Hivi kuna deodorant inaizidi Nivea Fresh Energy?

stephenga

Senior Member
Joined
Sep 15, 2022
Posts
121
Reaction score
265
1001668706.jpg

Miaka mingi sasa natumia hii deodorant, na kwangu imekuwa bora kuliko zote nilizowahi kujaribu.

Nimeshatumia Old Spice, Gillette, Adidas, Fa na nyingine kadhaa, lakini bado Nivea Fresh Energy ndiyo inanifaa zaidi.

Harufu yake ni laini na safi, si kali, haisababishi kero wala chafya, na haiachi michirizi meupe kwenye nguo sehemu za kwapani.

Kama wewe ni gentleman unayetaka kuwa fresh siku nzima bila harufu mbaya ya jasho, hii roll-on inaweza kukufaa. Hata usipopulizia pafyumu, bado utakuwa na harufu safi na ya kuvutia.

Cha kushangaza zaidi, bei yake ni elfu 5 tu, na inapatikana karibu kila duka la vipodozi na pharmacy.

Je, wewe unatumia deodorant gani ambayo unaona inaizidi Nivea Fresh Energy?
 
View attachment 3636228

Uto tudude kipindi tupo fomu 3 kuna njuka alikuja navyo kama tutatu, basi fomu 2 wakavichukua vyote.
 
View attachment 3636228
Miaka mingi sasa natumia hii deodorant, na kwangu imekuwa bora kuliko zote nilizowahi kujaribu.

Nimeshatumia Old Spice, Gillette, Adidas, Fa na nyingine kadhaa, lakini bado Nivea Fresh Energy ndiyo inanifaa zaidi.

Harufu yake ni laini na safi, si kali, haisababishi kero wala chafya, na haiachi michirizi meupe kwenye nguo sehemu za kwapani.

Kama wewe ni gentleman unayetaka kuwa fresh siku nzima bila harufu mbaya ya jasho, hii roll-on inaweza kukufaa. Hata usipopulizia pafyumu, bado utakuwa na harufu safi na ya kuvutia.

Cha kushangaza zaidi, bei yake ni elfu 5 tu, na inapatikana karibu kila duka la vipodozi na pharmacy.

Je, wewe unatumia deodorant gani ambayo unaona inaizidi Nivea Fresh Energy?
Raha ya mwanaume kile kiharufu cha kibeberu
 
Wanatakiwa wakulipe pesa ndefu,aisee!
 
Dah! Kama inauzwa elfu tano basi sisi wazee wa jf wa deodorant za milioni ngoja tupite kimya kimya 🚶‍♂️🚶‍♂️

N.b mfukoni sina hata mia
Bei kubwa sio kila kitu unaweza kuwa na vitu vizuri kwa bei za kizalendo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom