Cryptocurrency ni kweli siyo upigaji; kwa siku tano nimeingiza faida ya dola 900 za kimarekani

Status
Not open for further replies.

Machudaa

Senior Member
Jan 22, 2018
124
311
Ni wiki mbili zimepita nimejiunga kwenye crypto currency baada ya kulazimishwa na rafiki yangu. Alinisihi sana nikasita. Aliniambia sasa hivi kabla ya October kuisha ukiwekeza kwenye coins sahihi ambazo alinisaidia kunionesha nitapata faida.

Nilisita ila siku tano zilizopigwa nikafungua account ya moja za crypto currency kumbuka mimi bado mgeni kwenye mambo haya.

Leo nimeangalia nimepata faida ya 900 dollars kwa 500 dollars niliyoinvest na inapanda.

Nilijuaga hii ni upigaji kama ile forex ya jamaa humu ila siyo. Ukiinvest tu kwenye coin nzuri unaweza kutoka sana na faida nyingi na kubwa.

Ni vizuri pia kujifunza kabla ya ku invest mtandaoni ama unamjua rafiki ambaye yumo kwenye gemu kwa muda. Kuna coins nyingi sana kwenye crypto nimeuja kujua.

Coin yenye thamani sasa hivi ni Bitcoin na Bitcoin moja ni 61,000 USD. Na miaka 10 iliyopita ilikuwa 50 cents.

Wale wazoefu wa Crypto (Bitcoin) tunaomba maujuzi yenu tu jifunze Zaid. Coins zipi zinafaa.

Crypto si upigaji

Karibuni kwenye mjadala
 
Hiyo faida umetrade au umenunua Coin na kuhold na baadae umeuza? All in All usitegemee mjadala positive humu zaidi ya kukatishwa tamaa. Wabongo wengi bado wana ushamba wa Crypto. Usiwasanue ngoja tupige hela ili baadae watuite Freemasons(Joke).
 
Snap your account of of imaginary currency... Work hard dude
 
Kwa mfano hii coin rafiki yangu aliyonielekeza ilikuwa 00.0001 dollars wiki iliyopita imeshut
Hiyo faida umetrade au umenunua Coin na kuhold na baadae umeuza? All in All usitegemee mjadala positive humu zaidi ya kukatishwa tamaa. Wabongo wengi bado wana ushamba wa Crypto. Usiwasanue ngoja tupige hela ili baadae watuite Freemasons(Joke).
Mkuu Asante. Hapo kwenye kutrade au kununua fafanua. Mimi rafiki yangu kanielekeza nimenunua 5 days. Kilichonipa moyo ni hii faida kupanda na inawezekana January ikafika hata elfu kumi. Bado najifunza ila ni promising.
 
Kwa mfano hii coin rafiki yangu aliyonielekeza ilikuwa 00.0001 dollars wiki iliyopita imeshut
Mkuu Asante. Hapo kwenye kutrade au kununua fafanua. Mimi rafiki yangu kanielekeza nimenunua 5 days. Kilichonipa moyo ni hii faida kupanda na inawezekana January ikafika hata elfu kumi. Bado najifunza ila ni promising.
Ok Coin gani ulinunua? Inaitwaje? Jifunze kutrade mwenyewe usimpe mtu akufanyie. kutrade maana yake unanunua at low price na baade unauza at a high price.
 
Mkuu mimi nafanya kazi siyo eti ntategemea tu crypto. Iyo 500 USD nimeinvest tu mkuu kama Pata potea ila nilivoona hii faida imenipa moyo. Pia ukiwa na akili timamu huwezi wekeza hela yako yote.
Atleast upo straight... Kuna watu huwa wanasema oooh there is no loss .. mkuu piga nje ndan... Can u pm me the snapshot of your account?
 
Jibu langu la siku zote ni kuwa HAKUNA MTU ANAEGAWA PESA ZA BURE DUNIANI.

Hivyo ukiona umekula tarajia kuwashawishi watu mia moja na hao wanaenda kuliwa.

Hakuna utajiri Rahisi duniani
Yeyote akijiunga crypto apate faida au asipate mimi sifaidiki chochote. Ila na share tu niko excited na hii kitu. Nilikuwa kama wewe mara ya kwanza. Siyo lazima uwekeze. Na ukiwa na Nia ya kuwekeza chukua muda jifunze
 
Mkuu watu wa aina hiyo ni kuwaignore tu.
 
Ok..Cardano is very promising
Kuna hii ALU-pankaswap hii coin ni nzuri ndo najifunza kiundani zaidi ni complicated lazima sijui uwe na wallet. Yani naitafuta hela ninune coins. Pia kwenye crypto bahati inahusika unaweza kuangukua coin moja ikashoot up vibaya. Kama Shiba uni coin rafiki yangu aliniambia miezi michache iliyopita ilikuwa under one dollar lakini sasa hivi imefika 4000. Kuna mwanamama aliinvest 30000 sasa hivi ana 6m USD. Sasa imagine hii nilivyo invest sasa hivi cardono ipande tu hata 50 usd
 
Yaaah na hicho ndo nnacho kishindwa , huna kwa kwenda ukipigwa japo naiamin biashar., Unaanzia wap kwa mfano yan
Mimi niliamua kuinvia chimbo mwenyewe na kusoma na kujifunza kwa Bidii saivi nimeanza kutrade mdogomdogo..lkn shule bado inaendelea. Paid Groups nyingi ni wizi tuu...
 
Mkuu huko mda mrefu kwenye crypto? Kuna strategy nyingine nataka kufanya na kujaribu. Nitajinyima kama 1000 us dollars hivi halafu Nita invest kwa kununua coins 10 tofauti zote nikiwekeza mia mia halafu nasikizia
Tangu niingie deeply huu ni mwaka wa 2 lkn bado naendelea kujifunza. Hiyo strategy si mbaya lkn inahitaji technical analysis nzuri. Crypto ina mambo yake ambayo lazima ujifunze uyaelewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom