engine

  1. Kwanini engine za Toyota zenye herufi zinazoishia FE zinadumu sana (roho ya paka)

    Magari ni kama rav 4 old model yenye engine 3S-fe na magari yenye engine za G Kavu pia engine zinaishia na FE, siri ni nini ??
  2. Engine 3s ya rav 4 old model na G - Kavu zinafanana?

    Habari zenu wataalam wa magari, nilikuwa naomba mnipe mwanga kama hizi engine zinafanana,,, G kavu hizi hapa je zinaingiliana na 3s 1G-E 1G-EU 1G-FE 1G-GEU 1G-GE 1G-GTE 1G-GP/GPE
  3. Ijue Afya ya Engine ya gari yako

    Afya ya engine ya Gari lako. Je, unajisikiaje ukinunua gari baada ya muda mfupi sana ikakulazimu ufanye overhaul ya engine? Ili tuseme engine ya gari ina afya[engine mechanical health], Inatakiwa iwe na uwezo wa kuzalisha Compression pressure inayotakiwa. Bila compression hakuna gari itawaka...
  4. Nini tatizo la Taa za Check Engine, VSC na Trac Off kuwaka kwa pamoja

    Toyota Crown ya 2004 kila ulikitembea km 37-40 hizo taa zinawaka kwa pamoja ikianza na taa ya check engine halafu ndani ya sekunde chache zinawaka hizo zingine kwa pamoja. Ukizima gari na kuliwasha tena tatizo linapoteza, ukitembea tena km 37 taa zinawaka. Gari bado lina nguvu na kila kitu kipo...
  5. Engine Oil imejaa juu ya Maximum limit

    Wakuu gari iliwekewa engine oil ikawa juu ya maximum leo. Gari ilikua na sign ya kuvujisha oil ndo maana ikawekewa nyingi lakini sasa inaonekana oil haipunguzi. Je, hii inaweza ilaleta madhara gani kwenye engine?
  6. Tatizo la engine ya gari kuchemsha. Tafadhali pitia uzi huu, unaweza kupata chochote

    Uzi huu ni mrefu. Tafadhali soma wote. Huenda kuna kitu utajifunza. Risk Disclaimer⚠️⚠️⚠️⚠️ Usifungue mfuniko wa rejeta engine ikiwa imepata moto. Unless kama umeamua kujifanyia plastic surgery ya sura yako wewe mwenyewe. Tafadhali zingatia hili. Kwanza kabisa naomba niweke sababu za gari...
  7. Engine room assistant - 4 post at TPA

    POST ENGINE ROOM ASSISTANT – 4 POST POST CATEGORY(S) TRANSPORT AND LOGISTICS EMPLOYER Tanzania Ports Authority (TPA) APPLICATION TIMELINE: 2022-03-29 2022-04-11 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.To work within the daily work schedule; ii.To maintain tug log book showing Main engines...
  8. Tatizo la engine kumisi ukikanyaga accelerator kwenye baadhi ya gari za Toyota

    Hii kitu nimekutana nayo sana kwenye familia tatu za engine za toyota NZ engines[1NZ-FE, 2NZ-FE] AZ engines[1AZ, 2AZ] na ZZ engines [1ZZ sanasana] Sitotaja gari zinazotumia hizo engine sababu hata nikianza kuzitaja ni nyingi sitamaliza, lakini huenda zaidi ya 50% ya gari ndogo ambazo watu...
  9. X

    Google adsense, search engine optimization and seo trick for beginner in Tanzania

    Wadau nimeona mada nyingi zilianzishwa kwenye jukwaa hili zikihusisha google adsense ila wadau walioanzisha mada hizo hawakuongelea kwa upana kuhusu google adsense pamoja na dependencies zake: kwenye uzi huu naomba mdau kama una shauku ya kuijua vizuri google adsense basi kaa mkao wa kula...
  10. Tatizo common kwenye engine za BMW

