familia

"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.

View More On Wikipedia.org
  1. Ajali yaua watu wanne wa familia moja Morogoro

    Watu wanne wamefariki dunia kufuatia ajali ya lori na gari dogo aina ya Toyota Spacio katika eneo la Kwambe Dumila wilayani Kilosa mkoani Morogoro na kusababisha barabara kufungwa kwa saa kadhaa. Akizungumza na Mwananchi Digital kwa simu leo Januari 14 Mkuu wa wilaya ya Kilosa, Majid Mwanga...
  2. Familia yaomba uchunguzi kifo cha aliyechapwa viboko 280

    Serikali imeombwa kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua waliohusika na kifo cha mkazi wa Sanawari, wilayani Arumeru, Mkoa wa Arusha, Nelson Mollel (32) aliyefariki dunia kwa kudaiwa kupewa adhabu ya kuchapwa viboko 280. Mollel alifariki Januari 8, 2023 kwa madai ya kuchapwa baada ya...
  3. L

    Naiomba Serikali ilitizame upya suala la watumishi kukaa mbali na familia zao

    Mimi ninaomba kuwepo na utaratibu wa kuangalia uwezekano wa wanandoa ambao ni watumishi wa umma kukaa karibu na familia zao. Ndoa nyingi sasa hivi zipo mashakani kwa sababu ya kazi mfano unakuta mama Ni mwalimu Bukoba, halafu baba naye yupo Mtwara. Na mifano mingine tunaona hata utendaji tuu wa...
  4. Kipato cha mke kinavyoondoa ‘kichwa cha familia’

    Kuna wanaume wanaoishi na wake zao wenye kipato kikubwa kwa furaha, lakini kwa wengine ni mateso. Na hili linatokana na ule usemi usemao “mwenye pesa ndiye mwenye sauti’, ikimaanisha kwamba kama huna pesa hata mawazo yao au ushauri hauna umuhimu. Lakini hili ni tofauti na wanaume kwa wake zao...
  5. R

    Hizi hapa familia TANO zenye maisha bora zilizopambana kwa ajili ya masikini na kuonewa kipindi cha mwaka 2015 hadi 2022

    1. Maria Sarungi (shangazi)- umezaliwa familia Bora, ulikuwa na kila sifa uteuzi lakini ulikataa na kuamua 2022 ulie na wanaolia. Uliwindwa ukakimbia nchi lakini bado haukusita kupambana Kwa ajili ya Haki ya wale wote wanaonekana. Kupitia Maria space ulivuka viunzi vya kuminywa Kwa Uhuru wa...
  6. Hili kanisa sijui lina waumini wangapi

    Naona mabenchi matatu tu.Sijui waumini wanakuja na mabenchi yao Mvua ikianza kunyeshq bila shaka na ibada inaishia hapo hapo,otea makanisa ya design hii huwa yanapatikan wapi?
  7. S

    Marekani: Aua familia nzima kwa risasi baada ya mkewe kudai talaka

    Mwanamume mwenye umri wa miaka 42 katika Jimbo la Utah nchini Marekani amewapiga risasi watu saba wa familia yake kabla ya kujiua mwenyewe, baada ya mkewe kudai talaka. Kwa mujibu wa Shirika la Utangazaji za Uingereza (BBC), polisi katika jimbo hilo wamesema familia ya watu wanane ilipatikana...
  8. B

    MSAADA: Michakato na hatua za ndoa mpaka kukamilika

    Habari ya Uzima wanajamvi. Natumai wengi wetu, Mungu wetu wa Rehema ametuvusha Salama kufika mwaka 2023. Jambo la Kumshukuru sana Mungu. Nijikite sasa kwenye Mada yetu husika wanajamvi. Kama ilivyoada kila mwanadamu huwa ana malengo yake husika ndani ya Mwaka mzima ili kujiweka juu zaidi katika...
  9. Somalia: Watu 26 wakiwemo 9 wa familia moja wauawa katika shambulio la bomu

    Tukio hilo limehusisha magari mawili katika Jimbo la Hiraan ambapo Kundi la Al-Shabab likidaiwa kuhusika. Milipuko hiyo iliyokuwa na nguvu kubwa imetokea kwenye gari na katika eneo la soko ambapo watu wengi wamejeruhiwa pia. Al-Shabab wamekuwa wakitajwa kuhusika katika matukio mengi ya aina...
  10. Familia ya Kenyatta yapata gawio la Tsh. Bilioni 58.7 za Hisa inazomiliki NCBA Bank

    Familia ya Kenyatta imepata Tsh. Bilioni 58.7 kwa mwaka mmoja kutokana na umiliki wao wa hisa za NCBA Group baada ya mkopeshaji wa daraja la juu kukaidi kushuka kwa soko la hisa na kuibuka kuwa hisa bora zaidi katika Soko la Hisa la Nairobi (NSE). Hisa za NCBA zilipanda kwa asilimia 57.94 mwaka...
  11. Japan: Familia itakayohama Tokyo kulipwa Tsh. Milioni 21.3 kwa kila mtoto

