elon musk

Elon Reeve Musk ( EE-lon; born June 28, 1971) is a business magnate, industrial designer, and engineer. He is the founder, CEO, CTO, and chief designer of SpaceX; early stage investor, CEO, and product architect of Tesla, Inc.; founder of The Boring Company; and co-founder of Neuralink and OpenAI. A centibillionaire, Musk is one of the richest people in the world.
Musk was born to a Canadian mother and South African father and raised in Pretoria, South Africa. He briefly attended the University of Pretoria before moving to Canada aged 17 to attend Queen's University. He transferred to the University of Pennsylvania two years later, where he received bachelor's degrees in economics and physics. He moved to California in 1995 to attend Stanford University but decided instead to pursue a business career, co-founding the web software company Zip2 with his brother Kimbal. The startup was acquired by Compaq for $307 million in 1999. Musk co-founded online bank X.com that same year, which merged with Confinity in 2000 to form the company PayPal and was bought by eBay in 2002 for $1.5 billion.
In 2002, Musk founded SpaceX, an aerospace manufacturer and space transport services company, of which he is CEO, CTO, and lead designer. In 2004, he joined electric vehicle manufacturer Tesla Motors, Inc. (now Tesla, Inc.) as chairman and product architect, becoming its CEO in 2008. In 2006, he helped create SolarCity, a solar energy services company that was later acquired by Tesla and became Tesla Energy. In 2015, he co-founded OpenAI, a nonprofit research company that promotes friendly artificial intelligence. In 2016, he co-founded Neuralink, a neurotechnology company focused on developing brain–computer interfaces, and founded The Boring Company, a tunnel construction company. Musk has proposed the Hyperloop, a high-speed vactrain transportation system.
Musk has been the subject of criticism due to unorthodox or unscientific stances and highly publicized controversies. In 2018, he was sued for defamation by a diver who advised in the Tham Luang cave rescue; a California jury ruled in favor of Musk. In the same year, he was sued by the US Securities and Exchange Commission (SEC) for falsely tweeting that he had secured funding for a private takeover of Tesla. He settled with the SEC, temporarily stepping down from his chairmanship and accepting limitations on his Twitter usage. Musk has spread misinformation about the COVID-19 pandemic and has received criticism from experts for his other views on such matters as artificial intelligence and public transport.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    Marekani: Elon Musk apinga mpango wa kuifungia TikTok

    Mmiliki wa Twitter, Elon Musk amesema licha ya kuwa hatumii mtandao huo lakini hakubaliani na mipango inayodaiwa kuwa mbioni kuufungia mtandao huo Nchini Marekani kutokana na sababu za zinazodaiwa kuwa ni za usalama. Elon Musk amesema "Sikubaliani na wowote unaohusisha kuifungia TikTok japokuwa...
  2. BARD AI

    Teknolojia ya Akili Bandia yaanza kumtisha Elon Musk, yeye na watafiti wengine 1000 wataka isimamishwe kwa muda

    Zaidi ya viongozi na watafiti 1,000 wa teknolojia, akiwemo Elon Musk, wamezitaka maabara za ujasusi za bandia kusitisha maendeleo ya mifumo ya hali ya juu zaidi, na kuonya kwamba zana za AI zinaleta hatari kubwa kwa jamii na ubinadamu. Barua hiyo ya wazi, iliyotolewa na Taasisi isiyo ya Faida...
  3. BARD AI

    Elon Musk: Wanaolipia Twitter Blue pekee watapiga Kura na kuona Tweets zinazopendekezwa

    Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Bosi mpya wa mtandao huo, #ElonMusk, kuanzia Aprili 15, 2023 huduma hizo zitakuwa maalumu tu kwa watumiaji wa #TwitterBlue ambayo hulipiwa kwa Tsh. 16,380 kwa mwezi. Watumiaji wasiolipia hawatokutana tena na Mtiririko wa Tweets maalumu zinazopendekezwa kwa...
  4. Carlos The Jackal

    Je, Donald Trump kukamatwa Jumanne ijayo? Awataka Wamarekani (Republicans) kuanzisha Maandamano nchi nzima, Elon Musk atoa neno

