engine

  1. M

    Naombeni ushauri kuhusu kubadilisha engine ya gari

    Wadau kuna mtu aliniambia unaweza kununua engine ya 4cylinders na gear box yake ukaweka kwenye gari ya 6cylinders mfano mark ivi gx 110, je inawezekana? Msaada tutani
  2. FRANCIS DA DON

    Msaada: kuna fundi anadai nilipe 70k kwa ajili ya Oxygen sensor ya 1JZ engine, eti ndio bei yake hiyo?

    Nikadude kanacho fanana kama plug ya piki piki tu, kanafungwa kwenye manifold ya exhaust, eti ndio 70k, ni kweli eti?
  3. moyafricatz

    Uwepo wa nembo ya Royce Roycee kwenye Engine za Airbus ya Air Tanzania

    Wakuu, Katika pita pita yangu nilibahatika kuisoma vizuri engine ya kushoto ya ndege yetu Murua kabisa ya "Airbus 220" iliyokua imepaki pale JNIA. Kitu kilicho-catch attention yangu ni nembo ya Rolls Royce's ambayo imechorwa. Wajuvi naomba mtusaidie kuna kahusiano chochote kati ya Rolls...
  4. JituMirabaMinne

    Je, gari yako inatetemeka, engine kumisi au ukiwasha inazima inapokuwa ya baridi?

    Je, gari yako inatetemeka engine ikiwa ya baridi? Je, engine ya gari yako inamisi inapokuwa ya baridi? Je, gari yako ukiwasha inazima yenyewe mpaka uwashe mara kadhaa au uwashe na kupiga resi mara kadhaa ndio itulie isizime? Kwanza kabisa kama ukiwasha gari unakimbilia kupiga resi basi...
  5. JituMirabaMinne

    Tatizo la engine ya gari lako kuzimazima (Engine Stalling)

    Asilimia kubwa ya matatizo ya engine kuzimazima yanasababishwa na components za umeme kama Sensors, Valves, solenoids n.k. Engine inaweza kuzima muda wowote mfano wakati ipo idle, wakati unaaccelerate, wakati unafunga brake n.k. Sababu zote zinazoweza kupelekea tatizo hili zinaingia katika...
  6. Tabutupu

    Nashauriwa niitoe 14B niweke 1hz engine Coaster. Ushauri wenu

    Samahani sio mtalaam sana wa engine za magari, lakini nina Coaster boksi ilikua imepata hitlafu kidogo kwenye engine, wakati nafanya mchakato wa matengenezo kuna watu wanasema engine hizo ni za muda mrefu sana inabidi nitafute 1hz. Lakini wakati huo huo kuna fundi ana nimabia hakuna engine...
  7. blakafro

    Nissan Patrol Nyeupe ya Mwaka 2008 inauzwa, Ina Engine ya TD42

    TD42 ENGINE | MANUAL | 4WHEEL DRIVE | DIESEL WHITE COLOUR | AFTER MARKET RIMS |BRAND NEW TYRES. FULL AC | 93,000KM VERY CLEAN INTERIOR. UN-REGISTERED. Price : 50Million Negotible. 📞 0744183343
  8. JituMirabaMinne

    Tatizo la engine ya gari kumisi (Engine Misfire), Sababu zake na baadhi ya solutions zake

    Tatizo la engine kumisi(engine misfire) linaweza kusababishwa na mambo mengi sana kama vile, damaged, worn au bad spark plugs, weak ignition coil, broken, clogged au no current katika injector nozzle, fuel pressure regulator, fuel pump, vacuum leaks, sensors kama MAF, MAP, O2, IAT, ECT n.k. In...
  9. Gabbimakini

    Car4Sale Honda CRV inauzwa

    Year manufactured 2005 Fuel type; PETROL Mileage coverage 114,000km Engine size 2354cc Location. Mbezi Beach, Dar es salaam. BEI NI 19M.
  10. Tabutupu

    Wahuni waiba engine ya lori lililotumbukia Mto Wami

    Baada ya Mkuu wa Majeshi kupeleka kikosi chake kulitoa lori lililo tumbukia mto Wami, lori limekutwa halina engine wahuni wamesha fanya mambo yao. Wabongo sio watu wazuri. Pongezi wa CDF kwa kufanikisha hilo japo kwa kuchelewa.
  11. Trubarg

    Engine ya gari lililozama Wami imeeenda wapi?

    Ni ajabu gari kilikokua limezama limeibuliwa bila engine...
  12. Mwangesela

    Nitapata wapi Engine za Toyota?

    Ndugu zangu nataka kununua gari hususani brand za Toyota kama vile IST, Raum, Wish, Ipsum, Subaru, Kluger n.k. Je, ubora na uimara wa injini nitajuaje au nifanye nini nisiingie pori?
  13. koplo

    Nahitaji Engine ya Toyota CAMI 2000 HC-EJ

  14. Offshore Seamen

    Mfahamu mvumbuzi wa injini za boti (Outboard Engine)

    Ole Envirude alizaliwa nchini Norway katika mji wa Gjøvik tarehe 19/04/1877 baada ya miaka 5 familia yake ilihamia nchini Marekani katika eneo la Cambridge, Wisconsin. Tangu utotoni alipendelea masuala ya makenika na alipofikisha miaka 16 alikuwa mtu wa mashine na muunda michoro. CHANZO CHA...
  15. Complex

    Msaada: Ni wapi ninapoweza kununua engine kamili ya 1HZ na iliyo katika hali nzuri?

    Habari zenu wadau. Kama kichwa cha habari kinavyoonyesha. Ni wapi naweza pata engine ya 1HZ iliyo katika ubora mzuri. Pamoja na swala hilo la ununuzi, pia ningependa kufahamu mambo yafuatayo juu ya hiyo engine. 1. Bei yake inaweza range kiasi gani? 2. Ni vitu gani vya kuzingatia katika...
  16. Nukta5

    Msaada: Nataka kujua utumikaji wa mafuta kwenye Valve Matic Engine

    Huu ni mfumo mpya mbadala wa VVTi upo kwenye gari aina ya Allion 2009 na premio 2009. Mwenye gari aina hizo naomba ufafanuzi wa matumizi ya mafuta
  17. K

    Ni engine gani nzuri kwa Toyota Hilux Double Cabin

    Wakuu nataka kununua Toyota Hilux Double Cabin, ila changamoto ni kujua engine gani hazina usumbufu katika gari hiyo.
  18. bwegebwege

    Msaada: Natafuta injini ya Nissan Patrol (Turbocharged) 4.2L TD42T3

    Wadau, Mimi ni mpenzi wa Nissan. Natafuta hiyo Engine hapo juu (TURBOCHARGER SYSTEM NISSAN PATROL 4.2L TD42T3) DIESEL
Back
Top Bottom