elimu

  1. G

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Ajira: Ninaomba Connection za Kazi

    Habari, naomba kutanguliza samahani. Nilikuwa naomba kuuliza kama kuna mtu mwenye connection ya kazi. Naomba msaada, wakuu. Nina umri wa miaka 23 na nina elimu ya chuo kikuu.
  2. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Serikali itatoa elimu ya katiba kwa Wananchi kwa miaka mitatu August 28,2023

    Leo ni miaka mitatu tayari nadhani ni wakati muafaka kuanza mchakato wa katiba
  3. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Stationery na uzoefu nayo zaidi ya miaka 5 Niko Mwanza

    Habar za wakati huu, Samahan Mimi ni Kijana mchapakazi na muaminifu. Niko Mwanza nina miaka 30. Natafuta kazi yoyote ya halali, Nina ujuzi mkubwa wa kutumia computer pamoja na ufundi upande wa software. Pia na ujuzi wa kazi za Stationery mambo ya online application, kazi, mikopo ya wanafunzi...
  4. Pre International School

    JamiiForums Tanzania Elite Home Tuition – Elimu Bora Tanzania Nzima 🇹🇿

    📚 Elite Home Tuition tunatoa huduma bora za Home Tuition Tanzania nzima, kwa wanafunzi wa viwango mbalimbali kuanzia KG 1 hadi watu wazima. Tunawasaidia wanafunzi wenye mahitaji tofauti ya kielimu, ikiwemo: 🧩 Autism / Autism Spectrum Disorder (ASD) ♿ Wanafunzi wenye mahitaji maalum ya kielimu...
  5. abura90

    JamiiForums Tanzania Je Wizara ya Elimu imekosa Meno kuhusu Kasumba ya Madarasa ya Mitihani?

    Kwa zaidi ya Miaka 10 sasa ukipitia Majukwaa mbalimbali humu utakutana na Malalamiko ya Wazazi na Walezi kuhusu Maamuzi kadha wa kadha yanayotolewa na Shule Binafsi nchini ambayo yaaathiri Malezi na Makuzi ya Wanafunzi lakini Wizara ya Elimu ambayo inabeba dhamana ya kusimamia utoaji wa elimu...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Portal kuna changamoto ya kubadili Sifa za Elimu

    Hongera team ya JamiiForums kwa kazi kubwa mnafanya kuhabarisha umma na jamii zote ndani na nje ya nchi hii ya Tanzania. Ninayokero ambayo inahusiana na Sekretiati ya Ajira kwa maana ya Ajira Portal . Tunapendezwa na huduma zinatolewa na Ajira Portal lakini kuna sehemu ndogo ambayo tunaomba...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ofisi ya Afisa Elimu Jiji Dodoma haina utaratibu mzuri wa kusikiliza Wananchi wanaohitaji huduma za Afisa Elimu

    Ofisi ya Afisa Elimu Jiji Dodoma haiko na utaratibu mzuri wa kusikiliza Watu wanaohitaji huduma za Afisa Elimu. Nimekuwa nikifuatilia barua ya ruhusa wiki mbili sasa lakini kila nikienda nakutana na PS naambiwa mpaka boss awepo. Akija Afisa Elimu anakaa dakika tano ofisini kisha anatoka...
  8. Pre International School

    JamiiForums Tanzania Elite Home Tuition – Elimu Bora Tanzania Nzima 🇹🇿

    📚 Elite Home Tuition tunatoa huduma bora za Home Tuition Tanzania nzima, kwa wanafunzi wa viwango mbalimbali kuanzia KG 1 hadi watu wazima. Tunawasaidia wanafunzi wenye mahitaji tofauti ya kielimu, ikiwemo: 🧩 Autism / Autism Spectrum Disorder (ASD) ♿ Wanafunzi wenye mahitaji maalum ya kielimu...
  9. Kicheche mkali

    JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu Ujenzi wa Minara ya Tank za maji

    MNARA WA TANK LA MAJI — SEHEMU YA 1/6 UNATAKA KUJENGA MNARA WA TANK LA MAJI? USIANZE NA NGUZO! Watu wengi wanaanza kwa kuuliza: ❌ “Nguzo ziwe na ukubwa gani?” ❌ “Niweke nondo mm ngapi?” ❌ “Msingi uchimbwe kiasi gani?” Lakini swali la kwanza linapaswa kuwa: 👉 TANK LITAKUWA NA UWEZO GANI NA...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba Mgeni Rasmi Wiki Ya Elimu ,Ujuzi na Ubunifu Tarehe 24/8/2026 Mkoani Tanga

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr CLEAN Anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Wiki Ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu itakayofanyika Siku ya Jumatatu ya Tarehe 24/8/2026 Mkaoni Tanga. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na...
  11. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wabunge wa Uganda Waja Kenya Kutafuta Majibu ya Changamoto za Elimu

