Hizi shule za serikali mnazosema elimu bure mbona mnatuchanganya sana,Kwa watoto wa darasa la saba kuna michango ya limu nzima,
Halafu kuna mchango wa kila wiki sh1000 kwa darasa la4 yani kwa mwaka ni48,000 mtoto mmoja ikiwa darasa hilo lina watoto wapo 100 ni 4,800,000 hii pesa yani...