elimu

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya Uchaguzi ya NCCR Mageuzi: Vipaumbele ni Katiba Mpya, Elimu, Muafaka wa Kitaifa, Afya na Ustawi wa Jamii, Mazingira na Makazi

    UTEKELEZAJI WA HII ILANI NA SIFA ZA KIONGOZI Serikali itakayoongozwa na NCCR-Mageuzi itaweka mkazo katika kuimarisha mifumo ya kiutendaji ya serikali kuu na serikali za mitaa ili ufuatiliaji wa utekelezaji wa Ilani uwe wenye tija kwa umma wa watanzania. Serikali itahakikisha usimamizi wa miradi...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Mwenye uwezo wa kuwekeza kwenye mawazo yangu yanayohitaji Pesa tu ili yaweze kuwa utajiri na kunisahaulisha machungu ya Elimu yangu iliyouwawa namfumo

    Mimi ni Kijana wa miaka 26 nikiwa na shahada ya uhandisi wa mitandao na mawasiliano...baada ya kuhangaika sana bila majibu nimeambulia kufahamu fursa nyingi ambazo nimetumia na akili yangu kidogo kuweza kupata mawazo kadhaa ya kibiashara ambazo zenye kuleta matunda chanya kwa muda mfupi sana...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu: Watanzania sio kwamba hawana akili bali Lugha ya kufundishia ndio shida, Elimu yetu inabidi ifumuliwe na lugha ya kufundishiwa iwe moja

    Tundu Lissu amesema haya kuhusu lugha ya kufundishia: Ukiniuliza mimi, honest opinion Nchi yetu haiwezi kuzungumza Kiingereza, hivyo tunahitaji kuwa na mjadala juu ya sera ya lugha, tusipokuwa na mjadala huu, hatufiki popote kwani language of instruction is everything. Mimi ni Wakili, Majaji...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba: Elimu ya sasa inaendana na kutumia kompyuta, tunahitaji kuwekeza katika Elimu iliyo Bora

    Elimu ya sasa inaendana na kutumia Compyuta,tunahitaji tuwekeze katika elimu iliyo bora, kila shule ya msingi, shule ya sekondari iunganishwe na internet na watoto wetu waanze kutumia kopyuta wakienda shule. Prof. Lipumba Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. MCHAGUE PROF. LIPUMBA...
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Wanaojua mawasiliano ya TAMISEMI au Wizara ya Elimu nina shida muhimu sana

    Wakuu habari, kama nilivozungumzia kwenye kichwa cha habari. Nina shida na mawasiliano ya TAMISEMI kwa anayeelewa niingieje kwenye website yao au email yao, vilevile sina email yao wala website yao, naombeni anayefahamu mawasiliano yao anisaidie. Bila kujali ngoja niwaeleze tatizo linalonituma...
  6. JamiiForums Tanzania Mafunzo ya Ualimu ngazi ya stashahada ya ualimu elimu ya awali, msingi na sekondari mwaka wa masomo 2020/2021

    Mfumo wa uombaji wa nafasi za mafunzo ya ualimu katika ngazi ya stashahada umefunguliwa. Kama una ndugu au jamaa mtaarifu ikiwa anavigezo vilivyoanishwa anaweza kutuma maombi. Ili kuweza kuona kozi na sifa zinazohitajika tafadhali soma maelekezo kwa kubonyeza hapa. === Katibu Mkuu Wizara ya...
  7. JamiiForums Tanzania Takwimu: idadi ya wanafunzi ni kubwa kuliko walimu. Elimu ya bure haiwaandai watoto kuelewa bali kumaliza shule

  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Tuelewana, siyo elimu bure kilichopo ni elimu bila ada msitudanganye

    Tundu Lisu popote ulipo heshima kwako mkuu, Waeleze watanzania kwamba wanachosema elimu bure siyo kweli watoto wa masikini bado wanalipia ELIMU TENA SANA mf 1. Nauli 2. Madaftari 3. Uniforms 4. Tutions 5. Pesa ya mlinzi 6. Pesa ya chakula siku za mitihani nk Wanaosema Tanzania kuna elimu bure...
  9. JamiiForums Tanzania Sikubaliani na Tangazo la Haki Elimu mnatudhalilisha

    Hello wana bodi!! Naomba kuuliza hivi hawa 'Haki Elimu' na Tangazo lao la Mwanafunzi hataki kwenda shule kwakuwa anatongozwa na mwalimu wake lina 'credibility' na 'validity' kiasi gani? Moja, hivi sample size yao kwenye huo utafiti ilikuwa ni walimu wangapi wenye tabia hiyo kiasi kwamba liwe...
  10. JamiiForums Tanzania Elimu ya chuo kikuu ni kupoteza muda

