fedha

  1. B

    JamiiForums Tanzania BOT: Tunageukia kutoa elimu fedha kwa kilimo cha mbogamboga na nafaka

    01 August 2025 BOT ACADEMY, WFP KUSHIRIKIANA KUTOA ELIMU YA FEDHA KWA VIJANA https://m.youtube.com/watch?v=WugyiK5DhAY A big step for Tanzanian youths in agri-finance Hon. Gov. Emmanuel Tutuba and WFP’s Christine Mendes launch the Certified Financial Educators Initiative — empowering 150...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tafiti ya IMF yashauri Crypto-currency kutotumika kama fedha halali (Legal tender)

    Utafiti wa IMF kuhusu Malipo ya Kidigitali - Sub Saharan Afrika, imeshauri kutotumia Crypto Currency kama fedha halali ya malipo. Suala hili linakuja wakati ambapo duniani Crypto Currency zinaongezeka kila uchao na baadhi ya nchi zikiwa zinaitumia fedha hizo kwa malipo ya kawaida. Suala la...
  3. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Wakuu nielekezeni kwanini chief draftsman wa Sheria anatoka ofisi ya tume ya fedha ya pamoja

    Eti maboss niambie kitu kimoja nijue kinahusiana vipi kuna huyu mtalaam wa kuandika hizi acts kwa sasa anaitwa Bw. Onorius John Njole sasa kwanini anakuwa ofisi yake ni tume ya pamoja ya fedha chini ya wizara ya fedha me nilifikiria labda angekuwa chini ya taasisi kama Bunge, mahakama,n.k
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Mikopo inayotolewa na taasisi za fedha rate margin wanaitolea wapi?

    1. Je, wanajiwekea tu? 2. Au wanapewa na BoT 3. Ikiwa BoT ndio wanatoa hizi rates, serikali haioni umuhimu wa kupunguza hizo riba. Karibuni Kwa mjadala GTs
  5. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO KERO Ongezeko la Viwanda Mkuranga ni mipango ya Serikali au nguvu ya fedha inachukua nafasi yake?

    Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la Viwanda vingi huku kwetu maeneo ya Wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani. Taarifa ambazo sio rasmi inadaiwa kuwa mpaka sasa kuna jumla ya viwanda 57 vikiwemo vikubwa sita vya kati 13 na vidogo 38. Kutokana na uzoefu wangu katika sekta ya Viwanda...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tumsikilize mchambuzi kuhusu ustawi wa watu ,taifa, na Uongozi/viongozi wetu na matumizi ya fedha zetu na uhalisia wa mipango yetu ya maendeleo 2050

    Gari V8 moja ni kipato cha mtu mmoja kwa miaka 30 kama kilivyowekwa kwenye mpango wa 2050 at a rate of 1.6 milioni Tsh per month HATUTAFIKA POPOTE , NI KUJIDANGANYA
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO ZSSF iamke usingizini, Kampuni nyingi Zanzibar zinawakata Wafanyakazi lakini fedha hazifiki

    Uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) haifuatilii michango ya wanayokatwa Wafanyakazi kwenye kampuni, wanafanya kazi kwa mazoea au wanaziogopa baadhi ya taasisi. Hali hiyo inatukuta Wafanyakazi wa Kampuni ya IRIS inayohusika na masuala ya ujenzi wa barabara mbalimbali Zanzibar na...
  8. Not_James_bond

    JamiiForums Tanzania Tahadhari ya Tishio la Usalama wa Fedha Mtandaoni – Udhaifu wa Usalama Katika Apps za Kifedha kama M-Pesa Tanzania

    Katika ulimwengu wa sasa wa kidijitali, huduma za kifedha kupitia simu za mkononi zimekuwa mkombozi mkubwa kwa watu wengi. Applikesheni kama M-Pesa zimeleta urahisi wa kufanya miamala, kulipia bili, kutuma na kupokea pesa, kwa haraka na salama — angalau ndivyo inavyotarajiwa. Hata hivyo, kuna...
  9. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wizara ya Uvuvi imeachana na mpango wa kukopesha vizimba kutokana na ukosefu wa fedha

    Wizara haitatoa vizimba wala boti tena kwa wavuvi, hiyo ndio taarifa rasmi ambayo bado haijawa rasmi. Serikali imeamua kufanya hivyo kutokana na ukosefu wa fedha hasa ikizingatiwa bajeti kadhaa zimepita. Hii taarifa nimeipata kutoka Wizarani Dodoma.
  10. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbunge wa Ilemela Angelina Mabula: Siamini Fedha inaweza kununua Ubunge

    Siamini kama fedha inaweza kununua ubunge, 2015 kulikua na mtu anajiita ‘wa soda kubwa’ alikua anatoa sana fedha lakini nilipata kura nyingi na yeye hakufika hata nusu yake,” Mbunge wa Ilemela 2015 - 2025, Dkt Angelina Mabula kupitia One on One Soma pia...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Jambo nina uhakika nalo ni kwamba kuna team imeundwa iko busy kutafuta namna ya kumchafua Polepole, usishangae ukisikia kaiba fedha za ubalozi Cuba!