    Kuna tatizo moja common kwenye engine za BMW. Kama ukiomba ushauri kwa mtu ambaye amecome across na hizo gari wengi moja ya sababu ambayo atakupa kama sababu ya wewe kuacha kununua hilo gari ni hii… "Achana na hizo gari zinachemsha sana" Ni kweli kabisa gari za BMW zinachemsha, Ndio maana...
  11. N/A Engine kupungua nguvu mikoani

    Kama ni mkazi wa jiji la Dar es Salaam.. Then gari yenye Natural Aspirated engine kwako ni sawa.. Ila kama unaishi nje ya Dar ni bora utafute gari yenye Turbo.. Ukiwa na Natural Aspirated hautoweza kupata power yote kama mtu wa Dar..! Dar ipo +0.00m kutoka usawa wa bahari.. Mikoa mingi ipo...
  12. Mercedes-Benz M139 engine: Engine ya 4 cylinders yenye nguvu zaidi kuwahi kutengenezwa duniani.

    Kiukweli hapa Mercedes Benz walifanya kazi nzito. Na kweli wakaonesha umwamba wao kwamba wao ni akina nani. Hakuna engine ya 4 cylinder inayojaribu kuusogelea mziki wa hii engine hata kidogo tu. Hii engine ndiyo ambayo imefungwa kwenye Mercedes AMG A45 S. Hii engine ina 2.0L Twin Scroll...
  13. Toyota Prado inauzwa

    Toyota Prado Diesel 2012REG no DHB74000 KMS2980 CC1KD diesel enginerunning greatno faultssingle userno accidentsnew good year tyresclean int
  14. Engine K3 - VE na Gearbox moja ya engine za Toyota imara na zenye nguvu

    Nauza engine K3- VE ( Vvti) cc 1300 na gearbox yake. Ina changamoto ya rings kutanuka. Hiyo tu na gearbox seal yake inavujisha ni either ifungwe vizuri au ibadilishwe. Mimi nlipata engine complete na gearbox yake nikashusha na kupandisha. Kama unahitaji au kuna mtu anahitaji tuwasiliane Please.
  15. C

    Recommended Engine Oil for Suzuki Grand Escudo 2.7

    Wakuu nimenunua Suzuki Grand Escudo, imetembea 140,000kms nataka kuifanyia service niweke Engine Oil ya Code Gani 10w-30, 5w-40, 5w-30?
  16. land cruiser 300VX engine v6 Vs land cruiser luxes 600

    naomba nipate ushauri kati ya land cruiser 300VX engine v6 na LX 600 ipi ni gari nzuri sanaa? land cruiser 300VX land cruiser LX600
  17. Ongeza ufanisi wa engine yako ya 1Hz ktk landcruiser 70 series kwa kuweka turbo na intercooler

    Modification=TURBO na INTERCOOLER kwa 1HZ. FAIDA MBILI KUU ZA TURBO 1. Kuongeza nguvu ya engine -Turbo huongeza msukumo wa hewa safi kuingia katika engine na hivyo kupelekea uchomaji wa haraka wa mafuta kisha kuiongezea engine uwezo wa kufanya kazi kubwa kwa muda mfupi,hapo ni katika...
  18. Kwa wale wanaolamika kuhusu Diesel Engine. Uliza chochote nkupe jibu

    Mimi mtaalamu wa Diesel Engine za magar, Generator, Air compressor na Earth moving Mashine. Kama unatatizo lolote kwenye Engine yko njoo hapa nkupe Solution. Pia nnafunga na kufanya Engine Over haul kwa umakini mkubwa sana with Affordable prices. Nnapatikana Tabata Dar es salaam, Lakn nnafika...
  19. Kwa wale wanaolamika kuhusu Diesel Engine. Uliza chochote nkupe jibu

    Mimi mtaalamu wa Diesel Engine za magar, Generator, Air compressor na Earth moving Mashine. Kama unatatizo lolote kwenye Engine yko njoo hapa nkupe Solution. Pia nnafunga na kufanya Engine Over haul kwa umakini mkubwa sana with Affordable prices. Nnapatikana Tabata Dar es salaam, Lakn nnafika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…