sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,034
Magari ni kama rav 4 old model yenye engine 3S-fe na magari yenye engine za G Kavu pia engine zinaishia na FE, siri ni nini ??
Kwenye ugumu sina shaka ila tungeingia ndani zaidi kwenye uchambuzi juu ya hizi engine za FE kudumu zaidi, Binafsi nadhani mojawapo ya sababu ni kwamba zimezoeleka sana na mafundiEngine nyingi za Toyota ni ngumu sana. Hata kama zina matunzo kidogo. Sema hizo zenye FE na ulizotaja ndio common huku kwetu.
Hizo ni herufi za engine code baada ya uzao wa engine.Kwenye ugumu sina shaka ila tungeingia ndani zaidi kwenye uchambuzi juu ya hizi engine za FE kudumu zaidi,,,, Binafsi nadhani mojawapo ya sababu ni kwamba zimezoeleka sana na mafundi
Siri ni moja : SIMPLICITY. ni engine flani hivi very simple, cast iron block n.k lakini hazina mambo mengi.. gari imegoma kuwaja unajua kabisa angalia pump kama nzima angalia plugs kama zinatoa spark kama ziko poa basi gari haina mafuta hio umemalizaView attachment 2345699
Magari ni kama rav 4 old model yenye engine 3S-fe na magari yenye engine za G Kavu pia engine zinaishia na FE ,,,siri ni nini ??
Kwa ujumla tu karibia engine zote za toyota hasa za petrol zinadumu sana nipe mfano wa engine moja tu ya petrol yenye matatizo isiodumu ?View attachment 2345699
Magari ni kama rav 4 old model yenye engine 3S-fe na magari yenye engine za G Kavu pia engine zinaishia na FE ,,,siri ni nini ??
"Toyota engine incode G, hiyo ni perfomance engine."Code F ni reliable sababu ya design yake..zimekuwa designed kupata economy na sio nguvu zaidi..kwahiyo power itakuwa generated kwenye lower rpms kuliko engines zenye G..wear n tear inakuwa ndogo kwenye hizi engines..heads zake ndio tofauti...
Hiyo Rav4 uliyoiweka hapo inaengine 3SFE na 3SGE..zinapishana kwenye head..ukiziendesha utaona zilivyotofauti kabisa..3SFE inaishiwa puff mapema around 5000rpms, ila 3SGE inahitaji upush pedal kweli kweli6000rpms ili iweAlive..ukiona Toyota engine incode G, hiyo ni perfomance engine.
Code F ni reliable sababu ya design yake..zimekuwa designed kupata economy na sio nguvu zaidi..kwahiyo power itakuwa generated kwenye lower rpms kuliko engines zenye G..wear n tear inakuwa ndogo kwenye hizi engines..heads zake ndio tofauti...
Hiyo Rav4 uliyoiweka hapo inaengine 3SFE na 3SGE..zinapishana kwenye head..ukiziendesha utaona zilivyotofauti kabisa..3SFE inaishiwa puff mapema around 5000rpms, ila 3SGE inahitaji upush pedal kweli kweli6000rpms ili iweAlive..ukiona Toyota engine incode G, hiyo ni perfomance engine.
Magari gani mfano yana hizi engine?1JZ-GTE & 2JZ-GTE my favourest Toyota Engines Sidhani kama atakuja kutengeneza best perfomance engines kama hizo.
ya passo..Kwa ujumla tu karibia engine zote za toyota hasa za petrol zinadumu sana nipe mfano wa engine moja tu ya petrol yenye matatizo isiodumu ?
SE - Direct InjectionHizo ni herufi za engine code baada ya uzao wa engine.
FE- F ni zile engine zenye Double Camshaft au valve 4 Kwa Kila cylinder gari ya 4cylinder utakuta imeandikwa 16valves.
E ni Electric Fuel Injection
Herufi T ni Turbocharger na Z ni Supercharged.
SE ni gari za D-4 baada ya FE
GTE ni performance engines za Toyota. Kuna 1JZ-GTE, 2JZ-GTE, 3S-GTE.1JZ-GTE & 2JZ-GTE my favourest Toyota Engines Sidhani kama atakuja kutengeneza best perfomance engines kama hizo.
Watu wenye magari madogo mfano corrola ambazo engine zake zinatumia diesel, huwa wanafanyaje wasichanganyiwe mafuta pasipo kuweka label kwendana na mazoea?GTE ni performance engines za Toyota. Kuna 1JZ-GTE, 2JZ-GTE, 3S-GTE.
Sasa njoo kwenye gari za Mjerumani,sijui Audi au VW, zikigoma kuwaka hizo lazima utafute diagnosis machine ili kujua tatizo liko wapi, na bado inaweza ikasoma matatizo hata matano kwa wakati mmoja,lazima uchanganyikiwe!!Siri ni moja : SIMPLICITY. ni engine flani hivi very simple, cast iron block n.k lakini hazina mambo mengi.. gari imegoma kuwaja unajua kabisa angalia pump kama nzima angalia plugs kama zinatoa spark kama ziko poa basi gari haina mafuta hio umemaliza
1KR YA PASSO 3PISTONKwa ujumla tu karibia engine zote za toyota hasa za petrol zinadumu sana nipe mfano wa engine moja tu ya petrol yenye matatizo isiodumu ?
uko sahihi japo sijawahi itumia, lakini pia hakuna engine ya piston 3 inayodumu zote ni chamgamoto nadhani zinazidiwa na mzigo1KR YA PASSO 3PISTON