    Kwenye Mtandao wake wa Truth Social, Donald Trump kapost hii habari. Wakati huoo huko Twitter, Elon Musk katoa neno. Democrats hawana Tofauti na Msoga Gang kabisa.
  5. BARD AI

    Elon Musk hufuatiliwa na Walinzi wake kila akiingia ofisi za Twitter, hata akiingia Chooni

    Kwa mujibu wa Mhandisi wa Twitter aliyezungumza na BBC kwa sharti la kutotajwa, amesema Mfanyabiashara huyo anayemiliki Kampuni za #SpaceX, #Tesla, Twitter, #Neuralink na #TheBoring hutembea na Walinzi 2 kila anapofika #TwitterHQ. Mfanyakazi huyo amesema #ElonMusk ameonesha kuwa na hofu juu ya...
  6. BARD AI

    Kampuni ya Tanzania yasaini mkataba wa ugavi wa madini na Tesla ya Elon Musk

    Wakati maombi yake ya leseni ya kutoa huduma za intaneti kupitia kampuni yake ya Starlink yakiwa yamewekewa kigingi na masharti ya serikali, Bilionea Mmarekani Elon Musk amepenya kwenye soko la Tanzania ambapo atanunua malighafi ya kutengenezea betri za magari ya umeme. Taarifa iliyotolewa kwa...
  7. BARD AI

    Serikali iachane na Sera zinazobana Wawekezaji, mfano kumtaka Elon Musk kuweka ofisi za Starlink Tanzania

    Kitendo cha Waziri Nape Nnauye kusema bado Serikali haijafikia muafaka wa kumruhusu Mwekezaji na Tajiri namba 2 duniani, Elon Musk kuwekeza nchini ili kutoa huduma ya Intaneti yenye kasi kupitia Satelite hadi atakapoweka ofisi zake nchini Tanzania, inaonesha wazi bado tumekumbatia Sera za...
  8. Cannabis

    Waziri Nape: Hatujaibania starlink kutoa huduma ya intaneti, Elon Musk bado hajakidhi vigezo tulivyomuwekea

    Waziri Nape Nnauye amesema hawajaibania Starlink kutoa huduma ya intaneti nchini bali ni kuwa Kampuni hiyo inayomilikiwa ns tajiri Elon Musk haijakidhi vigezo ilivyowekewa na serikali ikiwamo kufungua ofisi nchini Tanzania. Amesema vigezo hivyo vimewekwa na serikali ili kumlinda Watanzania...
  9. T

    Elon Musk amerudi kuwa tajiri namba moja Duniani kwa mara nyingine tena

    Bwana Elon Musk ambae alikua Tajiri namba 1 Duniani toka August 2021 hadi October 2022 na kisha kua tajiri namba 2 kwa muda wa miezi 4 hivi kutokana na kushuka kwa thamani ya hisa zake, sasa amerejea tena kileleni. Elon Musk aambaeni muanzilishi na mmiliki wa makampuni kadhaa ikiwemo Tesla...
  10. T

    Elon Musk: Hivi karibu ukweli utajulikana kwamba Covid-19 ilikua ni utapeli

    Bilionea namba 2 Duniani bwana Elon Musk akijibu swali ama maoni ya mtumiaji wa Twitter aliehoji ni lini watu watajua ukweli kwamba Covid-19 ilikua ni utapeli, Bwana Musk amesema itajulikana hivi karibuni tu. Kumbuka Bwana Musk alitoa taarifa kwenye mtandao wake wa twitter kwamba hivi karibuni...
  11. G

    Elon Musk kuleta Intaneti ni tishio kwa mitandao ya simu, atapora wateja wenye matumizi makubwa na kuteka soko sehemu ambazo network inasumbua

    Bei ya vifaa vyote na kuwekewa ni shilingi laki 9. kifurushi kinadumu kwa mwezi, nadhani anapanga bei kwa kuangalia uchumi wa nchi, Marekani ni 230,000/= , Nigeria ni 98,000, Hapa Kwetu si ajabu ikawa 70,000. Ni internet ya kisasa, Speed yake ni kubwa sana, unaweza kushusha file la gb 1 speed...
  12. BARD AI

    Wawekezaji wenza wadai Elon Musk anatumia muda mwingi Twitter na kuipuuza Tesla

    Malalamiko ya Wawekezaji Wenza wa Kampuni ya kuunda Magari ya Umeme (TESLA) yanafuatia kuendelea kushuka kwa thamani ya Hisa na kupoteza zaidi ya Tsh. Trilioni 100 kwa mwezi Januari 2023 pekee. Utajiri wa Musk umeendelea kushuka kiasi cha kuingia kwenye Rekodi za Dunia za Guinness kama mtu...
  13. The Assassin

    Je, Elon Musk ndiye mkombozi wa Dunia ya sasa na ijayo?

