facebook

  1. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Mitandao wa FACEBOOK na YOUTUBE ina shida muda huu. Hii ni sababu ya SIASA au ni nini?

    Kama ni SIASA basi nchi yetu inaongozwa kwa mihemko sana au tuliowapa uongozi hawafikirii vyema kuhusu wananchi. Kama ni Inshu critical kumtandao au shida basi wanapaswa kuitatua haraka sana kwani wengi ndio huingiza pesa kupitia platforms hizi. Mtandao wa FACEBOOK na YOUTUBE hazifanyi kazi...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Facebook kinara wa Kauli za Chuki "Hate Speech" Mitandaoni

    Watu wawili kati ya watatu walisema wamekutana mara kwa mara na maneno ya chuki, kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Ipsos kati ya Agosti 2022 na Septemba 2023. Utafiti huo ulihusisha jumla ya watu 8,000 kutoka nchi 16 zilizochaguliwa kwa sababu zilikuwa na uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika...
  3. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Je unatafuta wateja mtandaoni (Facebook, Instagram) ?

    Kama unatafuta wateja mtandaoni (Facebook, Instagram) karibu nikusaidie kwa kuweka matangazo mtandaoni utawafikia watu wengi zaidi kupitia Facebook na Instagram kwa bajeti nafuu... Pia nitakuwa nasimamia akaunti zako za mitandao ya kijamii. Gharama kwa mwezi ni 150,000 Tsh. Napatikana: Dar es...
  4. Knock life

    JamiiForums Tanzania Nipo nawasiliana na Wanasheria wangu , ninampango wa kwenda kuishitaki Serikali kwa kuifungia Facebook na kunisababishia hasara kubwa siku ya leo

    Wakuu , huu upumbavu hauvumiliki Jumatatu nategemea kufungua shauri mahakamani kwa ajili ya kuishitaki Serikali kwa kunisababishia hasara katika biashara zangu. Ushahidi ninao Hatuwezi kuwa na Taifa la watu wajinga ambao hawajitambui wanafanya lolote wanalohitaji Sisi wafanyabiashara tunalipa...
  5. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Maisha bila Facebook, watsapp, instagram, Tik tok inawezekana usiruhusu simu ikutawale bali itawale simu yako

    Maisha bila mitandao ya kijamii inawezekana huu ni mwaka wa nne sasa no fb, no instar no twitter Kilichobaki ni Jf tu Muda upo wa kutosha kusoma vitabu, kufanya kazi, kutafakari na kukaa na familia Nimesoma votabu zaidi ya 400 Sihitaji kuweka bamdo kila mara labda kama nataka kupakua kitabu...
  6. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kufunga Mitandao ya Kijamii ni hasara kubwa kwa wafanyabiashara

    Wafanyiabiasha wengi tunategemea Facebook, X, Telegram . Then Serikali iliyokosa maono na akili inafungia hiyo mitandao.
  7. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kumsikia Polepole kupitia Facebook; Serikali isihangaike kuwazuia

    Nilishindwa kumfuatilia YouTube na Zoom ambazo ndiyo applications alizokuwa ame share. Finally nikampata Facebook. Kulikuwa wasikilizaji 9,000+. Nimesikiliza hadi aliporuhusu maswali kwenye swali la 3. Kimsingi hakuna kitu kipya alicho ongea kinachoathiri usalama wa Taifa letu. Ameongea vitu...
  8. Manepesa

    JamiiForums Tanzania Mnatufungia mtandao Facebook unahusika nini na siasa zenu?

    Wengi Tunategemea sana kutangaza biashara zetu kupitia mtandao mnazima ili iweje ..nmepoteza hela. Mmefunga Twitter (x) , sasa hivi mmehamia Facebook. Fungueni hii mitandao, wengine siasa hatuzitaki ni ujinga tu.
  9. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Wanaolipwa Na Facebook Nchini Tanzania Waongezeka

    Kwa Mujibu wa Takwimu kutoka katika Tovuti ya StatCounter iliyotolewa leo July 13, 2025, Mtandao wa Facebook unaomilikiwa na Kampuni ya meta Umetoa Mialiko ya Watumiaji wa Tanzania zaidi ya 64,915 kujiunga na Programu yao Mpya inayoitwa "Content Monetisation" ambapo Mwenye Account ataweza...
  10. Madwari Madwari

    JamiiForums Tanzania BADILI PASSORD ZAKO SASA HIVI: Password bilioni 16 zimedukuuliwa katika uvujaji wa data uliovunja rekodi, Facebook, Google, Apple,

    Data kadhaa za ID vya kuingia hufichua mojawapo ya ukiukaji mkubwa zaidi wa data katika historia, ukiwa na jumla ya ID cha kuingia cha bilioni 16 kilichofichuliwa. Data ina uwezekano mkubwa zaidi kutoka kwa watoa taarifa mbalimbali. HaBARI hii, kulingana na matokeo ya kipekee ya Cybernews na...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Nywila Bilioni 16 za Apple, Facebook, Google na Mitandao Mengine Zavuja