    Uamuzi huo umechukuliwa na Serikali ikiwa ni katika harakati za kushawishi kupunguza idadi ya watu katika Mji huo Mkuu. Tokyo na maeneo ya jirani ya Kanagawa, Sai-tama na Chiba yanatajwa kuwa na idadi ya watu Milioni 35 ikiwa ni 28% ya watu wote wa #Japan, ambapo Serikali ina hofu ongezeko la...
  12. Rukwa: RPC asema kuna kesi 88 za watu kutelekeza familia kwa mwaka 2022

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, ACP Theospita Mallya ameeleza kuwa katika kipindi cha Mwaka 2022 kulikuwa na makosa 88 yaliyoripotiwa kupitia Dawati la Jinsia ya watu kutelekeza familia na watoto Takwimu za mwaka 2021 zinaonesha mashtaka yalikuwa 87, hivyo kuna ongezeko na sababu kubwa...
  13. M

    Hali imekuwa ngumu sana Kanda ya Ziwa, familia zinajikomboa kwa kununua debe la udaga, mahindi na dagaa

    Zamani kanda ya ziwa hali ya maisha ilikuwa safi sana. Samaki na vitoeo vya kila namna ilikuwa bei chee. Leo hii debe la udaga Tsh 27000. Inabidi kujiongeza kwa ugali na dagaa mwezi mzima.
  14. J

    Mwanza: Familia yazika mtoto wa kike akiwa hai ili wapate utajiri

    Watu watatu akiwemo mkazi wa Kijiji cha Mahaha wilayani Magu mkoani Mwanza, Zawadi Msagaja (20), (Wa kwanza kulia), wamepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kike mwenye umri wa miezi sita kwa kumzika shambani akiwa hai ili wapate mali. Ni kesi ya mauaji namba saba ya mwaka...
  15. Hii ndiyo maana halisi ya mwanaume ni kichwa cha familia

    HII NDIO MAANA HALISI YA MWANAUME NI KICHWA CHA FAMILIA Anaandika, Robert Heriel Ukiwa kama kijana unayetarajia kuwa Baba, au ambaye tayari ni Baba na upo kwenye Familia yako. Shika Kwanza hizi nyundo; i. Kuna mambo unapaswa kuwa nayo lakini Mkeo asijue unayo. ii. Kuna mambo unapaswa kuwa...
  16. Familia za vigogo 12 zilizojimilikisha Bonde la Ihefu kuchunguzwa

    Makamu wa Rais, Dk Phillip Mpango ameagiza kushughulikiwa kwa watu zikiwamo familia 12 za viongozi waliovamia na kuchepusha maji Bonde la Ihefu. Amekemea uchepushaji huo kwani umesababisha kutotiririka kwa Mto Ruaha Mkuu kwa zaidi ya siku 130 sasa hivyo kuhatarisha maisha ya viumbe hai na...
  17. Baba achinjwa na familia yake akidaiwa kuwa kikwazo cha kutumia mali za familia

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza linawashikilia watu watano akiwemo Mkazi wa Kijiji cha Kiliwi wilayani Kwimba, Hoka Mazuri (48) na wanaye wawili kwa tuhuma kumuua mumewe, Mange Washa (49). Akizungumza na waandishi wa habari leo, Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa amewataja...
  18. Nishati ya Upendo wengi wanaipigania kufa kupona

    NISHATI YA UPENDO WENGI WANAIPIGANIA KUFA KUPONA Anaandika, Robert Heriel Ili uweze kuishi utahitaji pumzi, Pumzi ni nishati inayotuwezesha kuishi. Pumzi itokapo katika miili yetu maisha yetu yanakoma. Hata hivyo pumzi pekee yake haitufanyi tuwe hai. Zipo Nishati nyingine nyingi ambazo...
  19. Kwa hapa Tanzania simu za Iphone ni za wasichana, tena waliotoka familia maskini

    Hi gentlemen! Hii kasi ya wadada wauza bar almaarufu barmaid, wadada wanaofanya kazi kwa Wahindi, wadada wanaofanya kazi za uwakala wa mitandao ya fedha, wadada wa saloon n k kumiliki simu za Iphone imekuwa kubwa sana. Hizi simu za Iphone hapa Tanzania ni za wadada, hasa wale wanaopenda maisha...
  20. Familia ya GSM ilivyotembea kwa magoti korido za Ikulu kuomba Hayati Magufuli asiwafunge

    Tunaendelea na visa na mikasa ya hayati JPM.. Hakuna siri JPM hakuwa chaguo la wana CCM mwaka 2015, hata mwenyekiti wa chama hakumtaka awe Rais bali alizidiwa na nguvu ya asili. Mwenyekiti alimkusudia kumrithisha kijiti rafiki yake wa kitambo Bernard Membe,lakini wana CCM walimtaka Edward...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…