facebook

  1. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyobadirisha elfu 20 kuwa TSH 500,000 kwa kutumia tangazo moja tu la Facebook & Instagram

    Jinsi nilivyobadirisha elfu 20 kuwa TSH 500,000 kwa kutumia tangazo moja tu la Facebook & Instagram Jinsi nilivyobadirisha elfu 20 kuwa TSH 500,000 kwa kutumia tangazo moja tu la Facebook & Instagram kwa kuuza digital product (WhatsApp Automation Tool). Niliamua kujaribu bahati yangu kwa...
  2. Faana

    JamiiForums Tanzania Picha: Jinsi Whatsapp, Facebook zilivyobadili approach

  3. Nijosnotes

    JamiiForums Tanzania Biashara 99 za facebook

    Habari wakuu, Na hii ndio biashara yangu kukusogezea kitabu chenye biashara 99 za facebook. Nina ujuzi wakuendesha biashara mtandaoni hasa kwenye majukwaa kama Facebook na Instagram. Hiki kinakuwa kitabu cha tatu kwangu kuandika. Na kwa msaada wa Akili Mnemba imenirahisishia kazi kubwa ya...
  4. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Facebook wamvaa mwana FA baada ya kupost stegi hii

    Kama wananchi wa Facebook wameanza kuwa na Akili hii ukombozi hauko mbali Sasa baada ya hiyo post soma Comment za baadhi ya wadau
  5. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Marekani: Meta Yaweza Kulazimika Kuuza Instagram na WhatsApp

    Kampuni ya teknolojia ya Meta, inayomilikiwa na bilionea Mark Zuckerberg, huenda ikalazimika kuuza Instagram na WhatsApp kufuatia kesi ya ukiritimba (antitrust) inayosikilizwa nchini Marekani. Meta, ambayo pia inamiliki Facebook, ilinunua Instagram mwaka 2012 na WhatsApp mwaka 2014. Serikali ya...
  6. haszu

    JamiiForums Tanzania Nilifuta account ya Facebook kutokana na kutongozwa na wanaume wenzangu.

    Nilikua natuma picha zangu kawaida tu, na zinaonesha kabisa mimi ni mwanaume ila kilichonitokea ikabidi nifute account, pia nikajifunza Kenya kuna watu mafilauni wa waziwazi. Yani mtu anakutumia meseji, “Et we ni mzuri, uko wapi?” Yani anakutongoza kama vile mtoto wa kike. Miongoni mwa watu...
  7. Crucifix

    JamiiForums Tanzania Need assistance: SUSPENDED FACEBOOK ACCOUNT

    Anyone here who can help me unsuspend my facebook account? Please inbox for arrangements
  8. Empty container for sale

    JamiiForums Tanzania Umewahi kujiuliza ni familia ngapi zinakula na kunywa kwa kipato kinachopatika Facebook, instagram,whatsapp?

    To be honest Kwa sisi wafanya -biashara tunabidi kumshukuru Sana Mungu na kumuombea maisha marefu mmiliki wa hii mitandao ,Facebook, Instagram na WhatsApp. Familia zetu zinakula na kunywa kupitia hii mitandao Tunauza bidhaa za mamilion , tunanunua bidhaa n.k God bless you makizigibagi.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Dj Facebook na kidensa mc nani mkali ???

    Habari zenu ndg zangu, hebu tupoteze mawazo kidogo hapa, Nataka kujua nyie wenzangu na mie dj Facebook na kidensa mc Nan mkali, 😁
  10. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kwa wazazi , mtoto wako mfungulie Account Facebook ,instagram , twitter akizaliwa tu.

    Mtoto wako akizaliwa mfungulie account za kijamii na uanze kuzikuza taratibu. Hii itamsaidia akikuwa Kwa sasa hivi soko la ajira na fursa zote limeshikiliwa na teknolojia . Ili kulinda privacy za mtoto usiweke au kupost picha yake bila sababu. Mfano mtoto wa diamond anaingiza pesa nyingi tu...
  11. Zephiline F Ezekiel

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Facebook page inauzwa(12k followers)

    KUNA PAGE HAPA SINA KAZI NAYO NIPENI HELA MPIGE PESA ZA ZUCK Kama unataka ukurasa ambao una watu wengi tayari basi huu hapa nipe hela umalize kwa kuweka video 2 pekee na ukidhi masharti Haina kipengele chochote sababu mimi nina kurasa zingine hivyo kuliko kubaki na kurasa nyingi hii nimeona...
  12. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kupata Pesa Online kwa Kutumia Social Media kama Instagram, X, na Facebook

