"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.
Familia ya Mtanzania Juma Maganga, aliyehukumiwa kifungo cha miaka 13 nchini Sudan Kusini kwa kosa la kumgonga mwanajeshi hadi kufariki, imeelezea hofu yao juu ya hatma ya ndugu yao huyo endapo watashindwa kulipa fidia ya milioni 30 kama ilivyoamriwa na mahakama ya huko.
Licha ya adhabu hiyo...
Chama Cha Mapinduzi CCM mkoa wa Mbeya kimetoa rambirambi yake kwa familia 28 zilizoondokewa na ndugu kufuatia ajali ya magari iliyotokea siku ya Jumamosi usiku.
Soma: Watu 28 wafariki kwenye mteremko wa Mbalizi, mkoani Mbeya, wengine 9 wajeruhiwa
Akiongea na wafiwa kwa niaba ya Mwenyekiti wa...
Tupo mikoa tofauti but Ninazo taarifa na ushahidi tayari kashachomoa mimba tatu za wanaume wengine, nina taarifa zake nyingi kuhusu yanayoendelea kwenye simu yake ila hajui kuwa najua maana kila info naziona vyema na voice call nazisikiliza vizuri tu,
Nimejaribu kumfuata chuoni kwake kumhoji...
Baba na mama wakipata ajali wakafa au wakafa kwa maradhi huku watoto wao 6 ni watano wadogo na mkubwa mwendawazimu ili kulinda mali yule mwendawazimu akaropoka Mimi siwezi kuongoza aje jirani aongoze wakikua hawa wadogo zangu watachukua mali za baba. Akarudia tena " Mimi siwezi"
Jirani akaja...
Kwa bahati mbaya kuna watu badala ya kuoa mke ila wanajikuta wanahudumia mke na familia nzima yaani hii ni utake hsitake.
Hasa ukiaa muoga kuaachana wanahamiavwote kwako.
Hii familia ya mzee kijani imajaaliwa kutawala kijiji chetu kwa muda mrefu. Walikuja watawala wengi kutoka katika familia hii wakafanya mambo mazuri na wakaharibu lakini si kwa kiwango hiki alichoharibu huyu mwanafamilia waliempa kijiti baada ya kiongozi kutoka familia hiyo Mzee Chuma kufariki...
Najalibu kutafakali kwa haya yanayotokea huyu Mama baada ya kustaafu sizani kama atabaki Tanzania kama marais wenzake waliomtangulia,namuona yeye na familia yake wakienda kuishi Oman huku nyuma akiwa ametuachia msala wa mavurugano mkubwa wa kivyama,kisiasa na kidini,
Kama huko CCM hakuna wa...
Omba Toba
Sali
Omba toba mkono wako wa kiume ulitumika kumtia mkeo mimba zote
Omba msamaha kwa Ajili yake
Tafadhali Bado unapendwa tuliza akili hacha siqeaa baba hata ulisema unitafte unitese haitosaidia fanya nilivyosema
Jamani ni me natafuta mwanamke wa kuanzisha naye maisha na familia pia.umri wangu ni miaka 29 kazi yangu ni mfanya biashara mdogo,location nipo mbeya kama uko tayari nichek pm
Kama ilivyo kawaida, Ijumaa huwa napenda kwenda kupumzisha akili moja baridi, moja moto kwenye viwanja. Lakini leo hali ilikuwa tofauti kidogo. Rafiki yangu mmoja aliniomba nimpe kampani twende kwenye kiwanja ambacho yeye amekizoea.
Sikuwa na shida, tukasafiri pamoja hadi huko. Tulipofika...
Poleni tena wafiwa. Kwa sababu Mheshimiwa Dr Ndugulile alifariki akiwa bado kazini (Mbunge) na kule WHO alikua bado hajaanza kazi, ingefaa pesa yake yote ya mafao wapewe familia yake.
AINA 4 ZA WANAWAKE AMBAO HUTAKIWI KUANZISHA NAO FAMILIA HASA UKIWA NA UMRI CHINI YA MIAKA 45.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Umri wa 20-45 ni umri muhimu Sana kwako kama kijana wa kiume. Huo ndio umri ambao unanguvu ya kujenga empire yako. Kumbuka mwanaume hazaliwi akiwa na thamani. Kama...
Sio lazima arithishe familia yake, Tatizo hashirikishi hata ndugu zake. Ni kwa lengo la kupunguza upotevu wa mali, Matapeli kujimilikusha vitu kiholela, n.k.
Wala hakuna ugomvi familia inaishi vizuri lakini unakuta mzee hataki kabisa kuzungumzia ishu za mali,
Mali mnazijua kupitia watu...
Wayahudi hawakuwahi kuachana na Israeli - kumekuwa na uwepo unaoendelea kwa miaka 3000. Idadi yao ilikuwa kubwa kati ya wakazi wa Yerusalem katika zama zote. Walipungua kutokana na kukabiliwa na kufukuzwa mara kwa mara na tawala za wakazi wa kigeni (Wazungu na Waarabu) katika ardhi hiyo lakini...
Katika jamii nyingi za Kiafrika, ikiwa ni pamoja na Tanzania, kuzaa watoto wengi huonekana kama ishara ya baraka, fahari, na hata ujasiri wa kifamilia. Misemo kama “mtoto ni zawadi ya Mungu” au “familia kubwa ni hazina” husikika kila kona ya mtaa. Lakini katika zama hizi za mabadiliko ya...
Katika jamii nyingi za Kiafrika, na hasa hapa Tanzania, mtu anaposema ana watoto wanne au watano, jamii humpongeza kwa maneno kama "Wewe ni shujaa", "Mungu amekubariki", au "Watoto ni mali." Lakini nyuma ya sifa hizi za kijamii, kuna ukweli wa kisayansi ambao si watu wengi huujua—ukweli...
Mama zetu walikuwa atleast kila wiki lazima watulishe makande, yaliyowekwa magadi ya kienyeji, wakiyaombea kwa siri yaende kuwaondoshea wanawe mokosi, kijicho na bahati mbaya, na ilibidi wapike chakula kigumu, chenye kuhitaji magadi ya kienyeji kwa makusudi,
#Tutiririshe intelegensia mbali...
Kwasababu my friends ladies and gentlemen let's face it,
Ukitazama kwa makini mienendo ya viongozi waandamizi wa kamati kuu ya chadema Taifa, ukisoma kwa makini body languages zao, facial expressions na hata ukiskiza tones za baadhi ya viongozi waandamizi wa kamati kuu ya chadema Taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.