engine

  1. presider

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaolamika kuhusu Diesel Engine. Uliza chochote nkupe jibu

    Mimi mtaalamu wa Diesel Engine za magar, Generator, Air compressor na Earth moving Mashine. Kama unatatizo lolote kwenye Engine yko njoo hapa nkupe Solution. Pia nnafunga na kufanya Engine Over haul kwa umakini mkubwa sana with Affordable prices. Nnapatikana Tabata Dar es salaam, Lakn nnafika...
  2. presider

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaolamika kuhusu Diesel Engine. Uliza chochote nkupe jibu

    Mimi mtaalamu wa Diesel Engine za magar, Generator, Air compressor na Earth moving Mashine. Kama unatatizo lolote kwenye Engine yko njoo hapa nkupe Solution. Pia nnafunga na kufanya Engine Over haul kwa umakini mkubwa sana with Affordable prices. Nnapatikana Tabata Dar es salaam, Lakn nnafika...
  3. Cpp

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei ya 4d32 au 4d33 engine

    Mitusbishi Canter 1.5ton, 4d33 au 4d32 inauzwa kiasi gani wadau
  4. M

    JamiiForums Tanzania Engine Oil Flush na Fuel Cleaner Injector

    Wajumbe naomba ushauri, Kuna watu huwa wanashauri kuwa unapokarbia kumwaga/kubadili Engine Oil basi uweke Engine Oil Flush dkk chache (wkt Gari inawaka) kabla ya kubadili Engine Oil, inasemekana inasaidia kusafisha Engine vzr kila Kona. Lakini Kuna wanaosema hii kitu si nzuri itaua Engine, je...
  5. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Suzuki escudo Manual, Engine Ndogo: 5.5mil only

    gari iko poa iko Dar. kwa Taarifa zaidi njoo ukague gari
  6. N

    JamiiForums Tanzania PREMIO ENGINE 1zz CC 1750

    Naomba kujua namna inavotumia Mafuta engine hiyo ktk Premio New model ya kuanzia 2002-2005,, kwa DHATI uzuri wa engine (faida na hasara na mazingira ya kwetu,, Barikiwa ndugu yangu.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Rav4 kili time cc 1750 1zz Engine

    Wakuu Kwa DHATI naomba mwenye kuijua vema hii gari, Mafuta inatumiaje,(Lt per km), Spea zake, AC (how good it is), kwa kifupi faida na hasara zake kwa hii gari. Naomba saana, Mwishowe kwa Mil 10 naweza pata namba D?
  8. kayanda01

    JamiiForums Tanzania AUDIO: Hili ni tatizo gani kwenye engine?

    Toyota IST ncp61. Huo mlio wa kugonga gonga kwenye engine unasikika baada ya engine kupata joto (warm up). Yaani unapowasha gari hausikiki, ila baada ya muda fulani engine ikiwa imewaka au ukiendesha halafu ukapark at idle ndipo huo mlio unasikika. Gari ikiwa kwenye mwendo hausikiki. Nikisimama...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Tunauza vifaa mbalimbali vya magari

    Usiharibu gari yako kwa Spacer nitafute kwanamba +255742662669 kwa sport shock-ups zasaizi yauvungu unaouhitaji katika gari yako.Kwa spare nyingine za Magari pia karibu Dukani Mwananyamala Komakoma.
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Piki piki boxer engine kuwa na vishindo

    Jaman mwenye uelewa kuhusu piki piki boxer engine kuwa na vishindo na kugonga gonga tatizo litakuw nini?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Sabaya alitia chumvi kwenye Engine gari la Mbowe

    Mwezi May mwaka jana, Freeman Mbowe alisafiri kutoka Moshi kwenda Dodoma. Alipofika Arusha gari yake ikapata hitilafu kidogo. Akapiga simu ikaletwa gari nyingine, na ile ya awali ikapelekwa garage hapo Arusha (naihifadhi jina kwa sasa). Mbowe akaenda zake Dodoma. Kumbe Sabaya alikua Arusha kwa...
  12. Lee

    JamiiForums Tanzania Msaada: Half engine Nissan Hardbody

    Wakuu nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, Nina uhitaji wa half Engine ya Nissan hardbody QD 32, mwenye nayo au maelekezo wapi pa kuipata kiurahisi itakuwa msaada kwangu muhimu iwe jiji mwetu humu la joto. Asanteni.
  13. J Mbungi

    JamiiForums Tanzania Engine Ya Subaru inahitajika

    Natafuta Engine ya Subaru. Aina ya subaru ni; "Subaru cross sport SG5 turbo" Mwenye Yuko na store ya vipuri vya magari tuwasiliane...nimtembelee ofisini kwake. Nipo dar es salaam +255784355775
  14. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Video: Starter ya kuwasha engine isiyotumia betri

    Ni kwamba badala ya kuzunguka kwa kutumia nguvu ya umeme wa betri, starter hii hufanya kazi kwa kuzungushwa kwa mkono kwa sekunde kadhaa kisha nguvu ya mzunguko huhifadhiwa kwenye spring, kisha ile spring starter ikifyatuliwa, ndio engine inawaka, tazama video
  15. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Je, CC za engine pekee ndio zinaamua ulaji wa mafuta wa gari?

    Kuna baadhi ya watu huyakataa magari kwa kuangalia Cc za engine(Engine capacity). Lakini huenda kuna watu wameacha magari mazuri kwa sababu ya kigezo hiki. Hebu tuangalie baadhi ya mambo mengine ambayo yanaweza kuchangia ulaji wa mafuta kwenye gari. 1. Aina ya gearbox iliyotumika Aina ya...
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Gari ya Toyota yenye Engine Six Cylinder but ulaji Mzuri wa Mafuta

    Kuna gari ambazo nimekuwa nikitumia lakini kwa sasa nataka nibadilishe gari. Nahitaji gari ambayo ni ya Toyota iwe 6 Cylinder. CC zikianzia 2000+ ni sawa. Sijui kama kuna ambayo inaweza kuwa below that. Ila iwe gari stable barabarani na fuel consumption yake iwe economy. Gari ambayo naweza enda...
  17. Sizinga

    JamiiForums Tanzania Engine Oil sahihi kwa Toyota Crown Royal Saloon

    Habari. Mwenye ujuzi na masuala ya Engine Oil sahihi kwa gari tajwa hapo juu yenye CC 2990 GRS 182 maana naona kama mafundi wetu ni changamoto hivi. Mwanzo niliweka Castrol iliandikwa 5W~20 na fundi akasema inaenda km 5000 nilivyocheck Google nikaona haipo sawa, ilivyofika km 3000 nikaimwaga...
  18. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujuzwa bei ya Engine na Gearbox hii ya Nissan

    Engine ya Nissan: Code: QG18 Gearbox yake: Code:N16 Applications: Nissan Almera, Nissan Sentra, Nissan Sunny, Nissan Bluebird/Sylphy Mwenye clue na bei ya engine ndogo za Nissan, hio engine tajwa ni 1796cc au 1.8L! Tafadhali taarifa yako ni muhimu.
  19. benja

    JamiiForums Tanzania 4E Engine inahitajika

    Wakuu habari za Asubuhi, nna tafuta engine 4E yenye distributor, ya kufunga kwenye Starlet. Niko Dar es Salaam
  20. C

    JamiiForums Tanzania Nimeweka Engine Oil 20w-50 X-trail NT30 (2003) nipo sawa?

    Wakuu salama? Nimeweka Engine Oil 20W-50 kwenye X-trail niliyonujua majuzi nipo sawa? Ama nimeingia cha kike? mileage: 41,000kms
Back
Top Bottom