facebook

  1. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania Kuna UVCCM kule Facebook: Amehoji kwanini Serikali ya Tanganyika iliamua kuwapa Zabuni ya kujenga SGR Yapi Merkez (Waturuki) na kuwaacha Wakandarasi

    Bila shaka huyu UVCCM anahofia Performance ya Yapi Merkez katika Ujenzi wa Miradi mikubwa, na Bilashaka anataka kuwatupia zigo la mavi juu ya uharibifu uliotokea. Ngoja nimwambie: - Mradi wa Tanzania Standard Gauge Railway una Phase 6, Katika hizo phase 6 Yapi Merkez walishinda zabuni ya Ujenzi...
  2. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Aliewahi kumuona Mwambukusi wa TLS akiwa frontline kwa jambo lolote lile anijuze, Tofauti na kule Facebook na X

    Kuna siku nilimuuliza akanipiha Block, Mwambukusi ana bweka tu kwenye socia media ila hutakaa umuone Mahakamani au kokote kule, Maraisi wemgine wa TLS walio tangulia tulikiwa tunawaona Mahakani pia, ila MWambukusi ni tofauti anaongea sana mnoa ila mulete kwemye vitendo. Wakili kama Kibatala ni...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wa kusimamia group la facebook kabla sijalitelekeza, Nimechoka kufuta post za biashara, waganga, n.k.

    Niliwahi kuanzisha group la Facebook kwa kitu amnacho nina interest Lakini sasa limekuwa kubwa members elf 18, ninacho kutana nacho ni rundo la post za Biashara, waganga, free mason, vinyozi, siasa, dini, n.k. Magroup makubwa huwa wanawezaje na unakuta kazi yote anafanya admin
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Facebook imepata shambulio la kimtandao?

    Kwa miezi hii mitatu imetumika kwa ukubwa wake kuunganisha sauti za wanaharakati na wapenda mabadiliko Tanganyika Ile FB iliyokuwa inadharauriwa na wasiojitambua ikawa mojawapo ya sehemu muhimu na ya uhakika ya kupata taarifa mbalimbali na updates pia Leo tangu mchana haifunguki tena! Kumbuka...
  5. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwijaku amefuta post zote za Samia na CCM Instagram yake

    The national disgrace kubwajinga Mwijaku kafuta posti zote za mama na CCM kwenye ukurasa wake wa Facebook na Instagram
  6. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania GE2025 Facebook imeliwa kichwa bila VPN huoni kitu, CCM must go

    GT Haya mambo haya walizani tunatania kubabake sasa ni mwendo wa VPN Mpaka kieleweke Pia soma > GE2025 - Mitandao ya YouTube, TikTok na Signal imeliwa kichwa kama X na Telegram. Facebook, Instagram na WhatsApp kufuatia?
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mitandao ya YouTube, TikTok na Signal imeliwa kichwa kama X na Telegram. Facebook, Instagram na WhatsApp kufuatia?

    Wakuu, Mpaka sasa motandao ya Youtube, TikTok na Signal imeliwa kichwa, haipatikani mpaka utumie VPN, yote hii ikiwa ni kuzuia wananchi kupata taarifa wakati muhimu kabisa wa uchaguzi ambao wananchi wana haki na wanastahili kupata taarifa kujua kinachoendelea katika siku muhimu inayoenda...
  8. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Trab Trat ( Captain Tesha,) yupo Facebook

    Ana leanings kidogo towards Chadema. Slight leanings. Lakini analysis yake ya hali ya siasa ni quite accurate.Anaongea mambo yale yale ambayo Watanzania wanayazungumzia. Nadhani everyone should be calm,na hawa vijana idealistic,kama huyu Captain Tesha,ambao wanafikiria nchi yetu...
  9. willy ze great

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna mtu anadai kuonesha epl na ligi zote kubwa kwa bei ndogo facebook

    Kama picha zinavoonesha hapo anadai kuonesha ligi zote kubwa ulaya kwa bei nafuu tu matangazo yako facebook. Naomba ufafanunuzi kama hii kitu inawezekana anadai king'amuzi kinaitwa premium hd. Kama kuna mtu anafaham hii habari atutoe tongotongo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea Facebook mpaka wameondoa option ya kutafuta post na vipengele vya kuchuja ?

