Mkazi wa Kalaki katika kaunti ya Ogwolo nchini Uganda amemnyonga mtoto wake wa miezi 9 baada ya kutopokea hela za serikali wanazopewa watu wasiojiweza kipindi hiki cha COVID19.
Mkuu wa Wilaya ya Kalaki, Paul Kalikwani amesema mtuhumiwa mwenye umri wa miaka 35 aliwaambia wanakijiji wenzake kuwa...
Ndivyo ilivyo kila mwaka. Mwaka wa Fedha unapoanza Hazina huanza kutoa mifedha hiyo Agosti mwishoni - yaani miezi miwili mbele baada ya Bajeti kupitishwa.
Madhara yake sasa inapofika mwezi wa mwisho wa Mwaka unakuta Ofisi inahitajika kufanya Zaidi ya 60% ya kazi za Mwaka wa Fedha.
Mwisho wa...
Gharama ya kutuma fedha kupitia mitandao kwa sasa ni ghali mno na inatukatisha tamaa. Kutuma mathalani Tshs.1m/= kwa anayetuma anakatwa Tshs.16,000 na anayepokea anakatwa Tshs.14,000.
Hivi kweli ni haki?. Kwa Mtanzania wa kawaida kiasi hicho anaweza kununua madebe matatu ya mahindi kwa ajili...
Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itaanzisha ushuru wa huduma za mitandaoni ‘Digital Service Tax’, “hili ni eneo jipya ambalo tunalifanyia kazi, katika bajeti zinazofuata litakuwa ingizo jipya. Mataifa mengi yanageukia kodi hii.”
Kazi na iendelee!
Baaada ya Serikali kusikiliza kilio cha Mbunge "Iddi zungu" [asiye na utu wala kujali wananchi] Wa Dar es Salaam kutaka wanyonge[maskini waliotengenezwa na serikali]
Ukiitizama hii kwa jicho la 3. Ni kama inaua soko la mobile Money. Na kukuza soko la Benki.
[Imagine Nataka nimtumie Bibi yangu...
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imesaini hati ya makubaliano ya jumla ya shilingi milioni 420 ya ujenzi wa sanamu la Hayati John Pombe Magafuli, na ukarabati wa kumbi kubwa za kisasa kwenye maonyesho ya sabasaba ya 45.
Mkurugenzi wa TanTrade Rutageruka Sabi amesema kuwa...
Mbunge wa Korogwe Vijijini Timotheo Mzava anatarajiwa kufunga ndoa na Binti wa Mbunge wa Arumeru Mashariki Dr. Jonh Pallangyo. Ndoa hii inalalamikiwa na mtu anayetambulika kwa jina la Anna na wachungaji huko Arusha na Tanga wanafahamu upo mgogoro. Mgogoro huu nimeusoma kwenye gazeti kwamba Mzava...
Rais Samia anasema eti suala la kipaumbele kwake ni uchumi kwanza halafu mambo ya katiba mpya ni ya baadae huko mbeleni.
Ningependa kumkumbusha Rais Samia kuwa, hoja ya Katiba Mpya ni hoja nyeti, ni suala muhimu sana na haliwezi kuwa option ya pili katika mambo yanayopaswa kufanyika nchini kwa...
baada
fedha
graph
hoja
jaji
kasi
katiba
katiba mpya
kelele
kodi
kuimarisha
kusaidia
mama samia
matatizo
mkono
mpya
nyumbani
rais samia
samia
samia suluhu
siku
siku 100
suluhu
uchumi
utawala
Mtoto wa kike tamaa yake kubwa itakuwa ni kupendeza na kuwakoga wenzake. Kama atachomoa hela za kampuni itakuwa ni kwa ajili ya nguo, vikuku vya dhahabu na handbags. Mtoto wa kike kama ni mpenzi atakuwa nae mmoja na ni mara chache sana atamshirikisha katika mambo ya pesa.
Mtoto wa kiume...
Kwa kifupi sana ningependa kujua nini maana ya "fedha za serikali zimetumika nje ya bajeti"?
Ninavyojua moja ya kazi kuu ya Bunge ni kusimamia serikali, sasa inakuwaje bunge lipitishe bajeti iliyowasilishwa na serikali halafu bajeti hiyo isiheshimiwe na watendaji wa serikali?
Kiongozi wa Kambi...
Rais Samia Suluhu Hassan leo amepokea Taarifa ya Ukaguzi Maalum kutoka kwa CAG inayohusu matumizi ya fedha zilizotolewa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuanzia Januari hadi Machi 2021. Ripoti imebaini uwepo kwa miradi ambayo haikupangwa na hivyo kufanya malipo nje ya bajeti.
IKULU, DODOMA: Mkurugenzi wa Idara ya Afrika kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF) Abebe Selassie amesema Shirika hilo litasaidia Tanzania kupata fedha kwa ajili ya kuimairisha sekta zilizoathiriwa na COVID19 ikiwemo Afya, Utalii na Maji
Ameeleza hayo alipokutana na kufanya mazungumzo na Rais...
Mahakama Kuu, imebatilisha hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kesi ya Jinai iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake 7 na kuamuru warejeshewe fedha walizolipa kama faini, kiasi cha Sh.350 milioni. Uamuzi huo umetolewa leo na Jaji Irvin Mgeta.
====...
Haya Mwenzenu huyu ( tena Waziri ) na Mfadhili wa Kujificha Mwigulu Nchemba kasema hivi nyie ni nani mumkatalie?
Chanzo: TBC1 Bunge Live hivi punde tu.
Kuna kitu ambacho sikielewi kwa hawa viongozi wetu hususani katika Muhimili wa Bunge, hawa wabunge hawalipi kodi yoyote katika posho zao na wanapokea posho nyingi tu ambazo hazina makato.
Lakini cha ajabu wanapopewa jukumu la kubuni vyanzo vya mapato kwao uwa ni mtihani mkubwa sana japokuwa...
Serikali ya Uganda imesema itatoa fedha kwa njia ya mtandao kwa raia kwa walioathirika na ‘lockdown’ ya pili
Uganda iliwahi kuwa na utaratibu wa ugawaji chakula ilipotangaza lockdown ya kwanza Aprili 2020, ambapo lilikosolewa kwa kuwa walengwa hawakufikiwa
Kutokana na changamoto hiyo, walengwa...
Mbunge wa Viti Maalum, Judith Kapinga amesema watu wanaofariki na kuacha fedha kwenye mitandao kama Tigo pesa, M-Pesa, Airtel Money nk wanazinufaisha kampuni za simu huku serikali ikiwa haipati kitu.
Ameishauri serikali iweke utaratibu ili ndugu wa karibu waweze kudai fedha hizo na serikali...
DPP kuachia mabilioni ya fidia
Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) Sylvester Mwakitalu akizungumza na waandishi wa habari wa kampuni ya Mwananchi Communications Ltd wakati wa mahojiano maalumu Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.Picha Sunday George
Wakati baadhi ya wanasheria na wadau mbalimbali...
DKT MWIGULU, WAZIRI WA FEDHA NINAOMBA UFAFANUZI KIDOGO JUU YA MAKATO YA VOCHA.
Na Elius Ndabila
0768239284
Kwanza Mhe Waziri nikupongeze kwa hotuba YAKO nzuri ya Bajeti. Mimi si mchumi, lakini niliisikiliza na nimeisoma nimeona ni bajeti ambayo inagusa maisha halisi ya Mwananchi. Ni bajeti...