    Katika dunia ya sasa, social media imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya kila siku, na kwa wale wanaojua kuitumia vizuri, ni chanzo kizuri cha kipato. Hapa nitakuelezea njia rahisi na za uhakika za kupata pesa online kupitia majukwaa kama Instagram, X (zamani Twitter), na Facebook. 1. Kuanzisha...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie link ya kudownload majina Facebook

    WAkuu habari zenu. Naimba msaada wa link ya kunisaidia kudownload facebook contact nimehangaika sana nimeshindwa kama kuna mtu ana link naimba msaada wakuu
  14. N

    JamiiForums Tanzania Habibu Anga: Yericko Nyerere ameniibia makala zangu Facebook huyu dogo ni mweupe na hana Elimu yoyote kama kama ilivyo kwa Mbowe

    Kumbe Yericko Nyerere na makaratasi yake yale anayoyaita vitabu kama alivyosema Dkt Lwaitama anaibaiba huku na kule kazi za watu na kujifanya msomi wa mambo ya Ujasusi na mshauari wa Mbowe wa kumtukana ovyo Tundu Lissu. Genge linalomuunga mkono Mbowe ni la watu wa ajabu ajabu sana ndio...
  15. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson wewe ni kiongozi mkubwa sana wa Dunia punguza kuposti picha zako Facebook

    Jamani mimi sijui ni mshamba au ninamaarifa kidogo, huwa napata sana shida kuona kiongozi mkubwa kama Tulia Acksoni, Spika wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, na spika wa Dunia, mtu anae ongoza maspika wote wa Dunia hii. Najiuliza anapata wapi muda wa kujipost FaceBook. Wewe kama mwasheria...
  16. nergomafioso

    JamiiForums Tanzania Natafuta mfadhili/mwajiri/partner tutakaeweza kuanzisha channel ya youtube/podcast sehemu yoyote tanzania

    Mimi ni kijana umri 26 Napatikana katika moja ya wilaya mkoani Dodoma, Natafuta mtu mwenye interest ya kuanzisha channel ya YouTube in any niche niko na uelewa na Algorithm ya YouTube inavyoenda nimekosa vifaa kutokana na hali ya maisha ninakotokea, Kama unamtaji na ulitamani siku moja kufahamu...
  17. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Australia: Serikali kupiga marufuku watoto chini ya 18 kuwa na Insta, X, Facebook na Tiktok?

    Serikali ya Australia imeonyesha njia baada ya kupiga marufuku mtoto chini ya miaka 16 kuwa na akaunti ya. mitandao ya kijamii ili kulinda maadili. Nimezungumza na maelfu ya wazazi, babu na nyanya, shangazi na wajomba. Wao, kama mimi, wana wasiwasi kuhusu usalama wa watoto wetu mtandaoni...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Juma katueleza kisa alivyotapeliwa na wanawake huko Facebook

    Hapa hua tunakutana kwenye tangawizi na kahawa Mzee juma kafika na kanzu yake swafi na baraghashia yake kama kawaida, Mzee juma siku hizi ana simu ya kupangusa vidole hivo anakua busy kwenye simu , sio kama zamani alipokua anatumia kitochi, Hussein anamuuliza kiutani mzee J naona unaperuzi...
  19. tustary software develope

    JamiiForums Tanzania Namna ya kurudisha account ya FaceBook iliyodukuliwa

    Ikiwa akaunti yako ya Facebook imedukuliwa, unapaswa kuchukua hatua haraka ili kujaribu kuirejesha. Hapa kuna hatua za kufuata: 1. Badilisha nenosiri mara moja: - Ikiwa bado unaweza kuingia kwenye akaunti yako, nenda kwenye Mipangilio(settings) -> Usalama na Kuingia-> **Badilisha Nenosiri...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua Watanzania wajinga nenda Facebook kaangalie wanavyokomenti kwenye habari muhimu na habari za udaku

    Baada ya kusoma comments za Watanzania juu ya habari ya uhusika wa Makonda kwenye jaribio la kumuua Lissu ninasema kuwa Watanzania hawastahili kuonewa huruma. Lissu tangu miaka ya 90 anapigania haki na ustawi wa Watanzania lakini Watanzania ni kama walifurahia jaribio la mauaji yake. Unaweza...
Back
Top Bottom