hp4510 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 8,952 Reaction score 9,833 May 2, 2023 #1 Wakuu naitaji engine ya nissani teana 230j Number VQ23EAA6159 Iwe kwenye Hali mzuri na ikiwa na warranty itakuwa jambo Bora Sana Kwa mtu yoyote ambae anajua wapi naweza kupata au anayo hiyo engine anidm
Wakuu naitaji engine ya nissani teana 230j Number VQ23EAA6159 Iwe kwenye Hali mzuri na ikiwa na warranty itakuwa jambo Bora Sana Kwa mtu yoyote ambae anajua wapi naweza kupata au anayo hiyo engine anidm
kizaizai JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 6,067 Reaction score 7,552 May 2, 2023 #2 Gari nzuri sana hii. Agiza nje, wabongo sio watu wazuri.
Offshore Seamen JF-Expert Member Joined Mar 9, 2018 Posts 5,996 Reaction score 15,481 May 2, 2023 #3 Mcheki Ibnuyawar akupe engine na warranty ya uhakika
A Andrew123 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 8,405 Reaction score 11,225 May 3, 2023 #4 Funga 1G-GEU mwendo mdundo
Ibnuyawar Member Joined May 6, 2020 Posts 49 Reaction score 155 May 3, 2023 #5 Offshore Seamen said: Mcheki Ibnuyawar akupe engine na warranty ya uhakika Click to expand... Asante boss [emoji1666]
Offshore Seamen said: Mcheki Ibnuyawar akupe engine na warranty ya uhakika Click to expand... Asante boss [emoji1666]