elimu

  1. Freeman Mbowe elimu nzuri sio kuzungumza Kiingereza

    Mikutano imeruhusiwa na Mama lakini mchague kwa makini nini mtakwenda kuwaambia wananchi kwenye majukwaa ya kisiasa. Mbowe aliwaambia wananchi wanaomsikiliza kuwa Watanzania hawawezi kwenda kutafuta kazi nchi za nje zikiwemo Ulaya na Marekani kwakuwa hawajui kuongea Kiingereza kama ushahidi wa...
  2. Mbowe warudishe Halima na wenzake kundini kwanza

    Mgogoro wa CHADEMA na akina Halima ulipangwa kama mkakati wa kujiua chama cha chadema. Chadema msikubali kunaswa na mtego huo. Warudisheni kundini makamanda wetu akina Halima na wenzake. Hii itaifanya CCM itetemeke na CHADEMA iheshimiwe kimataifa. Kama CCM imewarudisha kundini Lowasa, Sumaye...
  3. Elimu ya darasani haina faida zaidi ya kutengeneza vijana tegemezi

    Kuna watu tunawafahamu kabisa hawana hii elimu ila wako vizuri na unaweza shangaa wao ndio waliotusomesha mpaka leo tuko na degree na ma PhD ila wao hata hawakunusa karatasi. Elimu ya darasani hii imerudisha maenndeleo ya wananchi nyuma kabisa. Mtu anauza shamba eti mwanae asome mwisho wa siku...
  4. J

    Elimu yetu inatuandaa kuendana na kasi ya Teknolojia?

    Teknolojia inaendelea kupenya katika nyanja mbalimbali za Maisha yetu, ikiwemo Ajira. Umuhimu wa Ujuzi wa Kidigitali unaendelea kujidhihirisha katika Soko la Ajira na hata kwa wanaojiajiri. Mfumo wetu wa Elimu unatuandaa kuendana na kasi ya Mabadiliko ya Teknolojia?
  5. Je, Elimu ya Msingi na Sekondari zimeondolewa TAMISEMI?

    Habari za jioni wana JF? Kuna kitu katika teuzi na reshuffle za jana ambacho naona media na wana social media hawajaweza kukikamata( ku capture). Kitu chenyewe ni uteuzi wa Naibu Katibu Mkuu Dr. Franklin Rwezimula kwenda WEST(wizara ya elimu, sayansi na teknolojia) kushughulikia elimu ya...
  6. W

    Karibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu

    Habari wana JF, Naomba nijikite kwenye mada husika. Binafsi nampongeza mheshimiwa Rais kwa kukuteua Profesa Caroline kwa nafasi ya Katibu Mkuu wa wizara ya Elimu. Ukiwa mtendaji mkuu wa wizara nakuomba sana utizame yafuatayo kwa kina. 1. Mapitio ya sera ya Elimu. 2. Mapitio ya mitaala kwa...
  7. J

    Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Walid Alhad apata Uteuzi CCM

    Kaimu Shehe wa mkoa wa Dar es Salaam Walid Alhad ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu, Afya na Malezi ya Jumuiya ya Wazazi CCM mkoa wa Dar es Salaam. Source: Jambo TV Mlale unono! === Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Walid Alhad ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu...
  8. Serikali yaipa TCU bilioni 6.1 kuimarisha ubora vyuo vikuu

    SERIKALI imeipatia Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) Sh. bil 6.4 kupitia mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) kwa ajili ya kuimarisha uthibiti ubora na uhuishaji wa mitaala ya vyuo vikuu ambapo zaidi ya mitaala 300 ya vyuo vikuu iko katika hatua mbalimbali za kufanyiwa mapitio...
  9. Elimu bure bado ipo?

    Nimepita huku kijiweni Baba mmoja hapa Dar anadai kutozwa Elfu4 kwa wiki kwa ajili ya chakula, 500 kwa ajili ya maji, 500 kwa ajili ya mlinzi, na alilipa 1,000 kwa ajili ya kitasa cha mlango (Kiliharibika wakatakiwa kuchangia). JUMLA 6,000. Baba huyu anadai anakaa na watoto 3 na kila mtoto...
  10. DC wa Rungwe, Jaffar Haniu atoa wito Vyombo vya Habari vitoe elimu kwa wazazi kuwapeleka watoto shule

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ametembelea vyombo vya habari vilivyopo Wilayani Rungwe na kujionea vipindi mbalimbali vinavyorushwa vituo hivyo sambamba na kuzungumza na wananchi. Vituo alivyotembelea ni pamoja na Redio Rungwe na Chai FM vyote vikiwa Tukuyu Mjini. Katika vituo hivyo...
  11. Hakuna raha kama kuwa na Mwanamke mzuri, mwenye Elimu na Pesa halafu awe anakupenda

