duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwanamke bora kuliko wote duniani ni Bikira Maria, ukitaka ndiyo hivyo, usipotaka ndiyo hivyo

    Lk 1:46-50 SUV Mariamu akasema, Moyo wangu wamwadhimisha Bwana, Na roho yangu imemfurahia Mungu, Mwokozi wangu; Kwa kuwa ameutazama Unyonge wa mjakazi wake. Kwa maana, tazama, tokea sasa Vizazi vyote wataniita mbarikiwa; Kwa kuwa Mwenye nguvu amenitendea makuu, Na jina lake ni takatifu. Na...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ya CCM na CHADEMA Ndiyo Kawaida ya Vyama vya Siasa Duniani Ilivyo?

    Mara nyingi sisi hupenda kuiga au kujilinganisha na hawa wenye demokrasia yao waliyoitengeneza kwa muda mrefu. Sasa nauliza, hizi mbinu za CCM ya Samia na CHADEMA ya Mbowe inakidhi kweli mlinganisho wowote na wayafanyayo Democratic Party na Republican wa Marekani au Chama cha Labour na...
  3. JamiiForums Tanzania Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani: JamiiForums inatambua mchango wa wanawake kwenye ulimwengu wa Digitali

    Kuelekea siku ya wanawake Duniani, Jamii Forums inatambua umuhimu wa wanawake kushiriki katika sekta mbalimbali kwa kuwa wana uwezo na juhudi za kufanya kazi kwa ufanisi na inajivunia ufanisi na jitihada zinazooneshwa na wanawake katika kutimiza majukumu yao. Mwanamke anapaswa kuaminiwa kupewa...
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake wanaongoza kwa kuwa na Wasiwasi Uliopitiliza duniani

    Takriban Watu Milioni 315 sawa na 4% ya Watu Duniani kote, wanakabiliwa na Tatizo la Wasiwasi Uliopitiliza. Mwaka 2020 pekee, 90% ya Nchi zote Duniani zilipatwa na ongezeko la 25% ya Wasiwasi Ulipitiliza, kutokana na kuibuka kwa Ugonjwa wa #UVIKO19. Kwa mujibu wa Takwimu za Jukwaa la Uchumi...
  5. JamiiForums Tanzania Rapa mwenye kasi kuliko wote duniani, Twista, amepotelea wapi?

    Eti wakuu huyu mwamba alipotelea wapi. Alivunja rekodi ya kuwa rapa mwenye kasi zaidi akifuatiwa na eminem. Licha ya kasi pia alitoa nyimbo kali nzuri. Kapotelea wapi?
  6. R

    JamiiForums Tanzania Vitenge na kanga vyasambazwa nchi nzima kuelekea siku ya wanawake Duniani, kete nzuri kuelekea 2025

    Wanawake wa Tanzania wamepewa kanga zakutosha na vitenge kuelekea siku ya wanawake Duniani. Wanawake wengi wamejipanga Kuvaa vitenge kusherekea siku ya wanawake Duniani. Wanawake wengi watabeba mabango yaliyobeba ujumbe wa kisiasa kuhusu mwanamke mwanasiasa. Wanawake wengi watalipwa kushiriki...
  7. JamiiForums Tanzania Ripoti: Nusu ya watu Duniani watakuwa na uzito uliozidi Mwaka 2035

    Shirika la Watu Wanene (WOF) limetoa angalizo na kueleza hatua hiyo itafikiwa ikiwa hatua hazitachukuliwa mapema na kuwa zaidi ya watu bilioni nne watakuwa katika hali hiyo. Ripoti imeonesha four billion changamoto hiyo inaanzia kwa Watoto na Nchi zenye kipato cha chini au cha kati Barani...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Marekani ndio nchi inayochunguza zaidi nchi nyingine duniani

    Hivi karibuni, puto moja la China ambalo lilifika Marekani kwa bahati mbaya lilisababisha wasiwasi mkubwa kuhusu “tishio la China” nchini Marekani. Mwishowe, jeshi la Marekani liliangusha puto hilo kwa kutumia ndege zake za kivita aina ya F22, na kutafuta mabaki ya puto hilo ili kuthibitisha...
  9. JamiiForums Tanzania Dhamira ya Kuhakikisha Kila Mmoja Ananufaika na Huduma ya Intaneti Bado Inakwamishwa Sehemu Mbalimbali Duniani

    Serikali kwa kushirikiana na watoa huduma wanaweza kuzuia huduma ya kufikia mtandao kwa njia nyingi. Kwa mfano, serikali zinaweza kukata gridi ya umeme au kuhujumu miundombinu ya huduma ya mtandao kama vile minara ya simu za mkononi na kebo za fibre optic. Serikali pia zinaweza kuzuia ufikiaji...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna watu Duniani ni zaidi ya Gaidi wa kawaida pale unapoishi nao, sitosahau hii