    Kwa sasa uki 'search' facebook matokeo yanakuja kwa mchanganyiko wa post, picha na video bila mpangilio maalum. Hakuna sehemu ya kuchagua uone post peke yake Hakuna sehemu ya kuchuja posti mpya, kwa mwaka, ulizoziona, n.k.
  11. W

    JamiiForums Tanzania Vijana 19 wauawa Nepal kwenye maandamano baada ya Serikali kufungia mitandao

    Takribani watu 19 wamepoteza maisha na kadhaa kujeruhiwa nchini Nepal baada ya maandamano dhidi ya ufisadi wa kisiasa na baada ya serikali kuchukua hatua ya kufungia mitandao ya kijamii amabapo maandamano hayo yaligeuka kuwa machafuko kati ya waandamanaji na vyombo vya usalama. Maelfu ya vijana...
  12. C

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ahadi za CCM Mbalizi mkoa wa Mbeya 2025-2030

    Uwekezaji mkubwa unaingia nchini kwetu, ahsante Mama. haijapatakutokea #kurayakwanzakwaSamiaUwekezaji mkubwa unaingia nchini kwetu, ahsante Mama. #haijapatakutokea kurayakwanzakwaSamia
  13. P

    JamiiForums Tanzania Maabara za kisasa ambazo zinatumika katika Shule ya Sekondari ya Philipo Mulugo

    Maabara za kisasa ambazo zinatumika katika Shule ya Sekondari ya Philipo Mulugo iliyojengwa kupitia mradi wa SEQUIP katika Kata ya Udinde Halmashauri ya Wilaya ya Songwe. #KurayakwanzakwaSamia #Haijapatakutokea
  14. P

    JamiiForums Tanzania Miaka Minne Ya Mama Nyumba 159 za walimu wa shule za msingi zimejengwa.

    Miaka Minne Ya Mama Nyumba 159 za walimu wa shule za msingi zimejengwa katika Mkoa wa Songwe. Ujenzi wa nyumba hizo umewezesha walimu kukaa karibu na shuleni hivyo kutumia muda mwingi kufundisha wanafunzi. #kurayakwanzakwasamia #haijapatakutokea
  15. P

    JamiiForums Tanzania VR inazidi Kuangaza juu ya Polepole inasemekana ni mwizi 2015 na pia mtekaji mkubwa

    HUYU JAMAA NIkUMPUUZAA MAANA NI MUHUNI ALIEKIDHIR Polepole na uongo na siasa za ujanja janja Mwaka 2014 Magufuli alituletea MV Bagamoyo ambayo Kwa kifupi pesa zote Milion 710 hazionesha mzabuni ni nani na imenunuliwaje, ikajitokeza kwenye TV Channel 10 ukiutetea wizi huo na kusema mkataba...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Dodomaa inasimama na mgombea urais Dkt Samia Suluhu Hasan

    Nimekuwa na wakati mzuri pamoja na wakazi wa Dodoma tukielezana yale ambayo serikali yao imefanya kwa manufaa yao katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, na mipango yetu kwao kwa miaka mitano ijayo, baada ya wao kutupa ridhaa kupitia Uchaguzi Mkuu 2025. Nimewashukuru kwa kuendelea kukiamini...
  17. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania MSIBA: Wazazi wanawalindaje watoto dhidi ya maudhui yasiyofaa?

    Siku nyingi nimekuwa nikiandika PUMBA TUPU ila leo niko more cooperate kwa HILI, pumba nita post mwishoni.... Si umesikia ile stori ya dogo aliyejiua baada ya ku chat na gpt? Ushasikiaga yule mtoto wa miaka 11 aliyekufa wakati anashiriki challenge ya TikTok ile ya kubana pumzi? Ok, unamkumbuka...
  18. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Facebook kinara wa kuzalisha Taarifa Potofu nchini

    Kipindi cha Januari hadi Juni 2025 kimeonesha ongezeko kubwa la taarifa potofu, hususan zinazohusiana na siasa. Katika muda huu, JamiiCheck ilihakiki jumla ya madai 192, ambapo madai ya yasiyo ya Kweli yaliongoza kwa kuwa 128 sawa na asilimia 67 ya madai yote. Madai ya kupotosha yalifikia 42...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Msiwe huru kupitiliza kupost "Anonymous" kwenye magroup ya facebook, Admins na Moderators bado wana uwezo wa kuwajua,

    nimeona watu wengi wakitumia njia ya anonymous kupost mambo ya siri au nyeti kwenye magroup ya Facebook, wakiamini kwamba hawawezi kutambulika. Hata hivyo, ni muhimu kuelewa ukweli halisi kuhusu jinsi mfumo huu unavyofanya kazi. Kumbuka: Ingawa anonymous posts hazionyeshi jina lako kwa...
  20. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Polepole: Wale mnanitafuta acheni tu mimi ninaongea kama Mtanzania na kama mwana CCM

    https://www.facebook.com/share/v/1GoS18PVZh/ Updates Polepole Wale mnanitafuta acheni tu mimi ninaongea kama Mtanzania na kama mwana CCM Hekima ingewaongoza viongozi wetu kuleta Tanzania pamoja katika kuelekea uchaguzi. Wagombea wa CCM kiti cha urais wamejilazimisha kuwa wa gombea wa CCM.
Back
Top Bottom