
Akiwasilisha mapitio ya utekelezaji wa mpango na bajeti kwa mwaka 2024/25 na mapendekezo ya mpango na bajeti ya wizara hiyo kwa...
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amesema kuwa ukuaji wa Pato la Taifa (GDP) kwa mwaka 2024 umefikia asilimia 5.5, ukilinganishwa na asilimia 5.1 kwa mwaka 2023 na asilimia 5.4 kwa mwaka 2022.
Akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Fedha mwaka 2025/26 Bungeni leo...
Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu amesema takribani Sh Bilioni 900 zimekusanywa kutoka taasisi za umma na kampuni ambazo Serikali ina umiliki wa hisa chache zipatazo 200.
Amesema “Hadi kufikia sasa (Juni 2, 2025) Ofisi ya Msajili wa Hazina imekusanya karibia Sh Bilioni 900 kama mapato yasiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.