duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kesho kuna Timu Moja Duniani ikijichanganya tu inapigwa Goli 6 au 7 kabisa

    Wengine tumechekwa leo ila nasi tutawacheka zaidi Kesho huko waliko na ikitokea hivyo kweli Watuvumilie tu na Wawe Wapole hasa kwani kuna tofauti Kubwa kati ya Namba Moja na Namba Sita au Saba.
  2. JamiiForums Tanzania Tuzikatae ndoa kila iliyo sasa,leo , kesho na hata milele hapa duniani

    Salaam JF, Hii ni kwa wale walio muelewa Dr Mwaka, kwa hekima na busara zake, tunaokataa ndoa tunakataa na sababu nzito tunazo sisi na hadithi ya Adam na Hawa pale bustani ya Eden ni toshelevu usipoelewa basi. Tenda wema kadri ya uwezo, penda, timiza, furahi. Wema usizidi uwezo. Wengine...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Duniani Moto kwa Pinguni moto

    Ukiwa masikini duniani unapigika na maisha, ni Bora uwe masikini lakini utende mema na kusali sana. Usipoangalia Duniani utapigika na ukifa unapigika tena Tenda wema na swali sana kabla hujaswaliwa
  4. JamiiForums Tanzania Matetemeko ya Ardhi yaliyoua watu wengi Zaidi Duniani ndani ya Miaka 10

    Taasisi ya National Earthquake Information Center (NEIC) inayochunguza Taarifa kuhusu Tetemeko la Ardhi, inakadiria kuwa Matetemeko 20,000 ya ukubwa tofauti yanatokea duniani kote kila mwaka sawa na wastani wa Matetemeko 55 kila siku. Mwaka 2021, Dunia ilipigwa na Matetemeko 2,200 yenye ukubwa...
  5. JamiiForums Tanzania DELL kupunguza Wafanyakazi 6,650 baada ya soko la Kompyuta kushuka duniani

    Kampuni ya kuunda Vifaa vya Kielektroniki ya Dell itawaachisha kazi Wafanyakazi 6,650 sawa na 5% ya Wafanyikazi wote kutokana na mauzo ya Kompyuta kupungua kwa 28% kila mwaka. Dell imeripoti kushuka kwa soko la nje la Kompyuta kwa 37% katika kipindi cha mwaka 2022 huku washindani wao, kampuni...
  6. JamiiForums Tanzania Pale kinyesi cha mnyama kinapotengenezwa kupata kinywaji ghali Duniani

    Habari zenu wakuuu. Huko Indonesia kwa muda sasa wamegundua njia bora ya kuzalisha kahawa bora inayoitwa "Luwak coffee" kupitia kinyesi cha mnyama wanayemuita Luwak au "Civet cat". Mnyama huyo pamoja na vyakula vingine anapenda kula mbegu mbivu za kahawa (buni), kwakuwa tumbo lake haliwezi...
  7. JamiiForums Tanzania Ripoti CPI: Tanzania yaporomoka viwango vya Kupambana na Rushwa Duniani

    Ripoti ya Transparency International inayoangazia jinsi Nchi zinavyopambana na Rushwa na Ufisadi duniani (CPI), imeitaja #Tanzania kwenye nafasi ya 94 kati ya Nchi 180 mwaka 2022 kutoka nafasi ya 87 mwaka 2021. Kwa upande wa #Afrika, Tanzania iko nafasi ya 14 kutoka nafasi ya 19 mwaka 2021. Pia...
  8. JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya Siku ya Saratani Duniani

    Februari 4 ya kila mwaka huwa ni maadhimisho ya siku ya Saratani duniani. Takwimu za Afrika Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), bara la Afrika hupatwa na visa vipya vinavyokadiriwa kufikia milioni 1.1 kila mwaka na idadi ya vifo ikiwa ni 700,000. Takwimu hizi zinatoa makadirio ya vifo...
  9. JamiiForums Tanzania IFFHS: Ligi Kuu Tanzania ni ya 5 kwa Ubora Afrika na ya 39 Duniani

    Shirikisho la kimataifa la historia na takwimu za mpira wa miguu (IFFHS) limeitangaza Ligi Kuu ya Tanzania bara kuwa Ligi ya 5 kwa ubora barani Afrika na ya 39 Duniani kwa mwaka 2022. NBC PL imezipiku Ligi za Tunisia,Afrika Kusini,Angola, Nigeria na Zambia. Misri inaongoza kwa Ligi bora...
  10. JamiiForums Tanzania Sakata la Plea Bargain limenikumbusha Kisa hiki cha Wezi

    SAKATA LA PLEA BARGAIN LIMENIKUMBUSHA KISA HIKI CHA WEZI Anaandika, Robert Heriel Nyakati nasoma, nakumbuka shuleni kulikuwa na magenge ya Wezi. Kila shule inamagenge ya aina hizo. Yapo magenge ya Siri na yale ambayo yapo waziwazi. Ingawaje wapo Wezi binafsi WA kujitegemea ambao hufanya...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli hayuko duniani lakini ana watetezi wengi kuliko wenye fedha walio hai

    Hayati JPM yuko kaburini mwaka wa pili sasa lakini bado anasumbua vichwa vya walioko hai na kufikia hatua ya kumshambulia na kumtukana kwa kila hali akiwa zake kaburini lakini umma wa watanzania unatetea na kuwapinga hadharani wanaomtukana. Nguvu ya Hayati Magufuli inatoka wapi wakati hayuko...
  12. JamiiForums Tanzania Hili swala la bangi serikali iliangalie upya..kwa Sasa duniani bangi nibiashara kubwa mno ,tunajipa umaskini bila sababu !

