familia

"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.

View More On Wikipedia.org
  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Musukuma: Wakuu wa Wilaya wanaotaka ubunge, Bungeni hakuna hela

    "Umesema kuhusu wakuu wa mikoa, wakurugenzi, Makatibu Wakuu. Nimeona watu wengi wameacha kazi hadi Makatibu wakuu. Nataka kuwaambia na sema uwazi. Ubunge sio kama watu wanavyotafakari. Watu wanasema ukiwa Mbunge kuna hela za bure utapata. "Itakuwa tajiri mshahara ni mkubwa. Sijaona hizo hela...
  2. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini familia za kiafrika watu wanakuwa wabinafsi sana hasa likija suala la mirathi

    Familia nyingi za kiafrika watu huwa wabinafsi sana likija suala la kimaslahi. Utu, huruma na undugu huwatoka kabisa na kuendekeza dhulma baina ya wanandugu. Sasa usiombe iwe ni mirathi ndio kabisaa hata iwe mmezaliwa baba mmoja mama mmoja bado kuna ubinafsi wa kuzulumiana wenyewe kwa wenyewe...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tukubaliane tu kuwa ukiwa na Watu wenye 'Nuksi' iwe katika Familia au Kazini au Michezoni sahau kabisa Kufanikiwa kwa lolote

    Hili wala halina Ubishi kuwa Suala la Bahati na Nuksi itokayo kwa Mtu au Watu fulani ina Nguvu Kubwa mno katika Mafanikio ya Jambo au Mkakati fulani. Kuna Watu ukiwa nao katika Familia au Taasisi fulani utaona Mambo yanaenda vyema ila pia kuna Watu ukiwa nao huko huko katika hizo Taasisi...
  4. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Familia yangu inaniingilia kwenye mambo yangu binafsi

    Hii familia nimeona sasa inataka kunipanda kichwani na kutaka kunipangia kila kitu as If mm ni kijana mdogo wa secondari, kila kitu wanataka niwafatilizie wao bila kujali mm nataka nini Mfano nilianza ujenzi wangu mdogo mdogo wakanitafutia fundi wao ili ajenge hata hvyo fundi haja maliza kaz na...
  5. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Kumpata mwanamke wa maisha, wa heshima, wa kujenga na familia ni kazi ngumu sana kwasasa

    Bro, Ni kweli wanawake wapo wengi sana duniani kuliko sisi wanaume Lakini ukifika muda wa kutafuta MKE - ndipo utagundua wanawake ni wachache mno hapa duniani Bro, kumbuka hili: Watoto wako hawahitaji mama mrembo, Wanahitaji mama BORA wa kuwalea, kuwaongoza, na kuwajenga kwa ajili ya kesho...
  6. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania KULINDA MALI ZA FAMILIA ZIISHI MIAKA 200

    MALI HAZITAUZWA WALA KUKOPEWA BENKI BALI ZITAKODISHWA AMA KUPANGISHWA TU KWA MIAKA 200 WARITHI (WANUFAIKA ) WATALIPWA KODI TU KILA MWEZI/MWAKA KWA MIAKA 200 ⸻ 🏛️ FAMILY TRUST YA KIZAZI HADI KIZAZI (MIAKA 200) Jina la Trust: FAMILY INCOME TRUST Mwanzilishi: - Muda: Miaka 200 Lengo: Kulinda...
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania Familia ya Mzee aliyesaidiwa kupata Viwanja na Hayati Magufuli yadai imeporwa eneo hilo na Kamishna wa Ardhi Dar

    Flavian Methew Nyandikuu Mzee Flavian Methew Nyandikuu (85) Mkazi wa Mwenge Mlalakuwa, Mtaa wa Nyendikuu Jijini Dar es Salaam amelia na Ofisi ya Kamishina wa Ardhi Mkoa wa Dar kwa kushindwa kumilikisha ardhi yake kwa zaidi ya Miaka 40 sasa ambapo kila akienda katika ofisi hizo kudai haki yake...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Sikuweza kuoa mwarabu kwa sababu ndoa zetu za kiafrika ni muunganiko wa familia mbili, sio peke yenu

    Niliwahi kuwa na mpenzi wa kiarabu miaka ya 2014. Tulikutana kwenye ndege nikiwa naelekea KIA kutokea Airport ya Nyerere. Nilipokuwa nimefika airport nasubiri ndege nikaenda walipokaa wenzangu tunaosubiri ndege ya kwenda KIA, enzi huzo ni fastjet. Mwarabu nilimuona akiwa na simu yake lakini...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna familia ya kiongozi au watoto zao ambao ni machawa

    Huu ndiyo ukweli,hakuna kiongozi au watoto wa Viongozi ambao ni machawa Na ukitegemea wameshawekewa nafasi nyeti za uongozi kuanzia Urais,Uwaziri,Ubunge,na nafasi zingine zenye mishahara mizuri Lakini wewe Chawa huna chochote kile cha kuja kukipata katika inchi hii na unapozidi kushabikia na...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Bonyokwa; Kijana wa familia akutwa amejinyonga chumbani kwake, aacha barua

