ChatGPT Evolves: Real-Time Web Access Transforms AI Interaction
(Change default search engine to ChatGPT search - Official.)
Introduction
Remember those times when asking ChatGPT a question resulted in outdated or irrelevant information? Those days are over. A groundbreaking update has...
Huku tumechanganyika acha tutumiane kama fursa
Nahitaji engine ya pikipiki yenye uwezo wa cc 125, kipaumbele ni aina za pikipiki hizi
Sinoray
Fekon
Boxer
Engine iwe mpya haija guswa ndan offer 2500,00/ 350,000/-
Isiwe na vipengele
Kuna gari 1zz engine vvti inatoa mlio ambao unaonekana ni kama unatoka ndani ya engine na sio nje kwenye mkanda, tensioner imenunuliwa mpya, vvti sensor inaonekana iko vizuri tumetoa chujio,Timing belt haijavutika bado iko vizuri, Anahitajika fundi mwenye akili na aliyewahi kutatua tatizo la...
Natumai wote n wazima wa afya…
Nisiwachoshe ndugu zangu naomba kufahamu hizi gari zinashida gani?
Subaru impreza , 4th Generation year 2012 - 2016. wengine hupenda kuziita impreza new model..
Hizi gari kwa haraka haraka zimependelewa sn, kuanzia interior mpaka exterior… yani ni mikebe haswaa...
Wakuu nahitaji ushauri.Gari ni RUNX,maji yalikuwa yakipungua kidogo,fundi wangu akafungua kabisa REJETA ili aicheki,lakini hakuona tatizo.
Iliporudishiwa ndo yameibuka matatizo ambayo hayakuwepo,Engine chek imewaka,alarm ya reverse gia ina koroma,mishale ya dashboad hasa rpm unajiless...
Ushauri kati ya Toyota landcruiser yenye engine ya 1HZ au 1GD-FTV
Habari wana JF
Naombeni ushauri wenu je kati ya Toyota landcruiser yenye engine ya
1. 1HZ-manual cc 4,164 CC
au
2. 1GD-FTV automatic 2755 CC
ni ipi bora kwa maana ya
1. matumizi ya barabara ambazo sio za lami kwa...
Wakuu kwema, Nina gari yangu RV4 (Miss Tanzania) hii gari ilivunja hii kitu na kupelekea taa ya oil kuwaka nimepeleka kwa fundi karibu wiki sasa tumepata spare part nyingine ila akitega timing yake na kwenye crankshaft ni kuwa inakuwa kama inalia knock flan hivi na isipolia knock basi gari...
Japokuwa wote ni wachezaji wa Yanga na wote wanafanya kazi nzuri katika klabu yao ila wewe kama shabiki wa Yanga unaona nani asipokuwa uwanjani timu ina struggle sana kupata matokeo.
Karibuni kwa mawazo wana JF.
Heri ya Christmas na mwaka mpya.
Wakuu Leo nilikuwa na safari ndefu kidogo Sasa nilikuwa nilikuwa natembeza kachombo kangu kwa speed.
Baadaye nikaanza kusikia mlio mkubwa wa kugonga kwenye engine nikipita kwenye rasta kwa speed.
Kausafiri kalizima Kama mara moja kutokana na iyo hali.
Je...
Waungwana habari zenu. Naombeni ushauri,nina gari yangu TATA XENON DICOR 3.0L. Nahitaji kuibali Engine niweke injini ya Toyota. Je niweke injini gani inaweza kuwa poa.?
Naombeni msaada. Nimenunua Voxy first generation engine ya 1az fse wengine wanaiita D4.
Inakula mafuta balaa. 1 litre kwa 3km.
Na kwenye mlima haina nguvu kabisa hada ukiwa na watu. labda uwashushe ndio uendelee na ni mwinuko mdogo tu.
Nimejaribu kuuliza mafundi mbalimbali sijapata jibu...
Habari wadau,
Natafuta fundi wa mashine ya Hydrafoam yenye engine ya HATZ ya diesel, engine yangu haifanyi kazi na vinu pia vina shida nahitaji kuifufua ili niweze kuitumia tena.
Naombeni msaada wenu
Position: Hoist Engine Driver
Reporting to: Shaft Operation Supervisor
Duration: Permanent
RESPONSIBILITIES:
Conduct pre-use inspection, dailies, winder break test and trips
Facilitate the safe hoisting of persons, materials and ore, up and down the shaft
Record conditions of winding engine...
Habari wataalamu,
Ninatafuta gari kutoka Japan ambayo ni ngumu ya miaka ya 90s, inavumilia shida na inavumilia safari ndefu za mara kwa mara, na inayotumia engine ya diesel.
Baada ya kufanya research kwa muda mrefu na kufanya cost benefits analysis kwa muda mrefu niligundua Hilux surf ya mwaka...
Kuna jamaa yangu ana IST, cc1490, 1NZ engine, akiiacha gari inaunguruma na silence ya kawaida,ghafla unashangaa imejiongeza lesi na kuwa juu, halafu baada ya dakika 4, inashuka kuwa normal, shida nini wakuu?
Msaada tafadhali.
Tunaifanyia gari yako Engine Service ya kisasa na kwa gharama nafuu sana. Service hiyo ya engine inajumuisha mambo yafuatayo.
1. Tunakuwekea Oils na filters ambazo ni Genuine. Tunatambua Oil zisizo na viwango zinachangia sana huharibu engine za magari.
2. Kupima na Kusafisha Nozzle na Spark...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.