Familia Bora hujenga Taifa bora
FAMILIA BORA, TAIFA BORA
Ningependa tuelimishane namna familia zinavyoweza kujenga taifa bora au kuaribu taifa. Kwanza kabisa ningependa kueleza maana ya familia na aina zake.
Familia ni muunganiko wa baba, mama na watoto au kikundi cha watu wanaoishi pamoja...