    Watafiti wamethibitisha kuwa hili ni tukio kubwa zaidi la uvujaji wa taarifa kuwahi kutokea baada ya nywila bilioni 16 pamoja na taarifa za watumiaji wa mitandao mbalimbali kuvuja kuanzia Januari 2025 Wataalamu hao wamedai kuwa taarifa na nywila hizo zilikusanywa kwa kutumia programu hatari...
  12. Sitaki kuamini

    JamiiForums Tanzania Tufahamishane kuhusu hii code ya kupiga pesa Facebook

    nishasanuka!!!! Endeleeni ku’gatekeep!! Now ni kudownload hela tu🔥🔥🔥🔥
  13. J

    JamiiForums Tanzania Hii Dunia inapoelekea sio shoga kanicheki Facebook messenger anataka kuniblesss

    Wakuu inakuaje apo Back to the topic,mida hii ya mchana Niko zangu ofisin,nimetulia baada ya ubize wa asubuh kupanga panga vitu .ikabidi nitulie sasa ..nikaingia zangu fb huko ,ghafla bin vuu nakuta sms messenger..naangalia profile jina la kiume ila mtu kaanza.na mambo daah ikabidi nimjibu mara...
  14. Mtu Alie Nyikani

    JamiiForums Tanzania Bila shaka hizi social media zimefungwa Tanzania? (Facebook, Whatsapp & Instagram), au lah!! Basi ni tatizo la kiufundi

    WanaJF habari za wakati? Nimeamka Leo tangu asubuhi kwa ajili ya harakati za hapa na pale , ghafura nashangaa Simu yangu inakua nzito kwenye upande wa mtandao, Whatsapp nikituma message haziendi, Facebook same to Instagram hili jambo limenishangaza sana mpaka nimejiuliza labda bando limeisha...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais wa TAHLISO: Wanafunzi vyuo vikuu tutashiriki uchaguzi, Instagram Facebook na X sio Tume Huru ya Uchaguzi

    Wakuu Huyu kijana anatakiwa akapewe somo na Vijana wa UDOM, ameshindwa kusemea changamoto zisizokoma za wanafunzi huko vyuoni anatuletea uchawa, na hao vijana wanaomshangilia wakicheleweshewa boom wanatoa milio 24/7. === Rais wa Jumuiya ya Taasisi za Wanafunzi Wa Elimu ya Juu, TAHLISO...
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kwa moto anaopelekewa Msigwa Facebook hadi kafunga comment IG. Hongereni Watanganyika Finyaaaaaa!

    Msemaji wa Serikali amepost kwenye account yake ya Facebook kuwaita waliosema No Reform No Election kwenye show ya jana ya Bilnas Udom ni Walevi. Kwa kweli Watanzania wa Facebook wamempelekea moto vibaya sana. Moto huo umemfanya hadi kafunga comment section kwenye post kama hiyo IG. Hongereni...
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hali Tete: CCM watuma vijana Mitandaoni hasa X, Tiktok, Facebook na Instagram. Wawapa bundles kutuma jumbe kuonesha Samia na CCM wanaungwa mkono

    Nimecheka sana, Mdogo wangu yupo Chuo Kikuu Dodoma kaniambia muda huu vijana wa CCM vyuoni wameelekezwa kuingia kwenye pages za Samia, Ikulu Mawasiliano na CCM kutuma jumbe nyingi kuonesha Samia na CCM inaungwa mkono. Jumbe hizo ni pamoja na za kumsifia na kuonesha kuwa anapendwa na atapigiwa...
  18. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufanya matangazo ya facebook na instagram yafanye vizuri (2025 guide)

    Katika ulimwengu wa kidijitali, biashara nyingi Tanzania zinaanza kuelewa nguvu ya matangazo ya Facebook na Instagram. Lakini si matangazo yote yanayoleta matokeo. Ili matangazo yako yafanye kazi — yaweze kuuza, kuingiza leads, au kukuza brand yako — lazima uyatengeneze kwa ustadi. Leo...
  19. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: https://ikulu.go.tz
  20. youngkato

    JamiiForums Tanzania Ni Aina Gani ya Watu Wanatakiwa Kufanya MATANGAZO YA KULIPIA? (Meta Ads – Facebook & Instagram)

    1. WAFANYABIASHARA WADOGO Unauza nguo, viatu, chakula, vipodozi, electronics, 👉 Kama unataka kuuza zaidi ya watu wa mtaa wako, unahitaji matangazo ya kulipia. 🟢 Ads zitakusaidia kufikia maelfu ya watu wanaohitaji bidhaa zako, unaweza kufanya hata bila kuwa na duka! 2. MACHINGA & MADALALI Wewe...
Back
Top Bottom