Zote, hasa Ethiopia na Iran, ni nchi kongwe. Zimekuwepo tokea kipindi Biblia inaandikwa.
Nchi zote tatu hazikuwahi kutawaliwa na Wazungu.
Lakini Iran imezipita zote kwa mambo mengi.
Kwa ubabe, imo! Inatunishiana misuli na mataifa makubwa kama Israel na Marekani.
Kama ni nguvu ya kiuchumi...