fedha

  1. JamiiForums Tanzania Serikali yafuta shughuli za Nanenane mwaka 2021

    Waziri wa Kilimo wa Serikali ya Tanzania, Profesa Adolf Mkenda ametangaza kusitisha shughuli zote za maonyesho ya Nanenane zilizokuwa zifanyike mwaka huu. Akizungumza leo Jumatano Februari 10 2021 bungeni Jijini Dodoma, Profesa Mkenda amesema fedha zote za umma bila kujali ni za wizara gani...
  2. JamiiForums Tanzania Deni la Taifa laongezeka kwa asilimia 7.6 ndani ya mwaka. Chanzo ni ukopaji wa fedha kwa ajili ya Miradi ya Maendeleo

    DENI la Taifa limefikia Sh. trilioni 59 hadi kufikia Disemba mwaka jana, ikilinganishwa na Sh. trilioni 54.8 kwa kipindi kama hicho mwaka 2019, sawa na ongezeko la asilimia 7.6, huku Bunge likitoa ushauri liwe himilivu. Kati ya kiasi hicho, deni la ndani limefikia Sh. trilioni 16.2 na deni la...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Waziri wa Fedha, Dkt. Mpango?

    Nauliza tu maana mara ya mwisho nilimuona luningani akiwasimamisha kazi baadhi ya watoza ushuru wa TRA. Jana nimemuona Mwigulu Nchemba akitumikia majukumu ya Waziri wa Fedha pale bungeni ndio nikajiuliza huyu Waziri nyeti kabisa yu wapi hadi Dkt. Mwigulu anatamalaki bungeni kwa niaba yake...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge pazeni sauti kuhusu fedha kiduchu wanazopewa TARURA

    Kuna Mamlaka mbili zinazosimamia barabara za Mikoa na barabara za Vijijni(Halmashauri). Mamlaka hizi zinagawiwa fedha na Serikali kila mwaka kutekeleza kazi za barabara kwa Mikoa na Halmashauri zote Tanzania Bara. Nitoe mfano. Awamu ya nne kabla ya kuanzishwa TARURA ujenzi wa barabara...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Kawe tuna barabara za urefu wa KM 1400 sawa na Dsm - Kigoma tumepewa fedha ya km 130 tu hii haikubaliki!

    Mbunge wa Kawe baba askofu Gwajima amesema jimbo lake la Kawe lina barabara zenye urefu wa takribani kilomita 1400 sawa na umbali wa kutoka DSM hadi Kigoma lakini Tarura wamepewa bajeti ya kukarabati kilomita 130 tu. Gwajima amesema hii haikubaliki na kuwataka watu wa Tarura kujiongeza kwani...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mpango anapaswa kujibu swali la Hawa Mchafu kwa vitendo

    Nimekutana na clip ya sessions za bunge kuhusu swali tata lakini genuine la Hawa Mchafu ambalo limehoji very specific kwa nini fedha za dawa na fedha za deni la MSD hazijapelekwa kulipia dawa. Swali hilo limejibiwa na Waziri wa afya ingawa majibu hayajajotosheleza sababu kubwa ya majibu...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Ni ufisadi na ufujaji wa fedha za umma kwa Bunge kuwalipa watu ambao hawana sifa za kuwa wabunge

    Ameandika hivi katika akaunti yake ya Twitter: Ni ufisadi na ufujaji wa fedha za umma kwa Bunge kulipa mishahara na posho kwa watu ambao dunia nzima inafahamu hawana sifa ya kuwa wabunge kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania. Ipo siku wahusika wa ufisadi huu na wale wanaouwezesha watawajibishwa...
  8. JamiiForums Tanzania Umoja ni nguvu: CHADEMA wachangishana fedha ili kumtoa jela kiongozi wao aliyehukumiwa kifungo huko Mwanza

    Ili kuweka kumbukumbu vizuri , Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Nyamagana Mkoa wa Mwanza Kamanda Mwakihaba alishitakiwa kwa makosa ya mtandao baada ya kusambaza taarifa za ofisa kipenyo aliyeonekana karibu na Hospitali aliyolazwa Mh Tundu Lissu jijini Nairobi baada ya kushambuliwa kwenye eneo...
  9. JamiiForums Tanzania Equinor yapanga kuzungumza na Serikali ya Tanzania ili kurekebisha mazingira ya biashara, sheria na fedha ili kupata faida

    Thamani ya mradi wa TLGN yapungua kwa $milioni 982. Equinor kampuni ambayo inajihusisha na nishati hasa gesi, ilikuwa na mradi wa Liquefied Natural Gas (LNG) nchini Tanzania ambao leo kampuni ya Equinor imeamui kushisha thamani ya mradi huo kwa $Milioni 982. Punguzo hilo la thamani linaakisi...
  10. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni wazuri kwenye kukosoa mambo ya fedha na Ufisadi. Mambo ya afya tuwaachie wanasayansi, yaani Wakemia na Wanabaiolojia

