Salamaleko!
1. Gen z bado hamjui nini kilitokea hapo nyuma. Hamjui tulieni.
2. Kama mnataka kujifunza kaeni hapa nitawafunza. Lakini nawajua kwa ubishi wenu. Mniambie mnataka style ipi.
3. Mnataka Flow ya Habil na khabil, Mzee wa pekezake kizakezake akiacha mambo zao kwa Raha zao. Au
4. Au...
Nakusalimu Mzee,
Ulichokisema siamini kimetokana na umri wako kuwa mkubwa kwamba unapoteza uwezo wako wa kuchanganua mambo.
Ukimuuliza mtanzania yeyote mbali na Hawa wauwaji kwamba siku ya October 29,2025 kulikuwa na tukio Gani kubwa nchini?
Utajibiwa kuwa, October 29 ilikuwa siku rasmi ya...
Hamjambo Wote!
1. Kuna watu Wana mawazo ya kizamani Sana.
2. Kuwa kwako Mchungaji au sheikhe haikufanyi uwe Special sana kwamba ukifanya mambo yasiyoeleweka watu wasiseme.
3. Au kuwa kiongozi. Sijui Waziri, sijui Rais, sijui Mfalme, sijui Mkuu wa Mkoa. Kuwa na cheo chochote haikufanyi uwe...
Kwa wanazuoni na wajuzi wa mambo huwa tunasoma mstari kwa mstari katika kila tamko la kiongozi.
Mhe.Rais Samia ametumia neno moja muhimu sana kwenye mojawapo ya speech yake.
"Hakuna kiumbe atakayeruhusiwa kuichezea amani ya Tanzania kwani ameapa kuilinda Tanzania"
Ewe mwanaJF, Mtanzania...
Alka Yagnik na Kumar Sanu ni waimbaji wawili maarufu wa India waliotawala muziki wa filamu za Kihindi (Bollywood) hasa katika miaka ya 1990 hadi 2000. Sauti zao zenye hisia na ushirikiano wao na watunzi mashuhuri kama Nadeem-Shravan, Jatin-Lalit, na Anu Malik ziliwafanya kuwa sauti kuu za nyimbo...
Haya maneno ukiambiwa tu wee jua kabisa kama una kazi unaweza kuta unafanya endelea nayo kabisa.
Imagine mtu yupo zaidi ya km20 una mpigia simu halafu anakuambia dk 0 niko hapo au dk 5 nyingi nishatia nanga hapo mkuu aisee wewe kunywa chai yako vizuri maana utasubiri zaidi ya lisaa nk.
Ukija...
Kuna watu hapa Machawa wanamdanganya huyu Raisi Samia. Raisi Samia kukitokea umwagaji damu hapa wakulaumiwa sio machawa maana watajikausha, Mchimbi ndiyo kabisa ataona nafasi yake ya kung’ara, Kikwete hata simu yako hata pokea. Maana yake ni kwamba mambo yakiwa mabaya utabaki wewe peke yako.
Ni...
Nyumba inauzwa mil 20 Banana Elewa neno banana yaani ni mjini kabisa kutoka airport hadi kwako dk 15 tu yani uko mjini
Ina vyumba 3 vya kulala
1 master bedroom
2 Normal rooms
Seble
Dinning
Choo cha wagen
Kutoka lami hadi kwenye nyumba unatembea kwa mguu tu dakika 10 gari ni moja hadi mjini...
Baada ya kushauriwa na rafiki yangu kuhusu uwekezaji katika mifuko ya pamoja na kunielezea juu ya UTT AMIS nimevutiwa juu ya hili na kutaka kufahamu zaidi kuhusu UTT AMIS.
Katika harakati za kutafuta maarifa kuhusu UTT AMIS nikaperuzi kwa site zao niweze ona pia vigezo na masharti walivyoweka...
Katika hali ya kustua ni ukweli kuwa tumekuwa na tabia ya kujiridhisha na kujiliwaza kuwa tumetiabidii sana ila hatujayapata tuyatakayo lakini uhakika ni kuwa hatujataka haswa tuyatakayo.
Ulimwengu una kila tunachotaka na unaweza kutupa ila ni mpaka tutake haswaa. Hakuna mtu aliyetaka kitu kwa...
MBPS = Mega Bytes Per Second
Mbps = Mega Bits Pee second
Byte 1 ni sawa na Bits 8.
Ukiuziwa internet unlimited unaambiwa ina speed ya 10Mbps haimaanishi MB 10 kwa sekunde, maana yake inaweza ku download 10/8 = 1.25 MB kwa sekunde.
Nimeleta huu uzi baada ya jamaa aliyelipia bando ya 100Mbps...
Wanajamvi kufuatia mkopo aliyokopa mdogo wangu kwenye APP za mitandaoni nami kujikuta muathiriwa kwa kuwa namba yangu imo kwenye simu yake, hivo basi natamani mfaham yafuatayo:-
Application Date 13/02/2024
Due Date 19/02/2024
Platfoam Fee 45500TZS
Amount...
Habari zenu wakubwa!
Kama mada inavyo jieleza mimi nina miliki leseni ya daraja d. Ila nataka niongeze daraja mpaka e. Sasa nashindwa kuelewa natakiwa kwenda veta au n.I.T?
Na je kama ni veta, nikimaliza kozi ya basic truck driving naweza pata leseni daraja e? Na je naweza ajiriwa kama...
Kwa muda mrefu sasa nimekua nikifanya tafiti juu ya uelewa wa mpira wa mashabiki wa simba, na mambo niliyagundua ni yafuatayo
1) Wengi wao mpira wameanza fatilia 2019
2) Wengi wao dish zimeyumba
3)Wengi wao much know
4) Wenye akili wanajitoa ufahamu
5) Wengi wanabishia uzoefu
6) Watu...
Kila mtu anamkatisha mwengine tamaa kwa namna moja au nyingine. Lakini ni juu yetu kupunguza hizo tabia, na kuruhusu wengine wawe bora zaidi. Unapoona mtu anajitahidi, usimshushe chini. Angalia maneno yako unayoongea. Maneno yako ni kioo cha akili yako. Inaonesha akilini mwako umejaza nini...
Nimesoma kitabu cha "Will Propaganda Work in Modern World?" Mwandishi pamoja na mambo yote anasema, "moja ya sifa chanya na bora kwa kiongozi makini ni kujua watu wake wanahitaji nini kwa wakati gani na kwa sababu gani naye huenda na matakwa yao ili kukidhi na kukata kiu yao. Anasema kiongozi...
Ndugu Msomaji wa makala za BAKIIF.
Bila shaka unampenda MUNGU Sana, tunaamini hivyo japo hufuati amri zake, lipo kusudi la Mungu kutaka kukusaidia jambo Fulani ikiwa uko tayari katika yote jiepushe na mafundisho yasiyokuwa ya ki-MUNGU.
Siri ni mipango iliyo ndani ya moyo wa mtu juu ya hatima...
Habari wadau!
Kumekuwepo na lugha chafu sana kwa wanaume wanaozidiwa kifedha na wake zao!
Hata imefikia kubatizwa majina mengi mazuri kama Vile Mario, kitonga au ganda la ndizi!
Ni majina mazuri kwasababu kisaikolojia majina hayo yameundwa kwa misingi ya Wivu, yaani mtu yoyote anayesikia raha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.