1.Usiwe mchoyo kulike nyuzi za wenzio
2.Anzisha mada yenye mashiko mfano. Ndoa,Visa na mikasa
3.Gusa maisha ya watu mfano mila na desturi zao, dini, elimu, afya, michezo n.k
4.Udaku(uwe mbele ya muda)
5.Jitahidi uzungumzie mapenzi na utafute heading nzuri mfano ile ya "Ulishawahi kuchakata...