    Hawa CCM na serikali yao siku hizi wamekuwa predictable sana. Baada ya hii barua ya Polepole ya kujiuzulu na kuukosoa uongozi wa Raisi Samia hadharani, utakuta kuna team maalum imewekwa kutafuta namna ya kumchafua. Sasa hivi utaona statements zikianza kutolewa kuhusu maovu aliyofanya...
  12. amarina

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazima kwa waziri wa fedha Mh Mwigulu

    Mh Waziri. Wasaidizi wako au wewe mwenyewe umewaingiza watumishi wa umma katika mtego na adha na usumbufu aidha bila kujua. Baada ya kuweka utaratibu wa mifumo kutumika kumkopesha mtumishi benki zinafanyia uharamia wa kupita kiwango. Mtumishi akikopa anatozwa gharama 100% zinazoonesha...
  13. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Hali inatisha notes za fedha zinapigwa chata ya No reform no election

    Hii ni Nini jamani, au ndo civil disobedience, na vijana Sahivi wameapa kuzipiga chata notes za TSH chapa ya no reform no election.
  14. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Kenya-raisi ajielezea alikotoa za kugawa fedha!

    nchini kenya kuna ishu ya raisi kujenga Kanisa ikulu, ila kilichonishangaza kama mtanzagiza ni kwamba raisi Ruto kasema anatumia fedha zake au kwa maana nyingine ameelezea alikozitoa fedha za kujengea Kanisa kwa maana kwenye bajeti haipo, sasa vs tanzagiza raisi kanunua magoli, kagawa fedha...
  15. Lugano Edom

    JamiiForums Tanzania Zijue Wilaya na Mikoa yenye mizunguko mizuri ya fedha na biashara

    Kwa ujumla, wilaya zenye mzunguko mzuri wa pesa Tanzania huwa ni zile zilizoko katika mikoa yenye shughuli nyingi za kiuchumi, biashara, viwanda, utalii, au kilimo chenye tija kubwa. Ingawa data mara nyingi hutolewa kwa ngazi ya mkoa, tunaweza kudhani wilaya zilizo ndani ya mikoa hii ndizo zenye...
  16. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Wanao Pora Fedha na Mali za Marehemu kwenye ajali

    Ajali ya mtu wangu wa karibu ilitokea Korogwe, michungwani Tanga miaka 4 iliyopita. Wale wakaazi wa Pale , ilikuwa saa 11 alfajiri, wakafika wakapora simu, pochi , begi na kadhalika, yule mtu wangu akafia muhimbili baada ya wiki moja, alifia ICU. Ndugu zangu wa Michungwani pale Tanga, hivi...
  17. OLS

    JamiiForums Tanzania Tafiti: Matumizi ya fedha taslimu yanasababisha mfumko wa bei

    Utafiti uliochapishwa katika Jarida la Advanced Research in Economics and Business Strategy umeonesha matumizi ya fedha taslim yanaathiri jamii katika mipango ya kuunda bei na kusababisha mfumuko wa bei. Utafiti huo uliofanywa na Francis Nyonzo, Mchumi ambaye pia alikuwa mshiriki wa moja ya...
  18. matunduizi

    JamiiForums Tanzania KWA nini licha ya Ongezeko la watu wanaozungumiza FEDHA, UTAJIRI, MAFANIKIO Bado watu wengi maisha magumu?

    Katika zama zote za uwepo wa Tanzania nadhani HIKI ndio kipindi ambacho pesa na utafutaji vinazungumziwa kuliko huko nyuma Makanisa yameacha kuwahimiza watu kwenda mbinguni wakiwa wamechoka. Wachungaji, walei, wainjilisti wanafundisha watu wafanikiwe kiuchumi, kifedha, kimiradi Waalimu wa...
  19. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania RC Kagera: Naagiza Wabeba Mizigo Bandari ya Bukoba walipwe, Mkurugenzi aje na fedha, asipokuja nazo nitamuweka ndani

    Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwassa ameipa siku mbili Kampuni ya IFS Consulting Limited ambayo ilipewa tenda na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ya kupakia na kushusha mizigo, kuwalipa fedha wabeba mizigo malipo yao wanayodai ya wiki Tisa katika Bandari ya Bukoba Hatua hiyo imefikiwa baada ya...
  20. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba wa kijana aliyepigwa risasi kwenye maandamano atapeliwa zaid ya Tsh. Milioni 4 fedha ya matibabu

    Baba wa Boniface Kariuki kijana aliyepigwa risasi na polisi wakati wa maandamano nchini Kenya amenasa kwenye mtego wa matapeli waliodai kuwa maafisa kutoka Mfuko wa Afya ya Jamii (SHA), na kupoteza kiasi cha KSH 200,000 (sawa na zaidi ya TZS milioni 4) Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na...
Back
Top Bottom