    Ni ukweli ulio wazi kwamba kwenye mambo ya kuchanganua masuala ya fedha na ufisadi CHADEMA wako vizuri na tunawaheshimu katika hilo. Ila kwenye eneo la Kemia, Baiolojia na famasia hawana uwezo nalo kabisa wanajaribu tu kujiingiza lakini wanafeli. Hebu tuwaache CCM tuliwaamini na kuwapa uongozi...
  11. JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango awataka watumishi fedha kujihadhari na Corona

    Waziri wa Fedha na Mipango Dk Philip Mpango, amewataka watumishi wa wizara hiyo kuchukua tahadhari zote kuhusu ugonjwa wa corona, licha ya kukiri kuwa Tanzania haina maambukizi ya virusi hivyo kwa sasa. Dk Mpango alitoa kauli hiyo jana wakati akifungua mkutano wa baraza la wafanyakazi wa Wizara...
  12. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA Gregory Teu aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa Fedha, Viwanda, Naibu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Mbunge wa Mpwapwa, afariki dunia

    Aliyewahi kuwa Mbunge wa Mpwapwa 2010- 2015 , Naibu waziri wa fedha, Naibu waziri wa viwanda, Naibu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali katika serikali ya awamu ya nne na mwenyekiti wa bodi ya KADCO Mh. Gregory Teu afariki Dunia leo hii. Taarifa zaidi: Mpwapwa. Mbunge wa zamani wa Mpwapwa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Jafo aagiza walimu wapya walipwe Fedha za kujikimu ndani ya siku 7

    Posho za Kujikimu kwa Ajira Mpya za Walimu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi Mhe. Selemani Jafo amewaelekeza Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuhakikisha wanawalipa walimu wote wa ajira mpya walioripoti kwenye Halmashauri zao posho za kujikimu ndani ya muda wa wiki moja kuanzia leo...
  14. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara kama huna assets taasisi za fedha hazikuthamini

    Leo nimekwenda bank moja kuulizia namna ya kupata mkopo wa biashara. Vijana tujitahidi tujenge hizi taasisi za fedha hazina mpango wa wewe kama huna assets. Yaani kumbe hata ukiwa una kiwanja tena kina hati miliki bado ni kazi bureeeee... Tujitahidi tujenge maana hicho kiwanja kama hakina...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali yasema wakulima hawatakatwa fedha ya mbegu za pamba msimu wa 2020/2021

    Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amesema katika msimu wa zao la pamba mwaka huu 2020/21, hakuna mkulima yeyote atakayekatwa pesa za mbegu na viuatilifu. Alitoa kauli hiyo jana katika kikao cha wadau wa pamba nchini kilichofanyika mjini Bariadi katika Mkoa wa Simiyu. Alisema katika msimu...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri wa fedha ingilia kati sakata la uboreshaji wa mashine za EFD, kamishna wa TRA ataleta balaa kubwa

    Muda uliotolewa wa kuboresha Mashine za EFD wa mwezi mmoja (kuanzia desemba 7 hadi Januari 7) hautoshi, kwa sababu mawakala wanaofanya kazi hiyo wamezidiwa na kazi hiyo kutokana na wingi wa mashine hizo na tayari wameomba kuongezewa muda wa kufanya marekebisho hayo ya ghafla yaliyosababishwa na...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zanzibar hakuna watu walionyimwa dhamana kwa makosa ya uhujumu uchumi?

    Kesi nyingi za uhujumu uchumi Tanzania utasikia uchunguzi haujakamilika, na hii inachukua miaka kadhaa. Ila katika mazingira ya uchunguzi kuendelea mtu yuleyule unasikia ameshauriana na DPP au Mahakama na ameeelekzwa kulipa kiasi flani Cha fedha. Je, ukokotoaji wa kiasi hicho kinacholipwa...
  18. JamiiForums Tanzania TAKUKURU Kinondoni yaokoa gari na fedha taslimu zenye thamani ya milioni 92

  19. JamiiForums Tanzania Katavi: Watumishi wa Serikali matatani kwa kulipana posho fedha kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya Mnyagala wilayani humo

    Watumishi katika Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi, wameingia matatani baada ya kudaiwa kulipana posho Sh. milioni 16.177 ambazo ni kati ya Sh. milioni 200 zilizotolewa na Rais John Magufuli kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya Mnyagala wilayani humo. Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Juma Homera...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Shirika la Taifa la Bima ya maisha (NIC) lipeni fedha za wateja wenu

    Shirika hili linakiuka kwa kiasi kikubwa mikataba na makubaliano walioafikiana na wateja wao hasa ihusuyo malipo ya fedha za bima zilizoiva. Jambo hili si zuri na halikubalikiki hata kidogo maana linatengeneza taswira ya ulaghai kwa wateja wenu ukizingatia hili ni shirika la umma. Mamlaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…