emmanuel nchimbi

Emmanuel John Nchimbi (born 24 December 1971) is a Tanzanian CCM politician and was a Member of Parliament for Songea Town constituency from 2010 to 2015. Currently, he is Chama Cha Mapinduzi General Secretary. He was the Minister of Home Affairs.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Heri ya Mwaka Mpya 2026 Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Heri ya Mwaka Mpya 2026 Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  2. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Evarist Chahali: Good News, vita ya Samia na Dr. Nchimbi inaelekea kileleni

    https://youtu.be/endgC8fyOjA?si=IF8MCBwCTo2a76m- • Huko ndani ya CCM na ndani ya serikali hakuko shwari.... • Si tu Dr Nchimbi na Boss wake, ni kila makubwa, hakuna kuaminiana na kila movement na communication za kila kiongozi ziko highly monitored... • Kilichowashitua hawa monitors, ni kujua...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Jumuiya za Ukanda wa Maziwa Makuu na Nchi Wanachama

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Jumuiya za Ukanda wa Maziwa Makuu na Nchi Wanachama wa Mkataba wa Amani, Usalama na Ushirikiano kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na eneo la...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais aongoza Waombolezeji katika mazishi ya Marehemu Jenista Mhagama

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI MAKAMU WA RAIS AONGOZA WAOMBOLEZAJI KATIKA MAZISHI YA MAREHEMU JENISTA MHAGAMA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaongoza waombolezaji kwenye Mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Marehemu Jenista...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nchimbi: Hivi ndivyo waziri mkuu anatakiwa kuwa sio unakuwa dhaifu dhaifu

    "nilikua nakuskiliza pale ulivokua unaongelea na kutoa maelekezo thabiti ya barabara ambayo imetajwa na Baba askofu na makofi mengi ya wananchi yaliashiria kwamba wamekuelewa. Yale maelekezo uliyotoa yale hivi ndivyo Waziri Mkuu anavyotakiwa kuwa sio Waziri Mkuu dhaifu dhaifu naye anaanza...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi akishiriki katika ibada ya kuaga mwili wa Jenista Mhagama

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akishiriki katika ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho Marehemu Jenista Joakim Mhagama.
  7. U

    JamiiForums Tanzania Je, una mshauri nini Dkt. Emmanuel Nchimbi Makamu wa Rais wa Tanzania?

    Wadau nyote karibuni tumshauri Mheshimiwa jambo ambalo unaweza mshauri. Kwangu mimi namshauri adumishe hekima kubwa aliyonayo.
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais afungua maadhimisho ya Wiki ya Kimataifa ya Usugu wa Vimelea vya Magonjwa dhidi ya Dawa

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Tanzania imedhamiria kuhakikisha inalinda afya, maisha ya watu na mazingira kwa kutoa kipaumbele katika uimarishaji wa mfumo wa afya, kuwekeza katika utafiti wa kisayansi, na kuhimiza matumizi ya dawa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wanazuoni wa Kiislamu: Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi ambaye ni Mkatoliki katumwa na Fr. Kitima na viongozi wa Kikatoliki ndio maana yupo kimya?

    Umoja wa Wanazuoni wa Kiislam wamemshukia Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa kuhusisha ukimya wake na Hkatoliki wake. Wameenda mbali na kumtuhumu kuwa ametumwa na Padri Kitima na viongozi wa kikatoliki.
  10. F

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dr. Emmanuel Nchimbi ni mtu mwenye bahati sana

    Kwa kweli sitaongea mengi kuhusu jambo hili, ila itoshe kusema kuwa Dr. Emmanuel Nchimbi ni mtu mwenye bahati sana katika maisha yake na historia yake inaonesha nafasi nyingi kubwa za kiuongozi zimekuwa zikimfuata zenyewe bila yeye kufanya jitihada kubwa. Asanteni.
  11. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwanini Mpango, Nchimbi na Majaliwa hawahusishwi kabisa kuhusika na mauaji ya Oktoba 29 wakati walikuwa viongozi?