    Wakati mataifa mengi ya Afrika Mashariki yakihangaika kuboresha mifumo yao ya elimu, wabunge kutoka Uganda wamegeukia Kenya kutafuta mafunzo kuhusu mageuzi yanayoweza kuboresha sekta hiyo nchini mwao. Ujumbe wa Kamati ya Elimu na Michezo ya Bunge la Uganda ulifanya ziara katika Bunge la Kenya...
  12. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania DIwani Haruna Mushi apongeza serikali kutoa vifaa vya kujifunza kwa vitendo elimu ya watu wazima Kata ya miembeni

    Moshi Manispaa- 18/8/2026 Moshi, Kilimanjaro — Diwani wa Kata ya Miembeni katika Manispaa ya Moshi, Mhe. Haruna Mushi, amepongeza juhudi za Serikali chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha upatikanaji wa vifaa vya kujifunzia katika shule mbalimbali, hatua inayochochea...
  13. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi Kirima sekondari wapewa elimu ya kujitembua,kupiga vita vitendo vya ukatiri wa kijinsia ,afya na elimu

    Agosti 14 mwaka huu wa 2026, ilifanyika semina maalum kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Kirima iliyopo Kata ya Kibosho Kirima wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro yenye lengo la kuwajengea wanafunzi uelewa na maarifa muhimu katika maeneo ya taaluma, afya, kujitambua pamoja na kupinga na...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Kwa nini vijana wengi Tanzania wanahangaika kupata ajira licha ya kuwa na elimu?

    Wadau kwema? Vijana wengi wanamaliza vyuo na kupata vyeti, lakini bado wanakaa muda mrefu bila ajira. Wengine wanaishia kufanya kazi ambazo hazihusiani kabisa na taaluma walizosoma mfano boda boda n.k Kwa maoni yako, tatizo kubwa ni ukosefu wa ajira, mfumo wa elimu, ukosefu wa ujuzi wa vitendo...
  15. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗔𝗗𝗢𝗕𝗘 𝗦𝗔𝗦𝗔 𝗜𝗡𝗔𝗣𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔𝗡𝗔 𝗞𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗖𝗛𝗔𝗧𝗚𝗣𝗧👋

    Sasa hivi mambo yamebadilika kabisa! 😱 Adobe imeleta tools zake ndani ya ChatGPT, ikiwemo Photoshop, Firefly, Premiere, Acrobat na Adobe Express. 🎨📸🎬 Kuanzia Agosti 6, 2026, Adobe imeleta Adobe plugin ndani ya ChatGPT, ikiwa na zaidi ya tools 70 kutoka kwenye ecosystem yake. 🖼️ Photoshop –...
  16. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania WAIT… What?! Redmi amefanya hivi?!

    Kwa hii Redmi hapa Wamepitiliza Aiseeh 👋 Kuna simu mpya ya Redmi inakuja lakini uwezo wake sasa 🔥🔥, inaweza kuifanya iwe moja ya simu zenye battery kubwa zaidi kwenye flagship za mwaka huu. Redmi K100 Pro Max 9,070mAh 🔋 + 185Hz ⚡ kwenye simu moja?! 🔥📱 inakuja ikiwa na battery kubwa sana...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Tunaposema elimu imeboreka tunaangalia vitu gani?

    Mara nyingi utasikia watu hasa viongozi wakisema elimu ya Tanzania imeboreka.Kipi kinaangaliwa?
  18. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Mabadilishano kati ya elimu bure na huduma ya Afya bure, elimu tulipie, huduma ya Afya ndio iwe bure

    Nakumbuka kipindi Cha uchaguzi walisema kuwa vitambulisho vya nida ndio vitakuwa ni kadi za bima au niliwanotes vibaya Basi tunaomba hili waliweke sawa kati ya elimu na huduma ya Afya Bora zaidi huduma ya Afya ndio iwe bure na elimu ndio tulipie, Kwa sababu elimu imetangazwa bure ila michango...
  19. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo namna ya kupata nafasi ya ndugu yangu kujiunga na elimu secondary pale kibaha secondary.

    Wakuu, nina ndugu yangu ambaye anamaliza la darasa la saba mwaka huu, kama ndugu tumeona tumtafutie shule ambayo haitakuwa mbali sana na makazi yetu. Ni mtoto yatima Jibu likaja ni kibaha secondary, huyu kijana anasoma pale olympio primary, sasa kimbembe kimekuja ni namna gani tunaweza kupata...
  20. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uongozi wa Ofisi ya Uthibiti wa Ubora wa Elimu Wilaya ya Bagamoyo uangaliwe

    Kumekuwa na malalamiko na changamoto mbalimbali zinazohusishwa na uongozi wa Ofisi ya Uthibiti wa Ubora wa Elimu Wilaya ya Bagamoyo. Baadhi ya wadau wa elimu, hususan kutoka Idara ya Elimu Sekondari, wameeleza kutoridhishwa na baadhi ya mwenendo unaodaiwa kuathiri ufanisi wa utendaji kazi...
Back
Top Bottom