    "Kusoma elimu ya chuo kikuu ni upuuzi sana, ni kupoteza muda kijinga" Nimenukuu jamaa akisema hayo maneno hapa Stationary nikiwa natoa copy sijui kwanini kaongea vile.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa elimu yetu Tanzania

    Habari za leo wanajamvi, pole na majukumu ya kila siku ya kulijenga Taifa letu. Nashauri wanafunzi wasome kuanzia darasa la 1 & 6, na wafundishe masomo matatu tu. Yaani Hisabati, Sayansi na Lugha. Na wahakikishe wanapowafundisha wanafunzi mfano somo la Hisabati, wajitahidi wawe wameandaa...
  12. JamiiForums Tanzania Ukitazama picha ya kisiasa, Elimu imekuwa si mkombozi tena kwa Mtanzania

    Kwa mujibu wa takwimu za sasa ni kwamba, elimu inapanda mara dufu kutoka mwaka 2015 mpaka hivi sasa 2020. Kwa mtazamo huo ningetarajia kabisa watu wawe na uwezo angarau wa kuona mapungufu makubwa yaliotokea katika utawala wa miaka 5 ya bwana JPM. Tofauti na hilo wengi mamegeuka kuwa washabiki...
  13. JamiiForums Tanzania Elimu Popote kwa Yeyote

    Wadua habari. Kuna platforms ya kutoa/kupata elimu juu ya mambo mbalimbali. Unaweza kutoa au kupata elimu hiyo free au kwa kulipia. Kama wewe ndio unatoa elimu kwa kulipia, wadau watakaosoma watalipia na fedha hizo za malipo (75%) zinakuja kwako. Ubora wa content ndio wingi wa clients...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Maboresho ya Elimu ni mradi chini ya Benki ya Dunia, fedha zilizuiliwa kwa pingamizi la Zitto

    Napenda kuweka wazi juu ya huu mpango wa maboresho ya Elimu, huu mradi ulianza enzi ya utawala wa Mkapa kwa ufadhili wa Benki ya Dunia (World Bank) mradi huu ni matokeo ya mpango wa serikali kusamehewa madeni chini ya HIPC na unaenda hatua kwa hatua kulingana na mahitaji ya wakati na ufanisi wa...
  15. JamiiForums Tanzania PICHA: Mifumo yetu ya Elimu

    Hii picha hapa inaelezea mifumo yetu ya elimu watakao ielewa comment hapo
  16. JamiiForums Tanzania Teknolojia ya kidijitali inavyoweza kuboresha Elimu Tanzania

    Wiki hii serikali imetangaza mpango wa kutekeleza mkakati mpya unaolenga kuboresha elimu ya sekondari nchini Tanzania. Akizungumza katika mkutano wa wadau wa elimu jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo alieleza dhamira ya serikali wa...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa hapa alipofikia Tundu Lissu, elimu yake Sheria imefika mwisho, haiwezi tena kumsaidia

    "No one is above the laws of the country". Katika vitu vichache ninavyo vikumbuka kwenye somo la "civics" form II in sentensi fupi yenye maneno machache kabisa ya "No one is above the law". Watu tumesome mambo magumu mengi sana kama ya schrodingers wave function na kuitumia kuelezea "the drug...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Siasa isituharibie elimu yetu

    Kumekuwa na jitihada nyingi wakati wa uchaguzi wanasiasa kutaka kuonesha walivyofanya maajabu, ubaya nipale yanapotengenezwa mambo kinguvu ili kusadifu matakwa ya wanasiasa. Tunakumbuka 2013 matokeo ya K IV yalinogeshwa ili BRN (big results now) ionekane imeleta output kubwa enzi hiyo. Hivi...
  19. JamiiForums Tanzania Soko la hisa toeni elimu Kuepusha kama mambo ya Desi na Mr. Kuku

    Najaribu kujiwekea Akiba ya hivi visenti vyangu kwa kuangalia tofauti ya taasisi mbali mbali. Kitu kinachonishangaza ni kwamba utaratibu wa mamlaka kutoa elimu ya kwenye haya masoko ya hisa imekuwa mgumu binafsi nimekwenda zaidi ya mara kadhaa DSE na UTT ila kiukweli sijaelewa chochote mbaya...
  20. JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu mfungieni Mwalimu huyu. Anaharibu wanafunzi

    Kuna video inasambaa mtandaoni ikimuonyesha mwalimu ambae anawafundisha wanafunzi kukatika. Matendo haya sio mazuri kwa malezi ya vizazi vyetu. Wizara ya elimu mchukulieni Mwalimu huyu hatua stahiki.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…