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Nchimbi alikuwa mgombea mwenza Mpango alikuwa rais makamu Kasim alikuwa waziri mkuu Walikuwa ni viongozi wakubwa sana Lakin kwa nini hawahusishwi kabisa na haya mauaji? Kwanini wanawekwa pemben Kwanini wachambuzi wanawaweka pembeni watu...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dr. Emmanuel Nchimbi awasili Zambia

    19 November 2025 Lusaka, Zambia Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi awasili Zambia Kushiriki utiaji saini wa makubaliano ya ufufuaji wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania – Zambia (TAZARA) Makamu wa Rais wa Tanzania, John Nchimbi, amewasili nchini Zambia kwa ziara ya kikazi ya siku mbili. Vyombo vya...
  13. D

    JamiiForums Tanzania CCM Kizimkazi tayari wanamsagia kunguni Emmanuel Nchimbi

    Kama upo Dodoma wakati huu utayasikia haya; CCM Kizimkazi, CCM Janjaweed tayari wanamsagia kunguni Dr.Nchimbi, kwamba asijikute yeye ni Rais. Hawapendezwi na “tone” ya maridhiano ya Dr.Nchimbi. Wanadai ndiyo kwanza kumekucha “mission unaccomplished”, penda tusipende. Wakati Ukuta, Watanganyika...
  14. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Emmanuel Nchimbi: Hali ya Usalama nchini imetengemaa

    Mgombea Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi, Emmanuel Nchimbi, akiwa wilayani Kibiti, mkoani Pwani, kwenye, amewaambia wananchi wa Wilaya hiyo kuwa katika Uongozi wa Rais Samia hali ya usalama nchini imetengemaa kutokana na maboresho makubwa yaliyofanywa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama ikiwemo...
  15. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchimbi: Serikali ya CCM itatilia mkazo kilimo cha umwagiliaji kuinua uchumi wa wakulima

    Mgombea mwenza wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),Balozi Dk.Emmanuel Nchimbi amesema katika kipindi cha miaka mitano ijayo serikali za CCM zitatilia mkazo wa kuinua kilimo cha umwagiliaji. Amesema ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2025/30...
  16. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchimbi: CCM kitaendelea kusimamia usalama wa kila mwananchi

    Yaani ukisikia wanavyohubiri hiyo amani hawa CCM, unabaki unashangaa tu! Kila siku wimbo ni uleule, ila kukemea utekaji uliokithiri aaah! Hivi usalama gani mnaoongelea?
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchimbi: Serikali kushirikiana na sekta binafsi kuendesha mradi wa Mwendokasi

    Mgombea mwenza wa urais kupitia CCM, Dkt. Emanuel Nchimbi, amesema serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan imejipanga kuendelea kuimarisha miundombinu na huduma za kijamii nchini. Akizungumza katika mkutano wa kampeni, Dkt. Nchimbi alisema utafiti wa kina...
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchimbi atoa ahadi upanuzi maegesho kivuko cha magogoni pamoja na kigamboni, kudhibiti msongamano

    Mgombea mwenza wa kiti cha Urais kupitia CCM, Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi leo Septemba 28, 2025 ametoa ahadi ya Upanuzi kwenye maegesho ya Kivuko cha Magogoni na Kigamboni Shabaha ikiwa ni kuondoa foleni pamoja na kuboresha huduma katika kivuko hicho. Dkt Nchimbi ametoa ahadi hiyo leo...
  19. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ziara ya Dkt. Emmanuel Nchimbi: Kero ya Mikutano ya CCM Mkoa wa Kilimanjaro

    CCM inakutana na changamoto kubwa katika kukusanya wanachama kwenye mikutano bila kuzingatia muda wa watu. Kwa mfano, Dr. Emmanuel Nchimbi alipokuwa katika ziara ya mkoa wa Kilimanjaro, wanachama wa CCM walipata tangazo kuwa atawasili Jimbo la Hai saa 2 kamili asubuhi. Hata hivyo, wanachama...
  20. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mapokezi ya Mgombea mwenza urais CCM Balozi Emmanuel Nchimbi Longido- Arusha

    Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amepokewa kwa kishindo alipowasili kwenye uwanja wa Polisi,Longido kwa ajili ya kuwahutubia Wananchi kwenye mkutano wa kampeni leo Ijumaa Septemba 12,2025...
Back
Top Bottom