Vumbi hili lina majina mengi sana nayo ni Kasongo, Mundende, putururu, Mpesu, nk. Vumbi hili si vumbi kama vumbi la stoo, barabarani, shambani nk. Hili ni vumbi linalotokana mizizi au Magome ya Mti unaitwa MPESU au Violet tree (kitaalam unaitwa Securidaca Longipedunculata)
Basi mti huo husagwa...