engine

  1. TAHADHARI: Oil nyingi za engine za magari mtaani ni majanga

    Hiki kisa kinahusu gari moja aina ya Volkswagen Polo GTI mk5 toleo la mwaka 2012. Gari ina engine ya EA211 1.4TSI twin charge. Hii kazi niliunganishiwa na mtu wa humuhumu ndani japo huyo mtu alidai hanifahamu personally na hatujawahi kufanya kazi ila ameshakutana na post zangu nyingi humu JF...
  2. Engine Size and Fuel Efficiency: Debunking the Myths and Finding the Best Option for Your Vehicle

    When it comes to choosing a vehicle, many people believe that smaller engines are more fuel-efficient and eco-friendlier than larger ones. However, the truth is more complicated than that. While smaller engines may seem appealing due to their lower sticker prices and higher fuel economy ratings...
  3. Naitaji Engine ya Nissani Teana 230J

    Wakuu naitaji engine ya nissani teana 230j Number VQ23EAA6159 Iwe kwenye Hali mzuri na ikiwa na warranty itakuwa jambo Bora Sana Kwa mtu yoyote ambae anajua wapi naweza kupata au anayo hiyo engine anidm
  4. Wauzaji wa engine used

    Msaada wakuu,naomba kujua bei ya used,ya ENGINE YA INZ,Runx 1).full engine 2).mswaki 3).half engine 4).Gear box full.
  5. Free Advanced engine service gari 5 tu. Wati wa

    Mod naomba futa hii thread maana nmeipost bahati mbaya kabla kuna vitu sijakamilisha kuandika.
  6. K

    Car4Sale IST for sale. Imepata ajali engine nzima

    Ist imepata ajali inauzwa Iko Goba , engine nzima inafaa Kwa repair au spare. Mawasiliano Piga 0711295716
  7. M

    Samsung kuachana na Google Kama Search Engine

    Imeripotiwa kuwa Samsung wana mpango wa kuanza kutumia Bing ya Microsoft kama default search engine. Taarifa zinasema kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya AI ambapo ChatGPT iliyo chini ya Microsoft kuonekana kuwavutia wengi imefanya Samsung wafikirie kutumia Bing kama default search engine...
  8. M

    Samsung kuachana na Google kama Default Search Engine

    Imeripotiwa kuwa Samsung wana mpango wa kuanza kutumia Bing ya Microsoft kama default search engine. Taarifa zinasema kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya AI chatbot ambapo ChatGPT iliyo chini ya Microsoft kuonekana kuwavutia wengi imefanya Samsung wafikirie kutumia Bing kama default search...
  9. Tunauza engine used za Mercury Outboard 2-Stroke zenye 40hp

    Tunauza engine used za boti aina ya Mercury Outboard 2-Stroke zenye 40horse power. Engine hizi zina 697cc ni inline 3 cylinder, zinatumia petrol na 2 stroke oil ,uwashaji wake ni wa kuvuta kick na usukani ni wa mkono. Engine zimekaguliwa na kutestiwa baada ya kufika Zanzibar, Engine...
  10. Naomba maswali ya Interview ya Electrical engineering interview (TRC, Locomotives engine)

    Habari za wakati huu ndugu zangu, Samahanini sana kwa nitakao wakela kwa mimi kuleta uzi huu hapa jukwaani. Nilikuwa naomba kwa ambao wamewahi kufanya interview utumishi ajira za TRC department ya umeme(locomotives engine). Naomba mnisaidie maswali ambayo huwa yanaulizwa wakati wa interview...
  11. B

    Mafundi wengi Bongo wanashindwa kufanya Overhaul ya Engine ya 1ZZ

    Ningependa tu kutoa ushauri, kufanya overhaul ni mara mia ununue mswaki ufunge. Mafundi tulionao wanaweza kukushawishi ufanye overhaul lakini tambua engine haiwez kuwa na the same performance+Life span ya engine is shortned.(Hapa unakua kama upo kwenye limp mode,Gari haina uwakika kwa safari...
  12. Kufahamu engine ya gari kwa Muonekano

    Gari toleo moja inakuja na engines tofauti tofauti.. Kuna baadhi ambazo muonekano wake unakupa code ya engine iliyopo.. Baadhi ni hizi Prado 70.. Imeandikwa neno Turbo kwenye front grill hiyo ni 2LTE..! Imeandikwa 3.0 turbo mlango wa nyuma hiyo ni 1KZ Landcruiser Mkonga Pua mbele.. 1VDFTV...
  13. Gari nyingi za Toyota za sasa ikishachemsha, fikiria kununua mswaki au engine complete nyingine

    Hizi engine za kisasa za toyota ambazo zimekuja na Aluminium block ni nzuri ikiwa haijawahi pata shida ya kuchemsha. Ila kama ikitokea ikachemsha halafu ukarekebisha bado matatizo ya kuchemsha yakaendelea, nakushauri achana kabisa na hiyo engine sababu vinginevyo hakuna rangi utaacha kuona...
  14. Ni engine gani naweza funga kwenye Nissan civilian nje ya engine yake? Original

    Naomba kujuzwa ni type gani ya engine inaweza kufit kwenye Nissan civilian. Kwa ku Forge alimradi gari ifanye kazi.
  15. T

    3RZ-FE engine VS 1KZ-TE

    Dear Wadau, Please kindly naomba ushauri hapa, the key inputs kwangu ni reliability and durability kwenye hizi engine kwenye Toyota Surf ya mwaka 1999. WHAT IS MOST DURABLE AND RELIABLE ENGINE BETWEEN 3RZ AND 1KZ? PLEASE NAOMBA MAONI NA UTAALAMU WENU WADAU.
  16. Nissan Caravan TD Engine

    Habari za jioni wandugu, Naomba kuuliza mwenye NIssan Caravan Td Engine ya kuuza iliyo kwenye hali nzuri,aje PM tuyajenge. Asanteni wote.
  17. INAUZWA Mucar CDL20 obd 2 diagnostic tool for engine

    Asking Price 150,000
  18. M

    Nissan Xtrail taa ya check engine imewaka

    Hii ni Xtrail ya 2007/8. Taa ya check engine inawaka lakini gari inafanya kazi vizuri tu. Nimejaribu procedure za kui-reset lakini bado. Pia nilichomoa battery kwa sekunde chache lakini bado. Kuna jamaa yangu kaniambia yeye inawaka mwaka wa pili sasa na maisha yanaendelea kama kawaida. Kasema...
  19. Tatizo la Engine rough idle

    Kausafiri kangu ka 1ZZ-FE nilikasusa baada ya kuona hali ya sheli imekuwa tete nikaamua niimarishe mwili kwa miezi kadhaa. Juzi niliamua kukiamsha kwa kukifanyia major service. Sasa kuna tabia ya ajabu imejitokeza japo ilikuwapo ila kwa sasa imezidi. Sikuzote nilifikiri huenda ni transmission...
  20. Engine na gearbox za scania 124

    Naombeni kujua bei ya engine and gearbox mtumba za scania 124. Kuna mtu anataka kuniuzia lakini naona anataja bei kubwa kuliko nilivyoelekezwa na fundi wangu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…