    Hakuna kitu kinaniacha hoi kwa serikali kuruhusu pombe Kali ambazo zinaua watu zimejaa madukani!! Kama kitoko,k vant ,nyagi,john walker ,master,na nyingine kibao watu wanakauka mapafu ,afu inaenda kung'ang'ana na .. zao la bangi ambalo ni mmea TU ,biblia inayataja yote kama majani ya kondeni ...
  13. JamiiForums Tanzania Sitaki hangaika na wanawake wa huku Duniani. Wale wa kule ni Wazuri na wote naanza nao mwenyewe

    Wanawali 60. Wakali kwa types nitakazo mimi. Tena wote nawakuta bikra...so naanza nao mwenyewe. Ndo maana nikiwaangalia wanawake siku hizi wanasema nmekuwa na kiburi na dharau. Ni kweli sikatai. Nimepata kuburi baada ya kugundua nahangaika na hawa wa duniani wakati Akhera wapo watoto chuchu...
  14. JamiiForums Tanzania Watu 10 matajiri zaidi Duniani

    Kupitia jarida la World of Statistics limetoa orodha ya watu matajiri zaidi duniani au Mabilionea wa Wakati huu kulingana na Forbes, wameeleza kuwa Elon Musk ameondolewa namba moja kutokana na hasara aliyoipata mwaka 2022. Jukwaa hilo la kufuatilia utajiri linatoa masahihisho yanayoendelea...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu hana ratiba ya kuja kuongea na binadamu hapa duniani?

    Habarin guys, Najiuliza ikiwa Rais ama viongozi wa duniani wanakuwa wana muda wa kupitia kero za wananchi na hata kuongea nao na kuangalia sheria ambazo zimepitwa na wakati ila Mungu hana huo muda kabisa. Hii inadhihirisha binadamu ni werevu kuliko Mungu? Kama Mungu hana ratiba ya kuja hata...
  16. JamiiForums Tanzania Je, ni kitu gani ambacho hakina kasoro kabisa duniani?

    Natafuta kitu ambacho hakina kasoro hapa duniani, kitu kikamilifu kwa 100% kitu ambacho huwezi kukuta mawaa ndani yake. Nimeangalia kama dini, zote zinamapungufu ndani yake. Kama ni elimu zote zina mapungufu ndani yake, zimekosa majibu mengi. Kama ni sera za vyama, sera za vuama vyote vimejaa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Tamasha la mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China latoa “Chakula cha jioni cha Kitamaduni cha Mwaka Mpya” kwa watu wa China kote duniani

    Saa 2 usiku wa tarehe 21 Januari, likiambatanishwa na wimbo unaoimbwa na watoto, tamasha la mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China ambalo limeandaliwa na Shirika kuu la utangazaji la China CMG limerushwa hewani, na kutoa "Chakula cha jioni cha Kitamaduni cha Mwaka Mpya" kwa watu wa China kote...
  18. JamiiForums Tanzania Ripoti: Watoto Milioni 400 wananyanyaswa Kingono duniani kila mwaka

    Kila mwaka, watoto zaidi ya millioni 400 duniani wananyanyaswa kingono, ripoti mpya ya Enonomist Impact imesema. Kwa kawaida ukatili na unyanyasaji kingono hufanywa siri kwa kuhofia aibu na kunyanyapaliwa, hivyo kuruhusu uhalifu huo kuendelea. Ripoti hiyo “Out of the Shadows Global Index...
  19. JamiiForums Tanzania Google kupunguza wafanyakazi 12,000 duniani kote, mdororo wa Uchumi watajwa

    Sababu za punguzo hilo ni Mdororo wa Uchumi na Ukuaji Mdogo wa Uchumi wa Dunia usioendana na Mapato ya Kampuni hiyo kwa kipindi cha miaka miwili mfululizo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa Umma, Mkurugenzi Mtendaji wa Google na #Alphabet, #SundarPichai, tayari amewatumia Barua Pepe...
  20. JamiiForums Tanzania Utumikishwaji haupaswi kuendelea kuvumiliwa popote duniani

    Utumikishwaji ni suala zito ambalo linaathiri nchi zilioendelea na zinazoendelea. Katika nchi zilizoendele utumikishwaji hutokea katika sekta mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kilimo na ujenzi. Ajira za lazima ni tatizo la kawaida katika nchi zinazoendelea, huku wanawake, watoto, na wazee...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…