    Ikiwa zimepita siku 8 tu tangu tukio la wanandoa, Antony Ngaboli na mkewe, Anna Amiri, kukutwa wamekufa kwa kuchinjwa kikatili chumbani kwao, Bonyokwa, kijana ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, amekutwa amekufa chumbani kwake mwili ukiwa unaning'inia kwa tafsiri ya kujinyonga au...
  11. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ukweli kuwa simu ya mama ni ya familia ila simu ya baba inabaki kuwa ni ya baba tu

    Wakuu haya si maneno yangu bali ni maneno kutoka kwa mtu wangu mmoja ninayemwamini sana kwa kunipa uzoefu na nasaa juu ya mambo mbalimbali ya kimaisha.
  12. Tormenter

    JamiiForums Tanzania Unayoyatenda unafikiria? Unajua unaumiza wangapi? Tafakari sana

    Kwa sababu ya umaskini, kuna watu walizika imani zao toka moyoni.. Kwa sababu ya hali duni ya maisha, wapo waliokimbiia familia zinazowahitaji.. Kwa sababu ya upofu wa fikra, wapo waliotoa kafara, wazazi waliowazaa.. Kwa sababu ya ubinafsi, wapo wanaojiona wao ndio wanastahili vyote.. Kwa...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Kumbe Ayatollah Khamenei na familia yake wamejificha kwenye bunker huko Lavizan Kaskazini Magharibi mwa Tehran

    Wadau hamjamboni nyote, Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo, EXCLUSIVE Khamenei and his family hiding in bunker in Lavizan northwestern of Tehran, sources say 21 minutes ago Iran's Supreme Leader Ali Khamenei was moved to an underground bunker in Lavizan in northeastern Tehran hours...
  14. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Zambia: Familia ya Hayati Lungu yasema aliacha maelekezo Rais Hichilema asihudhurie msiba wala kusogea popote ulipo mwili wake

    Familia ya aliyekuwa Rais wa Zambia, Edgar Lungu, ambaye alifariki wiki iliyopita akiwa nchini Afrika Kusini, imedai kuwa marehemu aliacha maelekezo mahsusi akitaka Rais wa sasa, Hakainde Hichilema, asijihusishe kwa namna yoyote na shughuli za msiba wake wala kuwa karibu na mwili wake. Kwa...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Familia ya Juma Maganga yamlilia Rais Samia awasaidie ndugu yao atolewe Jela Sudan Kusini

    Familia ya Mtanzania Juma Maganga, aliyehukumiwa kifungo cha miaka 13 nchini Sudan Kusini kwa kosa la kumgonga mwanajeshi hadi kufariki, imeelezea hofu yao juu ya hatma ya ndugu yao huyo endapo watashindwa kulipa fidia ya milioni 30 kama ilivyoamriwa na mahakama ya huko. Licha ya adhabu hiyo...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania CCM Mbeya yatoa Rambirambi kwa Familia 28 zilizopoteza wapendwa katika Ajali ya Barabarani

    Chama Cha Mapinduzi CCM mkoa wa Mbeya kimetoa rambirambi yake kwa familia 28 zilizoondokewa na ndugu kufuatia ajali ya magari iliyotokea siku ya Jumamosi usiku. Soma: Watu 28 wafariki kwenye mteremko wa Mbalizi, mkoani Mbeya, wengine 9 wajeruhiwa Akiongea na wafiwa kwa niaba ya Mwenyekiti wa...
  17. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Nimeamini kweli usimuamini binti au mwanamke ambaye ametoka familia maskini kuwa naye kwenye mahusiano its typical Danger

    Tupo mikoa tofauti but Ninazo taarifa na ushahidi tayari kashachomoa mimba tatu za wanaume wengine, nina taarifa zake nyingi kuhusu yanayoendelea kwenye simu yake ila hajui kuwa najua maana kila info naziona vyema na voice call nazisikiliza vizuri tu, Nimejaribu kumfuata chuoni kwake kumhoji...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mtoto mwendawazimu hapaswi kupewa urithi. Familia inaweza kukodi mgeni aje atawale watoto mpaka watakapojitambua

    Baba na mama wakipata ajali wakafa au wakafa kwa maradhi huku watoto wao 6 ni watano wadogo na mkubwa mwendawazimu ili kulinda mali yule mwendawazimu akaropoka Mimi siwezi kuongoza aje jirani aongoze wakikua hawa wadogo zangu watachukua mali za baba. Akarudia tena " Mimi siwezi" Jirani akaja...
  19. Desierto

    JamiiForums Tanzania Vipi hapo ulipo umeoa mke au umeoa mke na familia nzima

    Kwa bahati mbaya kuna watu badala ya kuoa mke ila wanajikuta wanahudumia mke na familia nzima yaani hii ni utake hsitake. Hasa ukiaa muoga kuaachana wanahamiavwote kwako.
  20. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Kwani ndugu wa familia ya mzee Kijani hawaoni kama mwenzao yameshamshinda?

    Hii familia ya mzee kijani imajaaliwa kutawala kijiji chetu kwa muda mrefu. Walikuja watawala wengi kutoka katika familia hii wakafanya mambo mazuri na wakaharibu lakini si kwa kiwango hiki alichoharibu huyu mwanafamilia waliempa kijiti baada ya kiongozi kutoka familia hiyo Mzee Chuma kufariki...
Back
Top Bottom