    HAKUNA RAHA KAMA KUWA NA MWANAMKE MZURI, MWENYE ELIMU NA PESA ALAFU AWE ANAKUPENDA. Anaandika, Robert Heriel Ooh! Sitaki Mwanamke mwenye Elimu, Ooh! Sitaki Mwanamke anayejiweza kiuchumi, Hivi mmelogwa? Au hamjiamini! Hakuna kazi ngumu kama kuishi na Mwanamke asiye na Elimu yaani mjinga. Na...
  12. K

    Rais Samia amepunguza changamoto za elimu

    Ni siku 702 tangu Rais Samia Suluhu akabidhiwe majukumu ya kuliongoza Taifa la Tanzania. Katika kipindi kifupi cha uongozi wake ameonyesha utayari wake wa kupunguza au kumaliza changamoto za elimu nchini. Miongoni mwa changamoto kubwa zilizokuwepo ni Upungufu wa madarasa na samani, nyumba za...
  13. K

    VIDEO: Nyerere alishashauri elimu sio kitu cha kujigambia hata kidogo

    Alisema ni sawa na kujigamba una Afya. Maendeleo ndiyo kitu cha kujigambia
  14. Mwanamke akiweza kumiliki vitu hivi ni ngumu ndoa Kudumu

    Habari za jioni, tunashukuru Mungu kwa uzima aliotupa. Katika ulimwengu huu tunaoishi katika dunia ya utandawazi ambayo imeonekana imejitosheleza katika kila sekta, ila kuna taasisi moja kubwa sana ambayo ni Nndoa, taasisi hii inaundwa na mwanamke na mwanaume matokeo ya muda mrefu hadi mfupi...
  15. R

    Nahitaji msaada kutoka kwa mtu wa mamlaka za elimu

    Eti inaruhusiwa ukiwa na mtoto wa say form six sheria inaruhusu mtoto kusomea nyumbani kuja kufanya mtihai tu? Kuna mzazi anasema kwa vile shuleni hawafundishi, basi ameamua amtoe mtoto amtafutie tuition ataenda kufanya mtihani. Hii inawezekana? sheria inaruhusu?
  16. Hivi ni kwanini mzazi yupo radhi akusomeshe mpaka PhD lakini asikupe mtaji wa kufanya biashara?

    Unakuta mzazi anakwambia, "Mimi nitakusomesha mpaka pale utakaposema basi" lakini kukupa mtaji heh utasubiri sana. Mzazi atajitutumua hata Kama ada ni kubwa atailipa hivyo hivyo. Unaweza mwambia mzee, hiyo pesa badala ya kunipeleka Feza Schools, unaonaje upatie nifungue biashara? Atagoma...
  17. Mchungaji Gwajima: Elimu bila connection ni sawa na kontena la maarifa yasiyo na matumizi

    Nimekutana na hii video mtandaoni, Mchungaji Gwajima anatoa hoja yake kuhusu umuhimu wa kuwa na Connection hata ukiwa umesoma. Mchungaji Gwajima anasema "Mwanangu soma sana, kuwa na Masters, kuwa na PHD lakini lazima awepo mtu. Academic breakthrough with no connection you just become a...
  18. J

    Tanzania imepiga hatua katika utoaji wa Elimu ya Kidigitali?

    Ni mara ngapi umewahi kumsaidia mtu kufanya kitu fulani katika Simu yake? Japokuwa Wananchi wanamiliki Vifaa vya Kidigitali, bado wengi wanashindwa kunufaika kikamilifu kutokana na kukosa Ujuzi sahihi Unadhani tumepiga hatua katika utoaji wa Elimu ya Kidigitali? Kuboresha Upatikanaji wa...
  19. Barua ya Wazi kwa Rais Samia Suluhu; Pendekezo la Kuanzishwa kwa Benki ya Wahitimu wa Elimu ya Juu (HEGB)

    Barua ya Wazi kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh.Dkt. Samia Suluhu Hassan; Pendekezo la Kuanzishwa kwa Benki ya Wahitimu wa Elimu ya Juu (HEGB). Mpendwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ni imani yangu kuwa barua hii inakufikia ukiwa na afya njema na mwenye nguvu...
  20. J

    Mapendekezo yaliyotolewa na wadau mbalimbali kuhusu nini kibadilike katika Mfumo wa Elimu ya Tanzania kupitia Twitterspace ya Jamiiforums

    Wadau mbalimbali wa elimu wamekuwa wakilalamikia mfumo wa sasa wa Elimu ya Tanzania. Jamiiforums kama mdau mmoja wapo wa elimu na mabadiliko inatoa fursa kwa Wanachama wake na umma kwa ujumla kutoa maoni yao juu ya nini hasa kibadilike katika mfumo wa elimu uliopo. Ili kupata nafasi hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…