    Tajiri namba 2 wa Dunia (Hivi juzi tu alikua namba 1) Bwana Elon Musk anatazamiwa na watu wengi kama mtu mwenye maono makubwa na yanayoleta mapenduzi makubwa katika kuukomboa ulimwengu. Kwa mfano, Elon alianzisha kampuni ya magari ya umeme, watu wakampuuza lakini leo kampuni yake ndio kampuni...
  14. BARD AI

    Elon Musk kujiuzulu Uboss wa Twitter ikiwa atampata mtu "Mpuuzi" wa kuchuka nafasi hiyo

    Elon Musk amesema atajiuzulu kama Afisa Mtendaji Mkuu wa Twitter atakapompata mtu "Mpuuzi" anayetosha kuchukua kazi hiyo. Bilionea huyo aliahidi mapema kutii matokeo ya kura ya maoni ya Twitter ambayo ilishuhudia 57.5% ya watumiaji walipiga kura ya "ndio" kumtaka kuachia jukumu hilo. Anasema...
  15. BARD AI

    Watumiaji Twitter Milioni 10 wanataka Elon Musk ajiuzulu Utendaji Mkuu

    Mmiliki wa Twitter Elon Musk ameweka Kura ya Maoni kwenye mtandao huwa akiwataka watumiaji kuamua kama aendelee kuwa Mtendaji Mkuu au aachie nafasi hiyo ambapo Asilimia 57 ya watumiaji wameunga mkono kuwa aachie nafasi hiyo. Musk mwenye wafuasi milioni 122, alitweet: "Je, nijiuzulu kama...
  16. Analogia Malenga

    Elon Musk amerudisha Twitter Spaces

    Habari njema kwa watumiaji wa twitter spaces, baada ya saa kadhaa za kutokuwepo kwa huduma ya mjadala kwa njia ya sauti, twitter spaces imerudi. Huduma hiyo iliondolewa December 15, 2022 na hakuna kauli iliyotolewa na hakuna na maelezo yaliyotolewa kuhusu nini kilitokea. Hivi karibuni, mmiliki...
  17. BARD AI

    Elon Musk sio tajiri namba moja duniani kwa sasa

  18. M

    Watu tunasherekea utajiri wa Elon Musk kushuka

    Ngebe, nyodo, madharau, majigambo, kiburi, kujiona na kujiinua vimefika ukingoni. Ni chereko na vifijo. Elon Musk (Mwafrika Uchwara) mmiliki wa Tesla, Space X na Twitter utajiri wake umeshuka kutoka dollar billion 230 hadi dollars billion 168 na kujikuta kupoteza nafas ya kwanza utajiri...
  19. Analogia Malenga

    Elon Musk ampiga 'ban' Kanye West

    Account ya Kanye West ya Twitter imekuwa suspended kwa madai kuwa amevunja sheria za twitter na kuandika lugha inayoashiria uvunjifu wa amani. Asubuhi ya December 2, Kanye alipost picha ya Elon akiwa anamwagiwa maji mwili wake ukiwa mnene tofauti na alivyo sasa, na aliandika kuwa hiyo ni post...
  20. BARD AI

    Elon Musk asema majaribio ya kupandikiza 'Ubongo Bandia' kuanza ndani ya miezi 6

    Kamouni inayomilikiwa na Tajiri namba 1 duniani Elon Musk, Neuralink Corp. imesema ndani ya miezi 6 itaanza majaribio teknolojia yake ya kupandikiza 'Neva za Ubongo' kwa binadamu. Neuralink imesema tayari imewasilisha nyaraka za ukaguzi wa teknolojia hiyo kwa Mamlaka ya Chakula na Dawa ya...
Back
Top Bottom