    Wakuu habari za wakati na poleni kwa majukumu kwa ujumla. Nina stori naleta kwenu na hichi ni Kisa cha kweli kuwahi kunitokea mimi katika maisha yangu, basi niaze nakusema maisha yana mengi sana wakuu. Miaka ile ya 2000's nikiwa bado shule nilifika mahali nikawa nimekwama mahitaji ya kujikimu...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Serikali zote duniani hazitaki watu wajue ukweli

    Duniani kote serikali zote hazitaki watu wajue ukweli! Kwasababu "Ukweli huwaweka watu huru" Duniani kote viongozi huapa kuficha siri, Hushika misaafu na biblia kutangaza kuwa wataficha siri badala ya kuapa kusema ukweli na haki! Yote hayo ili serikali itawale kwa amani inabidi watu wasiwe...
  12. JamiiForums Tanzania Haya ndiyo magereza manne ya kifahari zaidi duniani

    LIPO AMBALO WAFUNGWA WANALIPWA Tsh. 18,000 NA LINGINE UKIINGIA UNALIPIA ADA KILA MWISHO WA MWEZI. 1. ARANJUEZ,Gereza hili linapatikana huko Hispania Jijini Madrid. Inaaminika hili ndio Gereza la kifahari na la kitofauti zaidi duniani,kwani wafungwa wa hili gereza huishi maisha kifahari sana...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi kuna mwanamke tajiri anayemiliki pesa nyingi duniani kuzidi matajiri wa kiume?

    Naomba kufahamu maana kila siku naona list za wanaume tu. Sasa mbona wanapambana sana, hela zao wanawekeza wapi?
  14. JamiiForums Tanzania Siku ya Haki za Kijamii Duniani 2023

    Inaadhimishwa Februari 20 kila mwaka ikiwa na lengo la kupaza sauti dhidi ya dhuluma katka jamii, Umoja wa Mataifa (UN) unaeleza Kaulimbiu ya Mwaka 2023 ni ‘Kushinda Vikwazo na Kufungua Fursa za Haki ya Kijamii’. Umasikini na kukosekana usawa vimeongezeka kutokana na migogoro ya kiuchumi na...
  15. JamiiForums Tanzania Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

    As-salamu alaykum ndugu zangu. Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera. Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume. Zaidi ukisoma Quran tukufu...
  16. JamiiForums Tanzania Picha ya dunia kutoka umbali wa Kilomita Bilioni Sita (06). Halafu kuna watu wanafikiri uwepo wao duniani ni kwa bahati mbaya

    Picha hii iliyopewa jina la "kitone cha samawati (The blue dot)" ilipigwa na Voyager 1 mwaka wa 1990. Chombo hicho kilipo kimbia kuelekea anga za juu, kiliikamata Dunia kutoka umbali wa maili bilioni 3.7 (kilomita bilioni 6). Nb: Atheists mrudieni mungu bado hamjachelewa
  17. L

    JamiiForums Tanzania Tunapokumbwa na majanga makubwa duniani nchi zinapaswa kushikamana na kutatua kwa pamoja

    Jumatatu ya Februari 6, dunia iliamka kwa habari mbaya na za mshtuko baada ya nchi za Uturuki na Syria kukumbwa na tetemeko kubwa lenye kipenyo cha richta 7.8, ambalo limesababisha uharibifu mkubwa wa mali, na cha kuhuzunisha zaidi ni kwamba watu takriban elfu 40 katika nchi hizo mbili...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Ukipewa maisha duniani tambua ya kuwa Mungu amekuamini

    Maisha unayoishi hauishi Kwa bahati nasibu, Mungu amekupa nafasi adhimu, wengine ni wagonjwa,wengine wamejufa lakini wewe upo hai ,una afya njema, huna cancer, huna tatizo la Figo lakini masikini ya Mungu wewe ndiyo unafanya dhambi ya hovyo hovyo, unalawiti au kulawitiwa. Fahamu ya kuwa Kuna...
  19. JamiiForums Tanzania Mwasisi wa TANU, Shushushu anayetajwa kufanya kazi na mashirika 8 ya Kijasusi duniani

    Nina ombi kwa Mzee wetu Mohamed Said utusaidie kuiweka sawa hasa maeneo yanayo husu TAA na TANU Mwandishi naona kama ana pishana sana na machapisho mengi uliyoyachapisha Kama vuguvugu kutoka kwa bwana sykies nk Kwa heshima yako tafadhari tusaidie na uwasaidie hawa waandishi wetu wanao andika...
  20. JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya Redio Duniani, Kituo gani cha Redio unasikiliza zaidi?

    Siku ya #Redio Duniani ilianzishwa na Kikao cha Umoja wa Mataifa mwaka 2012 kwa kuhusisha Mkutano wa Kwanza wa Kimataifa wa Redio uliorushwa moja kwa moja kutoka Geneva mwaka 1974. Siku hii huadhimishwa kila mwaka kwa lengo la kutambua mchango muhimu unaotokana na Redio katika maisha na jamii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…